Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

Hahahha mkuu ulitaka biashara ya BABA NTILIE na hujui kupika kweli kupigika kubaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah aise umepambana sana,babe nae akakuacha licha ya kusota nae kwenye dhiki duh pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ungeingia mitini na hiyo hela na hivyo vifaa wangekupata wapi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dulla nimemkubali aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daa komaa mkuu ndo maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Why hilo kovu linaonekana wkt wa kuogo tu? Mf ukiwa unakula MZIGO halionekani?

Sent using Jamii Forums mobile app
linaonekana tu mzee baba lakini nikiulizwa huwa sisemi hata hapa nimeandika ni vile nimeguswa na mazingira magumu ambayo wengi wameyapitia ndio nikaona nifunguke lakini mwanamke akiniuliza huwa natoa jibu tofauti kabisa,
 
Mkuu hizi picha za ngono ni mnagonga copy video kutoka majuu au za wabongo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimependa hii....
 
Pole sana kijana sisi tulishayapitia ya ujana sasa hivi tunapambana na ya familia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahha hii hata mimi iliwahi kunikuta,nilienda kwa azizi ally huko kufanya interview kesho kazi,nashangaa kumbe ni kubeba mabeseni na chupa nikagoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…