Nyambiza jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 1,033
- 1,861
Napenda sana mishe zile alafu ukute mpaka saa 5 una faida km ya 10k na kuendelea km una mpango wa kusoma unaweza rudi shule bila tatizoKuna jamaa mmoja mtaani kwetu Buza anaamka saa 9 alfajiri, ikifika saa 5 asubuhi yupo kijiwe cha kahawa wanabishana kuhusu kama Yesu ni Mungu au la. Watu hawajui kazi anayofanya ila kuna siku moja nilibahatika kukutana naye mitaa ya Kigamboni anatembeza mboga nyumba kwa nyumba.
Kumbe huwa anaamka alfajiri kununua mboga sokoni Kariakoo halafu anaenda kutembeza kwenye mitaa ya mbali ili watu wasijue kazi anayofanya. Ama kweli mjini shule! [emoji4][emoji3][emoji16][emoji23][emoji2][emoji52][emoji28][emoji38][emoji56]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaelewa nini maisha haya yasikie tushapata more than hio kwa ten days Leo naandika hapa Sina MB za kutosha
Matumizi ya mshahara wa 2.8
Kodi ya nyumba 300,000,
Servive ya gari 100,000,
mafuta ya gari 150,000,
mizinga ya wana ukoo 30,000
Matumizi ya jikoni 400,000,
Breakfast na lunch kazini 200,000,
Luku na Maji 80,000,
Ada ya mtoto shule za awali within miaka 9 utakuwa na watoto 3 (300,000)
house girl 50,000,
nguo viatu kiwi,kunyoa ndevu 50,000,
vitu vya kuchezea watoto 20,000
kuwatumia wazazi 100,000,
vocha kila mwezi 20,000,
harambee za kanisani 50,000
Pesa ya wife matumizi yake 200,000
majukumu ya kijamii (harusi) 50,000
matibabu 60,000
ukiwa na kamchepuko kila mwezi ukikagonga mara mbili geti tu uwe na 80,000, hakajala, etc
[emoji23][emoji23][emoji23]Samahan sana wadau nimechelewa kuchangia huu mjadala heavy asikwambie mtu maisha kuna kipindi yanakaza kiasi mtu unanyongorota kabisa km sio kupinda kuna kkipindi nilipewa tender ya kulinda shule aisee ile kaz km huna chale itakoma yaan kuna kipindi usingiz unakuchukua unasikia km kuna mtu anakutikisa uamke unaamka huonk mtu mara unasikia nje kuna mtu anakuita unachungulia dirishan huoni mtu kuna siku nilizabwa vibao na mtu nisiyemuona toka siku nikaacha
Nilifanya vya maana vingi sana cash ndo Sina asset siwezi uza tayari nina watoto ko napambana ninavyoweza.Una wadogo wangapi? 2.8 kila mwezi kwa miaka 9? Unajua mwenyewe ulivyozitumia hizo hela.
Sent using Jamii Forums mobile app
QUOTE="mwita ke mwita, post: 34101193, member: 25257"]
Hayo matumizi makubwa sana kwangu beside I am a woman very low profile.QUOTE="mwita ke mwita, post: 34101193, member: 25257"]
Matumizi ya mshahara wa 2.8
Kodi ya nyumba 300,000,
Servive ya gari 100,000,
mafuta ya gari 150,000,
mizinga ya wana ukoo 30,000
Matumizi ya jikoni 400,000,
Breakfast na lunch kazini 200,000,
Luku na Maji 80,000,
Ada ya mtoto shule za awali within miaka 9 utakuwa na watoto 3 (300,000)
house girl 50,000,
nguo viatu kiwi,kunyoa ndevu 50,000,
vitu vya kuchezea watoto 20,000
kuwatumia wazazi 100,000,
vocha kila mwezi 20,000,
harambee za kanisani 50,000
Pesa ya wife matumizi yake 200,000
majukumu ya kijamii (harusi) 50,000
matibabu 60,000
ukiwa na kamchepuko kila mwezi ukikagonga mara mbili geti tu uwe na 80,000, hakajala, etc
hamna cha ajabu hapo mkuu tatizo hujafikiria kwa upana, inawezekana kabisa kwa mtu kupitia hayo na zaidiNimerudia kusoma ×5
YAANI UMESEMA
Mshahara 2.8M
Umefanya miaka 9
Mshahara 2.8M
Umefanya miaka 9
Mshahara 2.8M
Umefanya miaka 9
Then umeachishwa kazi huna kitu.
Hivi ni sijaelewa au sijasoma vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] wabongo utawaweza.Naona mme hamia kwenye mshaharw wa watu.
MNauchambua kuliko uzi wenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shikamoo mpareMmenikumbusha maisha ya chuo, nipo zangu chuoni na jamaa wanaotoka familia tajiri sana, wao kila mwezi wanatumiwa sio chini ya $300 kwa ajili ya matumizi ya chakula, mavazi na luxuries zingine. Mimi natoka familia ya kawaida sana, maisha ya kawaida sana, nikajisemea nisipochekecha akili nitakuwa zobaaaa. Hivi huku mbali kweli nisubiri pesa za wazee, hapana!!
Nikatoka zangu, nikaenda supermarket moja ilikuwa inabamba sana mji huo, nikaomba kazi wakasema hatuwezi kukuajiri coz huna vibali vya ajira, dadeq níkaona sasa hapa nafeli, pesa naitaka nijikimu na pia nidundulize ili nikimaliza chuo niwe na pesa za kuanzia life. Nikaacha kujichanganya na wana "weusi" manake niliona nikiwa nao nitapoteza mda wangu, nikaanza kutafuta urafiki na classmates zangu "weupe", nikapata kama jamaa wawili na dada mmoja nae hakutokea mji ule. Yule dada akawa rafiki yangu sana ila sikutaka hata kumfanya "kimasihara" coz nilijua nitaharibu. Nikamuuliza kuhusu kazi baada ya masomo, akasema ataniunganisha na jamaa zake nao wanafanya kazi part time. Kweli nikakutana na jamaa, wakaniambia the best option ni kazi za construction, wages ni kubwa kuliko huko supermarket au kusafisha barabara kutoa mabarafu. Nikasema poa nipelekeni, nikapelekwa kuna bosi wa kike na MD wa kampuni ni kidume, yule MD akasema hatuwezi kufanya kazi na "mtu wa namna hii", nikajua tu ngozi yangu inaninyima kazi, bahati nzuri yule boss wa kike alinihurumia, akabembeleza sana kwa MD mwisho nikakubaliwa.
Nikapeleka ratiba yangu ya masomo, wakanipangia kazi kutokana na ratiba zangu. Dadeq sitasahau, nilikuwa nalala mda mchache sana, nikitoka class hata sirudi maskani, naenda site napiga kazi at -25°C, kuna kipindi baridi ilifika -40°C, nimevaa gloves za baridi lakini vidole vinaungua kama napitisha kwenye moto, navaa soksi nzito na buts zenye sufi ndani, lakini miguu inakakamaa, vidole vinakufa ganzi lakini kazi lazima ifanyike, wenzangu wanachapa Smirnoff, Vodka, wanavuta sigara balaa ili kutoa baridi, dadeq sitasahau, ila nashukuru nilibaki vile, nilijaribu kidogo kuonja Smirnoff [emoji41] . Baadae nilikuja kuzoea na kuona ni kawaida sana, wenzangu waliniona bonge la kidume, working at -20 to 35°C nje kabisa ilikuwa ni changamoto kubwa kuwahi kutokea.
Nilivyokaribia kumaliza chuo nikapata kazi kwenye kiwanda cha samaki, life was I bit easier there. Walinipenda sana the way nilikuwa nafanya kazi kwa kujituma, hadi namaliza pale boss alinifanyia goodbye party, na kupewa zawadi. Hapa ndio nilipata kuzichakata punani bila hiana, nilihakikisha nalitendea kabila langu haki[emoji23][emoji23].
Sis darling umekujaje huku[emoji23][emoji23][emoji23]Shikamoo mpare
@sakayo hawa ndio ulisema unataka eeeh?Mmenikumbusha maisha ya chuo, nipo zangu chuoni na jamaa wanaotoka familia tajiri sana, wao kila mwezi wanatumiwa sio chini ya $300 kwa ajili ya matumizi ya chakula, mavazi na luxuries zingine. Mimi natoka familia ya kawaida sana, maisha ya kawaida sana, nikajisemea nisipochekecha akili nitakuwa zobaaaa. Hivi huku mbali kweli nisubiri pesa za wazee, hapana!!
Nikatoka zangu, nikaenda supermarket moja ilikuwa inabamba sana mji huo, nikaomba kazi wakasema hatuwezi kukuajiri coz huna vibali vya ajira, dadeq níkaona sasa hapa nafeli, pesa naitaka nijikimu na pia nidundulize ili nikimaliza chuo niwe na pesa za kuanzia life. Nikaacha kujichanganya na wana "weusi" manake niliona nikiwa nao nitapoteza mda wangu, nikaanza kutafuta urafiki na classmates zangu "weupe", nikapata kama jamaa wawili na dada mmoja nae hakutokea mji ule. Yule dada akawa rafiki yangu sana ila sikutaka hata kumfanya "kimasihara" coz nilijua nitaharibu. Nikamuuliza kuhusu kazi baada ya masomo, akasema ataniunganisha na jamaa zake nao wanafanya kazi part time. Kweli nikakutana na jamaa, wakaniambia the best option ni kazi za construction, wages ni kubwa kuliko huko supermarket au kusafisha barabara kutoa mabarafu. Nikasema poa nipelekeni, nikapelekwa kuna bosi wa kike na MD wa kampuni ni kidume, yule MD akasema hatuwezi kufanya kazi na "mtu wa namna hii", nikajua tu ngozi yangu inaninyima kazi, bahati nzuri yule boss wa kike alinihurumia, akabembeleza sana kwa MD mwisho nikakubaliwa.
Nikapeleka ratiba yangu ya masomo, wakanipangia kazi kutokana na ratiba zangu. Dadeq sitasahau, nilikuwa nalala mda mchache sana, nikitoka class hata sirudi maskani, naenda site napiga kazi at -25°C, kuna kipindi baridi ilifika -40°C, nimevaa gloves za baridi lakini vidole vinaungua kama napitisha kwenye moto, navaa soksi nzito na buts zenye sufi ndani, lakini miguu inakakamaa, vidole vinakufa ganzi lakini kazi lazima ifanyike, wenzangu wanachapa Smirnoff, Vodka, wanavuta sigara balaa ili kutoa baridi, dadeq sitasahau, ila nashukuru nilibaki vile, nilijaribu kidogo kuonja Smirnoff [emoji41] . Baadae nilikuja kuzoea na kuona ni kawaida sana, wenzangu waliniona bonge la kidume, working at -20 to 35°C nje kabisa ilikuwa ni changamoto kubwa kuwahi kutokea.
Nilivyokaribia kumaliza chuo nikapata kazi kwenye kiwanda cha samaki, life was I bit easier there. Walinipenda sana the way nilikuwa nafanya kazi kwa kujituma, hadi namaliza pale boss alinifanyia goodbye party, na kupewa zawadi. Hapa ndio nilipata kuzichakata punani bila hiana, nilihakikisha nalitendea kabila langu haki[emoji23][emoji23].
Ulichakata nini? sijaelewa vizuriMmenikumbusha maisha ya chuo, nipo zangu chuoni na jamaa wanaotoka familia tajiri sana, wao kila mwezi wanatumiwa sio chini ya $300 kwa ajili ya matumizi ya chakula, mavazi na luxuries zingine. Mimi natoka familia ya kawaida sana, maisha ya kawaida sana, nikajisemea nisipochekecha akili nitakuwa zobaaaa. Hivi huku mbali kweli nisubiri pesa za wazee, hapana!!
Nikatoka zangu, nikaenda supermarket moja ilikuwa inabamba sana mji huo, nikaomba kazi wakasema hatuwezi kukuajiri coz huna vibali vya ajira, dadeq níkaona sasa hapa nafeli, pesa naitaka nijikimu na pia nidundulize ili nikimaliza chuo niwe na pesa za kuanzia life. Nikaacha kujichanganya na wana "weusi" manake niliona nikiwa nao nitapoteza mda wangu, nikaanza kutafuta urafiki na classmates zangu "weupe", nikapata kama jamaa wawili na dada mmoja nae hakutokea mji ule. Yule dada akawa rafiki yangu sana ila sikutaka hata kumfanya "kimasihara" coz nilijua nitaharibu. Nikamuuliza kuhusu kazi baada ya masomo, akasema ataniunganisha na jamaa zake nao wanafanya kazi part time. Kweli nikakutana na jamaa, wakaniambia the best option ni kazi za construction, wages ni kubwa kuliko huko supermarket au kusafisha barabara kutoa mabarafu. Nikasema poa nipelekeni, nikapelekwa kuna bosi wa kike na MD wa kampuni ni kidume, yule MD akasema hatuwezi kufanya kazi na "mtu wa namna hii", nikajua tu ngozi yangu inaninyima kazi, bahati nzuri yule boss wa kike alinihurumia, akabembeleza sana kwa MD mwisho nikakubaliwa.
Nikapeleka ratiba yangu ya masomo, wakanipangia kazi kutokana na ratiba zangu. Dadeq sitasahau, nilikuwa nalala mda mchache sana, nikitoka class hata sirudi maskani, naenda site napiga kazi at -25°C, kuna kipindi baridi ilifika -40°C, nimevaa gloves za baridi lakini vidole vinaungua kama napitisha kwenye moto, navaa soksi nzito na buts zenye sufi ndani, lakini miguu inakakamaa, vidole vinakufa ganzi lakini kazi lazima ifanyike, wenzangu wanachapa Smirnoff, Vodka, wanavuta sigara balaa ili kutoa baridi, dadeq sitasahau, ila nashukuru nilibaki vile, nilijaribu kidogo kuonja Smirnoff [emoji41] . Baadae nilikuja kuzoea na kuona ni kawaida sana, wenzangu waliniona bonge la kidume, working at -20 to 35°C nje kabisa ilikuwa ni changamoto kubwa kuwahi kutokea.
Nilivyokaribia kumaliza chuo nikapata kazi kwenye kiwanda cha samaki, life was I bit easier there. Walinipenda sana the way nilikuwa nafanya kazi kwa kujituma, hadi namaliza pale boss alinifanyia goodbye party, na kupewa zawadi. Hapa ndio nilipata kuzichakata punani bila hiana, nilihakikisha nalitendea kabila langu haki[emoji23][emoji23].
Una tabia mbaya, hata sikupendi[emoji39]@sakayo hawa ndio ulisema unataka eeeh?