Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

Wakuu, nimesoma huu uzi mpaka hapa ulipofikia, kiukweli nimejifunza mengi na kikubwa ni kumshukuru Mungu kwa kila jambo. Kwa ujumla nilichojifunza MAISHA NI MAGUMU SIKU ZOTE ILA KUNA WAKATI PENGINE TUNAPATA NAFUU NA TUNAJISAHAU. Kikubwa tuendelee ku fight na kumuomba Mungu azidi kutupa baraka ili milango ya riziki izidi kufunguka. Nimebarikiwa sana kupata uzoefu mkubwa wa maisha.
 
Aimennn aimennn
 
Mkuu nimecheka Sana aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo inavyokuwaga my dear, wanakuangaliaaa wanaondokaa!! Huku naabudu kwa uchungu mimiii, daahh

Kuanzia leo nitakua nawaheshimu sana wanao piga maombi mitaani kumbe maskini unakuta wako utumbo kabisa!Kweli bora tuwachangie hata usiposikiliza,kuna wale wa kwenye mabus wale wanapigaga tuhela maana anaomba anakemea mapepo ya ajali unakuta tu unatoa sadaka!Mungu awabariki sana watumishi[emoji120][emoji120][emoji120]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Amen amen....
Mkono utoao ndio upokeao
 
Basi mkuu tunajuana. Me nlikua PCB pia sema nlikua mzee wa jidi kwa sana. Mwenura nlikua nae moro R.i.p

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Wewe Ni Mate Mzee

Mimi Nilikuwa Close Sana Na Buko Mpaka Anafika SUA Nilimsukumia PC Yangu Dell.

Nikaja Nikasikia Kavuta Iliniuma Sana Mungu Amlaze Peponi Alinijali Sana Wakat Naingia Pale BH.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…