Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

Hongera sana mkuu,muda mwingine katika jambo ambalo hulipendi ndipo Mungu anafungua mlango kwenda unapopataka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha yani K/koo kutembea tu kwa mguu ni kero sasa hiyo baiskeli itakuaje mwisho uyadondoshe madumu ya watu.
1- Kuna jamaa nilikua nae kitaa ila yeye anatoka asubuhi (alfajir) kwenye saa 9 alafu anarudi saa 4 asubuhi anatutambia mtaani nikasema huyu jamaa anapiga kazi nzuri sana yaani masaa ma 4 karudi kitaa na mpunga fresh, basi kwa kuwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera mkuu kwanza kwa kuwa na hiyo spirit ya kupambana katika umri mdogo naimani sahivi life halikubabaishi,angekuwa mwingine angeenda kwa mjomba kukaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza mke wake asingekubali hahaha ndoa ingewaka moto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikuingiza pesa kwakuwa sikuzihitaji
Nilisafiri bure
Nilikula bure
Nilikunywa bure
Chochote nilikipata bure kila nilipokihitaji kupitia kitunguli kidogo kama kitufe

Jr[emoji769]
Hahahaha kwaio wewe kila unachokihitaji ulikuwa unabonyeza tu kitufe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu siku nyingine ukipata jeraha la moto usiweke kwenye maji baridi. Paka asali Au mafuta ya kupikia
 
Hahaa et hadi kuingia CCM
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…