Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

Kwa hyo mkuu wewe n Mhujum Uchumi [emoji1787][emoji23][emoji23] in Mabeberu Voice

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mbona umemwacha mke wa boss hv hv ebu kula aisee hyo kuku na mayai yake[emoji3][emoji16][emoji16]

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Punani ndo nn tena mkuu umetuacha kolomije ndani ndani hko![emoji2957][emoji15][emoji2957][emoji15]

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]watu wanakulana nini mkuu??

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 

Navipenda sana vimoro asee


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu mbona umemwacha mke wa boss hv hv ebu kula aisee hyo kuku na mayai yake[emoji3][emoji16][emoji16]

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app

Mkuu mume wake ni Mtu mmoja mstaarabu sana. Na kwa wema alionitendea na anaoendelea kunitendea nafsi inanisuta sana kumfanyia mabaya.

Mpaka leo huwa ananiambia ameniruhusu kuoa mwanae lakini anaona kama amemuozesha mtoto wake kwa mwanae wa kiume wa kumzaa.
 
Mwanangu Merchante salute sana. Ww ni bingwa. Yaani nimepata spirit ya kupambana.
Pamoja mkuu,bado sijachoka kupambana na nitazidisha mapambano mpaka iwe,NEVER sitokata tamaa ikiwa bado niko hai, pia nina nguvu,akili na utashi,kukata tamaa ni MWIKO!.Yani siku naacha kupambana ni ile siku nakata moto(nakufa). [emoji123][emoji123]
 
Gereji gani na mwaka gani
 
Mi naona mama ndo aliemtelekeza mtoto
 
Hongera sana mkuu na pia pole, kwa jinsi ninavyoishi na house girl wangu ni ngumu kujua kama ni house girl hata kama ni out nikitoka natoka nae pamoja na watoto wangu,
Hata ratiba za chakula nyumbani mara nyingi ni yeye hupanga.
 
Aisee pole sana lakini pia hongera sanaa kwa kupambana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…