Wakati Urusi inaendelea kuugulia kibano cha HIMARS, Ukraine wapata aina mpya nyingine ya silaha - M270 system

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Mrusi alishasema atakayemsaidia Ukraine asubiri matokeo, leo Ukraine wanaendelea kupokea aina mpya ya silaha zinazowatesa Urusi na hamna chochote Putin anaweza kufanya.
========================

Ukraine said Friday it had received its first delivery of a sophisticated rocket-launcher system, adding to a growing arsenal of Western-supplied long-range artillery Kyiv says is changing dynamics on the battlefield.

"The first MLRS M270 have arrived," Ukrainian Defence Minister Oleksiy Reznikov wrote on social media, without mentioning what country had dispatched them.

"They will be good company for HIMARS on the battlefield," he added, referring to US precision rocket systems recently deployed in the conflict.
1658142888609.png

index.jpg
Screenshot 2022-07-18 141113.png
Screenshot 2022-07-18 141051.png
Screenshot 2022-07-18 141017.png
 
Mrusi alishasema atakayemsaidia Ukraine asubiri matokeo, leo Ukraine wanaendelea kupokea aina mpya ya silaha zinazowatesa Urusi na hamna chochote Putin anaweza kufanya.
========================

Ukraine said Friday it had received its first delivery of a sophisticated rocket-launcher system, adding to a growing arsenal of Western-supplied long-range artillery Kyiv says is changing dynamics on the battlefield.

"The first MLRS M270 have arrived," Ukrainian Defence Minister Oleksiy Reznikov wrote on social media, without mentioning what country had dispatched them.

"They will be good company for HIMARS on the battlefield," he added, referring to US precision rocket systems recently deployed in the conflict.
Russia angeweza kuzichapa hizo nchi sema kagundua kuwa njia anayo tumia sasa ya kuzishinda kwenye uwanja wa vita ukraine inampa tija kubwa kimataifa hadi sasa warusi wao kwa wao wamezidi kumkubali putin tofauti na NATO NA USA ambayo njia wanazo tumia zinazidi kuwafanya wachukiwe na wananchi wao na hata kimataifa wanapoteza thamani ...russia kagundua kuwa nchi za magharibi zinakwenda kupoteza kwenye vita ya uchumi waliyo ianzisha wao wenyewe dhidi ya urusi ..ndiyo maana mrusi anatengeneza fitina ili ionekane kuwe yeye akupenda vikwazo ..kumbe ukweli ni kwamba mrusi anavifurahia vikwazo vya west kama nini ..maana vinakwenda kuzianganiza nchi zao wenyewe .
 
Urusi alijitakia mwenyewe kwa kukurupuka, sasa ramani mpya inaonyesha NATO wamefika kwake mpakani na kumzingira maana Finland wameshasepa....

6284b3241aa29100196a281f
Hujui unachoongea, hao wenzako NATO Ni mkusanyiko tu, Ukraine itabaki Kiev eneo lote Ni buffer zone ya mrusi, Russia yengewe tu Ni 17,000,000km za mraba , watu wa Russia sijui Kama wanavuka hata 500 million, ana silaha nyingi na hatari kuliko takataka yoyote ile, akikata gesi tu anaua Ulaya yote kwa baridi na nishati acva,chakula,mbolea etc
 
Hujui unachoongea, hao wenzako NATO Ni mkusanyiko tu, Ukraine itaki Kiev eneo lote Ni buffer zone ya mrusi, Russia yengewe tu Ni 17,000,000km za mraba , watu wa Russia sijui Kama wanavuka hata 500 million, ana silaha nyingi na hatari kuliko takataka yoyote ile, akikata gesi tu anaua Ulaya yote kwa baridi na nishati acva,chakula,mbolea etc
unaelewa unchoandika au unashabikia tu viinchi vya watu? Ukubwa wa eneo 17,000,000 Km za mraba? Vijana nendeni shule mnajidharaulisha.
 
Hujui unachoongea, hao wenzako NATO Ni mkusanyiko wa tu, Ukraine itaki Kiev eneo lote Ni buffer zone ya mrusi, Russia yengewe tu Ni 17,000,000km za mraba , watu wa Russia sijui Kama wanavuka hata 500 million, ana silaha nyingi na hatari kuliko takataka yoyote ile, akikata gesi tu anaua Ulaya yote kwa baridi na nishati acva,chakula,mbolea etc

Wewe ndiye nakuona zero, mpaka wa Finland na Urusi ni mrefu sana na kukaribisha NATO hadi hapo haikua busara, Urusi alikurupuka kuivamia Ukraine akidhani atapandikiza uongozi wake Kyev, kakutana na za uso na sasa hivi amechoshwa kweli kweli anahemeshwa na tumiji ta huko mpakani.
 
🤣🤣🤣
 
unaelewa unchoandika au unashabikia tu viinchi vya watu? Ukubwa wa eneo 17,000,000 Km za mraba? Vijana nendeni shule mnajidharaulisha.
Yuko sahihi, Urusi ina ukubwa wa 17.1km za mraba. Wewe ndio unapaswa kurudi shule. Ndugu siku nyingine kabla ya kupinga tafuta taarifa kwanza, utadharirika.

Urusi imeanzia ulaya kwa magharibi na kuishia karibu na Alaska/USA kwa upande wa mashariki. Ukikosa kitabu cha ramani au atlas nenda mtandaoni.
 
Russia angeweza kuzichapa hizo nchi sema kagundua kuwa njia anayo tumia sasa ya kuzishinda kwenye uwanja wa vita ukraine inampa tija kubwa kimataifa hadi sasa warusi wao kwa wao wamezidi kumkubali putin tofauti na NATO NA USA ambayo njia wanazo tumia zinazidi kuwafanya wachukiwe na wananchi wao na hata kimataifa wanapoteza thamani ...russia kagundua kuwa nchi za magharibi zinakwenda kupoteza kwenye vita ya uchumi waliyo ianzisha wao wenyewe dhidi ya urusi ..ndiyo maana mrusi anatengeneza fitina ili ionekane kuwe yeye akupenda vikwazo ..kumbe ukweli ni kwamba mrusi anavifurahia vikwazo vya west kama nini ..maana vinakwenda kuzianganiza nchi zao wenyewe .
Ndivyo ilivyo!
Bank kuu Russia wametoa takwimu ya Uchumi kuwa kuanzia May - December Uchumi utapanda zaidi.
 
Back
Top Bottom