Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila kitu lazima kiwe na kiongozi.Afrika inaweza kufanywa moja na hao viongozi wanaoingia madarakani bila ridhaa ya wananchi wao?! Kama ni muungano ungekuwa sio wa bara la Afrika, bali wa viongozi wezi na makatili katika bara la Afrika.
Walikuja kujifunza how to stay in power autocratic nothing more. Mtu aliyemuweka Kagame na Museveni Kama best yake unatarajia nini?Tuliona Marais na Wafalme mbalimbali wa Afrika wengi sana wakija hapa nchini.
Mimi niliamini kabisa Africa Union (AU) inaenda kuwa imara, tena yenye maono sahihi kwa ajili ya Waafrika.
Nini kimetokea siku hizi, maana siwaoni wakija tena.
Je, Magufuli alikuwa na nia ya kuiunganisha Afrika?
Lakini wote wamekuja mzee au wametoa mwaliko , PK mama alimfuata mapema sana mwaka jana alimualika, mu7 ameshakuja , Burundi, Kenya Zambia, Malawi , Mozambique, Oman, mbona list ni kubwa sana viongozi wamekuja Tena ndani ya mwaka mmoja tu au unataka kuaminisha watu kwamba Sasa hivi hakuna viongozi wa nchi wanaokuja?Kwa hiyo kwa sasa hawana cha kujifunza?
Kila kitu lazima kiwe na kiongozi.
Wananchi wote hatuwezi kuanzisha kitu.
Kama nchi tulipata faida gani kwa ujio wao? Wewe personally ulifaidikaje kwa ujio huo? Kutokuja kwao awamu hii umepungukiwa na nini?Tuliona Marais na Wafalme mbalimbali wa Afrika wengi sana wakija hapa nchini.
Mimi niliamini kabisa Africa Union (AU) inaenda kuwa imara, tena yenye maono sahihi kwa ajili ya Waafrika.
Nini kimetokea siku hizi, maana siwaoni wakija tena.
Je, Magufuli alikuwa na nia ya kuiunganisha Afrika?
Unachanganya mambo wewe.Lakini wote wamekuja mzee au wametoa mwaliko , PK mama alimfuata mapema sana mwaka jana alimualika, mu7 ameshakuja , Burundi, Kenya Zambia, Malawi , Mozambique, Oman, mbona list ni kubwa sana viongozi wamekuja Tena ndani ya mwaka mmoja tu au unataka kuaminisha watu kwamba Sasa hivi hakuna viongozi wa nchi wanaokuja?
Tofauti ni kwamba Magufuli alikuwa anafanya sifa zaidi na kuhakikisha kila anayekuja nchi nzima inasimama inafuatilia hiyo ziara tu ndio maana he was pompous anaenda kukaa kijijini ili wamfate kule ushenzini.
But pamoja na ziara za viongozi wengi wa Afrika ambao wameshakuja huwezi kufananisha uongozi uliokaa mwaka mmoja na uongozi uliokaa miaka almost sita tena kidikteta.
Ndio Wafalme mbalimbali 😆😆Eti Mseveni na Kagame
Matapeli yaleNdio Wafalme mbalimbali 😆😆
Wewe ndio unajichanganya, kwanza umeleta mada kwa mfumo wa swali Sasa kila mtu anachangia yake ghafla unapaniki na kuanza kumtetea marehemu aliyekwishaoza, I thought unapokea tu maoni.Unachanganya mambo wewe.
Kunatofauti ya kuja na kwenda.
Diktator unamju wewe tu.
Yule alikuwa Mwanamapinduzi ndio maana hadi leo mama haeleweki.
Mama yuko busy na filamuTuliona Marais na Wafalme mbalimbali wa Afrika wengi sana wakija hapa nchini.
Mimi niliamini kabisa Africa Union (AU) inaenda kuwa imara, tena yenye maono sahihi kwa ajili ya Waafrika.
Nini kimetokea siku hizi, maana siwaoni wakija tena.
Je, Magufuli alikuwa na nia ya kuiunganisha Afrika?
ZambiaNikutajie Wachache.
Mfalme wa Morocco.
Rais wa SA.
Rais wa Malawi.
Rais wa Ethiopia.
Rais wa Msumbiji.
Mfalme wa Eswatini.
Rais wa Burundi.
Rais wa Congo.
Mseveni.
Kagame.
N.K.
Ukipenda kujua zaidi Gugu hapo.
Wengi walikuja safari binafsi na wengine walikuja zaidi ya mara moja.Wengi ya uliowataja walikuja wakati wa mkutano wa SADC na ilibidi waje kwa sababu Tanzania ndio walikuwa wenyeji!