Wakati wa Awamu ya Tano tuliona Marais wengi sana wa Afrika wakija, ilikuwa mwanzo wa uimara?

Afrika inaweza kufanywa moja na hao viongozi wanaoingia madarakani bila ridhaa ya wananchi wao?! Kama ni muungano ungekuwa sio wa bara la Afrika, bali wa viongozi wezi na makatili katika bara la Afrika.
Kila kitu lazima kiwe na kiongozi.

Wananchi wote hatuwezi kuanzisha kitu.
 
Tuliona Marais na Wafalme mbalimbali wa Afrika wengi sana wakija hapa nchini.

Mimi niliamini kabisa Africa Union (AU) inaenda kuwa imara, tena yenye maono sahihi kwa ajili ya Waafrika.

Nini kimetokea siku hizi, maana siwaoni wakija tena.

Je, Magufuli alikuwa na nia ya kuiunganisha Afrika?
Walikuja kujifunza how to stay in power autocratic nothing more. Mtu aliyemuweka Kagame na Museveni Kama best yake unatarajia nini?
 
Kwa hiyo kwa sasa hawana cha kujifunza?
 
Kwa hiyo kwa sasa hawana cha kujifunza?
Lakini wote wamekuja mzee au wametoa mwaliko , PK mama alimfuata mapema sana mwaka jana alimualika, mu7 ameshakuja , Burundi, Kenya Zambia, Malawi , Mozambique, Oman, mbona list ni kubwa sana viongozi wamekuja Tena ndani ya mwaka mmoja tu au unataka kuaminisha watu kwamba Sasa hivi hakuna viongozi wa nchi wanaokuja?

Tofauti ni kwamba Magufuli alikuwa anafanya sifa zaidi na kuhakikisha kila anayekuja nchi nzima inasimama inafuatilia hiyo ziara tu ndio maana he was pompous anaenda kukaa kijijini ili wamfate kule ushenzini.

But pamoja na ziara za viongozi wengi wa Afrika ambao wameshakuja huwezi kufananisha uongozi uliokaa mwaka mmoja na uongozi uliokaa miaka almost sita tena kidikteta.
 
Tuliona Marais na Wafalme mbalimbali wa Afrika wengi sana wakija hapa nchini.

Mimi niliamini kabisa Africa Union (AU) inaenda kuwa imara, tena yenye maono sahihi kwa ajili ya Waafrika.

Nini kimetokea siku hizi, maana siwaoni wakija tena.

Je, Magufuli alikuwa na nia ya kuiunganisha Afrika?
Kama nchi tulipata faida gani kwa ujio wao? Wewe personally ulifaidikaje kwa ujio huo? Kutokuja kwao awamu hii umepungukiwa na nini?
Nchi imekosa nini kwa kutokuja kwao?
 
Unachanganya mambo wewe.

Kunatofauti ya kuja na kwenda.

Diktator unamju wewe tu.

Yule alikuwa Mwanamapinduzi ndio maana hadi leo mama haeleweki.
 
Wewe ndio unajichanganya, kwanza umeleta mada kwa mfumo wa swali Sasa kila mtu anachangia yake ghafla unapaniki na kuanza kumtetea marehemu aliyekwishaoza, I thought unapokea tu maoni.

You sound stupid and illiterate. Kwa style hii nisingeweza kuchangia mada yako kumbe una majibu yako ya kipumbavu bloody fool.

Na huyo mama unayesema humuelewi wenzio wameongezewa kamshahara wanademka tu wewe umebaki na marehemu, you must be a fool.
 
Tuliona Marais na Wafalme mbalimbali wa Afrika wengi sana wakija hapa nchini.

Mimi niliamini kabisa Africa Union (AU) inaenda kuwa imara, tena yenye maono sahihi kwa ajili ya Waafrika.

Nini kimetokea siku hizi, maana siwaoni wakija tena.

Je, Magufuli alikuwa na nia ya kuiunganisha Afrika?
Mama yuko busy na filamu
 
Nikutajie Wachache.

Mfalme wa Morocco.
Rais wa SA.
Rais wa Malawi.
Rais wa Ethiopia.
Rais wa Msumbiji.
Mfalme wa Eswatini.
Rais wa Burundi.
Rais wa Congo.
Mseveni.
Kagame.

N.K.

Ukipenda kujua zaidi Gugu hapo.
Zambia
Comoro
Zimbabwe ambaye alienda hadi bagamoyo kutembea.
 
Wengi ya uliowataja walikuja wakati wa mkutano wa SADC na ilibidi waje kwa sababu Tanzania ndio walikuwa wenyeji!
Wengi walikuja safari binafsi na wengine walikuja zaidi ya mara moja.
 
Kama nchi tulipata faida gani kwa ujio wao? Wewe personally ulifaidikaje kwa ujio huo? Kutokuja kwao awamu hii umepungukiwa na nini?
Nchi imekosa nini kwa kutokuja kwao?
Umesoma ninachokimaanisha?

Faida unayotaka ni ipi?
 
Back
Top Bottom