Mkuu, nashukuru hata umeweza kusoma na kumaliza nilichokiandika si haba.
Cha msingi ni kumuunga mkono Tundu Lissu ili hilo suala la maridhiano ambalo analipendekeza liweze kutekelezwa.
Wamarekani wana matatixo yao. Trump kagomea matokeo anadai kaibiwa kura [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Narudia tena, msiishi kwa mazoea mkajidanganya mmarekani anawaogopa, nyie ni vipofu wa fikra.
Na Kenya ambapo Dozens walikufa pia mahakama iliona hakuna tatizo.Kwamba 2001 mliua 35 na 2020 mmeua 13 tu kwa maana hiyo ni wachache sana ukilinganisha na mlioua uchaguzi uliopita, unataka hadi muue wangapi ndipo mpelekwe ICC.
Yaani wanafurahisha sana!Hapa ndo utawajua wafuasi wa Chadema walivyo na akili ndogo, hawajui kazi za ICJ na ICC. ndo maana viongozi wenu kwa kutumia upumbavu wenu huwa wanawaburuza tu mnapanua kama Amber Ruth
Sasa mwenzenu Tundu Lissu ametamka hayo leo kule VOAMaridhiano ya nini, yaani watu wamwage damu na kupora kura kisha viongozi wakaridhiane?
Wa kiume huwa hawacheki cheki hovyo.Ni rahisi sana kuwajua kwa lugha zao wazee wa robo tatu. Ha ha ha aaa!
Kwani mmarekani akitaka kukushughulikia lazima aende ICC?!Marekani anaitambua ICC?
Nani kazungumzia ICJ au ICC ulipo ni quote?!Hapa ndo utawajua wafuasi wa Chadema walivyo na akili ndogo, hawajui kazi za ICJ na ICC. ndo maana viongozi wenu kwa kutumia upumbavu wenu huwa wanawaburuza tu mnapanua kama Amber Ruth
Sasa mwenzenu Tundu Lissu ametamka hayo leo kule VOA
Msikilize hapa:
Mkuu;Jamaa anatinga ICC; labda amwambie kabudi tujitoe fasta kwenye hiyo mahakama !!
Mkuu;Hao ICC wakileta longolongo tutawanyima misaada na kujitoa kwenye kigenge chao, mbona Trump alianzisha mchakato wakujitoa WHO
Nadhani alijua siasa ni kupiga kelele majukwaani bila mkakati sahihi!Ahadi ya lissu kwa wananchi ilikuwa kuwapeleka ICC.. Halafu unashangaa alishindwaje kwenye uchaguzi
Jambazi akiiba anaona kafanya haki, ila mashuhuda watasema haikuwa haki.Ni nani aliyepewa mamlaka ya kuamua kama uchaguzi sio huru na haki?
Kuna wengine watasema uchaguzi ulikuwa huru na haki!
Mimi na wewe tunaweza kuwa na mtazamo tofauti!