Wakati wa Lowassa ''walishitakiwa'' ICJ; Wakati wa Lissu ''wameshitakiwa'' ICC

Icc au Icj ni vyombo vya kisheria ambavyo havipo kwaajili ya kupendelea upande wowote.
Kupeleka kesi icc au icj haimaanishi umeshinda kesi, unaweza kushindwa vilevile.
Tunakumbuka Kenayata alivyohudhuria hiyo mahakama mara kadhaa,, si ajabu kuona wakenya sasa wamekuwa more democratic kuliko tz. Kila hatua ni hatua.

Kwa afrika ya mashariki nchi ya Kenya ndiyo baba wa demokrasia kwa sasa.
 
Kongole, hawa wajinga wajinga wana msongo wa mawazo! Tunawasare tu
 
Utoto
 
Narudia tena, msiishi kwa mazoea mkajidanganya mmarekani anawaogopa, nyie ni vipofu wa fikra.




Mkuu hivi unafahamu kinachoendelea sasa Marekani?
Trump anakataa kutoka madarakani, hicho ndicho kinaendelea au kuna lingine?
 
Jipe moyo tu, endelea kuishi kwa mazoea.

Mmefanya mambo ya ajabu kwenye uchaguzi mkashinda kwa namna ya aibu, mkapewa maelekezo mrekebishe mambo mmegoma, sasa Mmarekani ameshaonesha dalili anaanza, wewe endelea kuota na habari zako za Lowassa.
[emoji16] [emoji23]
 
Tatizo chadema kwa sasa kinaungwa mkono na fisadi, watu wabinafsi, wajinga na bushlawyers ie vyeti feki na kadhalika.
 
Mkuu hawa watu wanaelewa sana. Hata ulichokiandika wanakielewa sana. Lakini wanachokifanya ni kuwaaminisha wanachama wao wengi ambao ni mbumbu waamini ya kuwa kuna jambo linaendelea baada ya uchaguzi.

Nadhanibunajua fika wanachama wao ni wa aina ganj. Wengi wao ni walevi na wavuta bangi. Hivyo wanawalisha matango poli ili siku ziende.

ICC ni mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita. Hivi kwa uchaguzi huu kuna uharifu gani umefanyika ambao utauita ni uhatifu wa kivita? Wanasema uchaguzi ulikuwa na udanganyifu kwamba haukuwa huru na haki je huo ndiyo uharifu wa kivita?

Wanaweza kutoa mfano wa nchi 1 tu ambayo ilishitakiwa katika mahakama hiyo kwa kosa la kuendesha uchaguzi usiyo huru na haki?

HUYO BINTI SARUNGI WATAMWELEWA AKIWA AMEWAMALIZA. HAJAKULIA KTK SHIDA HUYO. AMEISHI NA KUSOMA KWA GHALAMA ZA CCM.
 
Mmarekani asiwaogope Libya na Iraq na nchi zingine yaani atuogope sisi kwa lipi.
Ss bado nitegemezi na hatuna chochote cha maana au Tanzanaite tuliyonayo ambayo nayo wanaweza kuiwekea vikwazo vilevile.
Uchumi wa Dunia ya sasa umebadilika. Sasa ni survival for the fittest .
Kama wewe mmarekani huitaki tanzanite, mchina atakuja kununua kukuza uchumi wa watu wake.
Kumbuka vita vya Corona!
 
Wahalifu wa kitaifa wanaweza kupelekwa ICC na wakashtakiwa huko na hii hutokea haswa ili kutoa haki kwani mahakama za ndani hazipo huru kutoa haki. Hata wewe unaweza kumshtaki mtu ICC endapo utaweza kufungua jalada huko.
Sifa za mhalifu wa kimataifa ikoje?
Atende makosa yapi kuhakiniza uhalifu wa kimataifa?
 
Ndomana wameanza maigizo ya kuomba poo ya maridhiano baada ya kukiri kuwa watanzania hawakufuata wayatakayo
Hawa jamaa walidhani watanzania ni bendera fuata opepo. Hawakujua watanzania wana hekima na busara katika kufanya maamuzi!
 
Makamanda subirini Magufuli soon atapigwa pingu na mahakama ya ICC.
Endeleeni kuamini hivyo msikate tamaa,endeleeni kukabidhi akili zenu tweeter.
#Ni yeye Lissu.a.k.a mwanaharakati mbobezi.
Makamanda ''maandazi'' wanasubiri Rais Magufuli ashitakiwe ICC!

Yaani maandamano yamewashinda halafu wanasubiri ''wapiga kelele'' wa twitter wamfikishe Rais Magufuli mahakamani!

Tanzania kuna vituko!
 
Jipe moyo tu, endelea kuishi kwa mazoea.

Mmefanya mambo ya ajabu kwenye uchaguzi mkashinda kwa namna ya aibu, mkapewa maelekezo mrekebishe mambo mmegoma, sasa Mmarekani ameshaonesha dalili anaanza, wewe endelea kuota na habari zako za Lowassa.
Soma elewa before hujacommemt upuuz
 
Kwa ccm ninavyowafahamu Vifo vya watu 13 kwenu ni kama hakuna MTU aliyekufa kabisa.
Shame on you big Burger.
 
Jipe moyo tu, endelea kuishi kwa mazoea.

Mmefanya mambo ya ajabu kwenye uchaguzi mkashinda kwa namna ya aibu, mkapewa maelekezo mrekebishe mambo mmegoma, sasa Mmarekani ameshaonesha dalili anaanza, wewe endelea kuota na habari zako za Lowassa.
Safari hii kuna kitu kitatokea tu. Subiri tuone.
 
msemakweli wewe ni muongo namba moja, mbona kwenye updates za kiambatanisho chako kuna kanusho kwamba hiyo taarifa ni uzushi?
Nini sasa msukumo wa hili bandiko lako la kizandiki?
 
Hivi awamu hii ikipita hujapata teuzi nakushaur kajinyonge. Unagundu wewe. Kwa unafiki huu hata mkuu hakuoni kweli anaenda kuweka wakina gwajima.
Kwani nilikuambia ninaandika ili nipate teuzi?

By the way, umejuaje kama zijapata teuzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…