Wakati wa uongozi Profesa Juma, Mahakama ilishindwa kusimama na wananchi dhidi ya udhalimu wa awamu ya 5

Hawa wamasai waliopewa ardhi na kujengewa nyumba na Samia? Hawa ni wajinga
 
Acha uwongo ndugu yangu. Hata rais Samia mwenyewe ambaye kwa niaba ya wasimamizi wake anajitahidi kufuta kila jambo la Magufuli, leo hii amekiri pale Dodoma kuwa transformation ya Mahakama ilianza mwaka 2015, hakusema kuwa ilianza baada ya Magufuli kufariki na yeye kuingia madarakani.
 
Katiba, katiba, katiba. Katiba mpya ni sasa
 
Halafu watu utasikia alikuwa Rais mzalendo sana, huwa inafikirisha sana utawala wa huyu mtu, sijui angekuwepo mpaka leo kungekuwa na makaburi na vilema wangapi?
 
Tunaanza ku-question elimu za hicho chuo (jalalani)
 
Teuzi za majaji wengi ziangaliwe upya wengi hawakuwa na sifa, sifa pekee ilikuwa ni kuwashughulikia wapinzani.
Yule aliyemfunga sugu alipewa ujaji hali kastaafu.
 
W
a ndio wanaanza kuelewa udhalimu wa Magufuli sasa.
 
Mjumbe wacha matusi. Mosi, huyo Jaji si ni mteule wa Rais, iweje leo awe mzuri? Pili, soma Katiba na Soma Sheria ya uteuzi wa CAG zinasemaje wacha matusi. Uamuzi wa Jaji ni hofyo, kawa Serkali ikikata rufaa itashinda. CAG ni Mhasibu, kuna sheria za Kihasibu pia Jaji hazijui. Dola haioni haja ya kukata rufaa huku Assad hayuko kazini. Assad ndiyo ampinge Jaji akate rufaa arudishwe kazini.

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
 
Mwisho wa picha wote tutakufa na tutaliwa na mafunza mpaka ktk kile kitobo kinachotoa taka mwili,haijalishi wewe ni nani,hapo ndipo mungu atabaki kuwa mungu!na kama kweli hiyo tume ya mama ssh itaongea ukweli bila kupepesa macho,wengi watavuliwa nguo tuone kende zao zikining'inia!ila kama kweli ssh nae sio mwigizaji?tunataka katiba mpya,tumechoka maana nchi hii ikipata tena raisi mwenye roho ya ...@%
 
Awamu ya nduli Ilikuwa ni aibu saaana kila unaposoma yanayojiri mahakamani...
mtz mahiri na shujaa kwenye system ninayemkumbuka awamu yanduli ni Prof. Assad hata madam prez. hakuweza kupinga uovu uliotokea kindakindaki!!!
Heko pia kwa waliojitenga na nduli, watu mahiri kama Mzee Membe, Nyalandu hawakujiungamanisha na uovu.
Viongozi weeengi waliobaki waliburuzwa kwenye uovu huku wakitetea haramu...walikuwa viongo ziii waliojaa tamaa ya pesa, hawakujali damu kumwagika wao walijali vyeo,umaarufu na pesa,shameless lead ass,wakurubia uasi.
 
Huyu prof. Juma ni mtu wa hovyo Sana. Alilinda maslahi ya tumbo lake akasahau maslahi ya nchi. Watu wameteseka sana kipindi chake
 
Labda kama unataka kuamsha hisia za watu lkn kama uko serious kwakweli unajidhalilisha! Ukizingatia kuwa nawewe uligombea kupitia chama chake inaonesha ulitamani kufanya naye kazi yakudhulumu watu mali na uhai.
Nikuulize, unamaana Nyerere tuache kumuongelea? tusimtaje? Tunamtaja kwa meengi yake mazuri aliyotufanyia ili watu wajifunze...
Huyu mpush mwenzio unayemtetea asitajwe naye tutamtaja ili watu wajifunze pia maovu yake tutayajadili kusudi mwingine asirudie!!
Tabia yakuzuia watu kujadili ni ya kijinga sana na kutuambia eti yuko peponi as if wewe ndie monitor wa peponi ni ujinga zaidi... pasco zeeka vizuri nduguyetu, tetea haki na mheshimu Mungu, nahiyo ni ibada njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…