MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Sio kweli kabisa hili jambo na ni aibu kwa mtu kama wewe paschal Mayalla kusema hivi.Walioshinikiza kusitishwa kwa biashara ya utumwa ni wamishenari, na baada ya kusitishwa kwa biashara ya utumwa ni kanisa ndio liliwagomboa watumwa wote waliokuwa sokoni kwa kuwalipia!. Lile kanisa Mkunazini limejengwa mahali palipokuwa na soko la watumwa. Udhalimu wa Waarabu Zanzibar na Pemba: Ndugu zetu waliteswa, hasiwa, bakwa, na kuuawa kinyama
P
Hata huu mkataba mbovu wa DP World ni kanisa limesimama imara kutukomboa kutoka wa waarabuWalioshinikiza kusitishwa kwa biashara ya utumwa ni wamishenari, na baada ya kusitishwa kwa biashara ya utumwa ni kanisa ndio liliwagomboa watumwa wote waliokuwa sokoni kwa kuwalipia!. Lile kanisa Mkunazini limejengwa mahali palipokuwa na soko la watumwa. Udhalimu wa Waarabu Zanzibar na Pemba: Ndugu zetu waliteswa, hasiwa, bakwa, na kuuawa kinyama
P
Aliyeleta biashara ya utumwa ni mwaraabu , watumwa waliopelekwa Uarabuni walihasiwa ili wasiwapige miti wake wake zao na dada zao ili kuacha mbegu sana sana wenyewe ndyo walokuwa wanapiga miti aiseeee mwarabu si mtu ila wale waliokwenda Marekani na Ulaya ndyo hawa sasa hivi vizazi vyao tunawaita Black American nk kina Jay Z, Puff Dad, Tyson nk. Siyo watu hawaSote tunajua kuwa imani za dini (Ukristo na Uislam) vilikuwepo kabla ya utumwa. Umewahi kujiuliza wakati Waafrica wa huku watoto wa kizungu wakitafuna urithi wetu.
HAYA mpate muda msome ni hii piaTusiwe na mahaba na dini zetu both waarabu na wazungu walishiriki vyema kabisa katika biashara ya utumwa.
Sent from my Infinix X6820 using JamiiForums mobile app
Hapa ni kanisa Katoliki limesimama kupinga na sio kutokomboa kwasababu it's too little too late, tuko kwenye maandalizi ya HGA. Baada ya IGA ya DPW na Bandari zetu, licha ya mapungufu, HGA yake inakuja. Ombi kwa Serikali yetu sikivu, tunaomba Maximum Transparency kwenye HGAHata huu mkataba mbovu wa DP World ni kanisa limesimama imara kutukomboa kutoka wa waarabu
Mkuu IFAC , kuna watu wamesoma historia ya utumwa kama story, wengine kama somo tuu, na sisi wengine history ni combi yetu!.Sio kweli kabisa hili jambo na ni aibu kwa mtu kama wewe paschal Mayalla kusema hivi.
Kulikuwa na sababu zisizo husu kabisa dini ndio chanzo Cha Uingereza kupiga marufuku shughuri hizo achilia mbali wapakwa mafuta.
Sote tunajua kuwa imani za dini (Ukristo na Uislam) vilikuwepo kabla ya utumwa. Umewahi kujiuliza wakati Waafrica wanauzwa kama Mbuzi kwenye masoko ya Ulaya, Marekani, Uarabuni, viongozi wa dini wa nchi hizo walikuwa wapi kupinga biashara hiyo, tena nchi kama Marekani watumwa wakilimishwa kwenye mashamba kwa uwazi kabisa? Jambo hili huwa najiuliza sipati majibu.
Kwa upande wa Tanzania, rasilimali zote nyeti zinamilikiwa na wawekezaji huku Watanzania wakibaki kama Watwana kwenye Maliasili zao. Madini yanachimbwa huku michanga ikibebwa na kupelekwa tusipojua, kilichomo humo hatujui, ndege kutoka Dubai inatua Loliondo na kuondoka, hivi tuna uhakika kama wanabeba wanyama hai? Vipi ule wimbo wa kwamba Tanzania iwe tayari kuelekea kwenye uchumi wa gesi ya Mtwara na Lindi, tena tunakaambiwa yatasambazwa mabomba ya gesi, kweli huo uchumi wa gesi tunauona?
Watanzania tusikubali kuingia kwenye mitego ya Wanasiasa, achaneni na propaganda za eti tusichanganye siasa na dini, viongozi wa dini zote, Waislam, Wakristo na dini nyingine, kemea mikataba mibovu. Tukiruhusu mikataba mibovu, vizazi vyetu bila kujali dini zetu vitaishia kuwa dereva bodaboda huku watoto wa kizungu wakitafuna urithi wetu.
Kanisa halina bunduki za kuzuia muumini kufanya biashara yoyote iwe ya utumwa au nyingine. Hii haiondowi ukweli kwamba mchango wa wamissionari ulikuwa mkubwa kuzuia hii biashara ya utumwa. Na kwa taarifa tu, ingawa kuna watu wako bize kupotosha kwa misingi ya kidini, wamissionari haohao walitoa mchango mkubwa kwanza kuwaelimisha Waafrika kupitia shule zao na baadae kwenye vuguvugu la ukombozi toka kwenye makucha ya wakoloni.Baada ya kusitiswa ndio kanisa likaingilia, vipi kabla ya hapo, je hawakuona waumini wao wakifanya biashara ya utumwa?
Tatizo kubwa la CCM ni kuwa nyie watu ambao ni IQ 7 ndiyo mnajitahidi kutetea mkataba mbovu huku hamna kitu kichwani. Unauliza swali ambalo kama kweli umeenda shule jibu lazima ungelikuwa nalo. Jinga kabisa.Baada ya kusitiswa ndio kanisa likaingilia, vipi kabla ya hapo, je hawakuona waumini wao wakifanya biashara ya utumwa?
Jinga jingine hili. Linafikiria ujinga halafu linaandika eti ''inawezekana''. Mijitu kama wewe haina elimu yoyote.Yawezekana hizo dini zilihusika kuwalainisha watu wakubali utumwa
Wamisionari walichangia pakubwa kusitishwa biashara ya utumwa.Sote tunajua kuwa imani za dini (Ukristo na Uislam) vilikuwepo kabla ya utumwa. Umewahi kujiuliza wakati Waafrica wanauzwa kama Mbuzi kwenye masoko ya Ulaya, Marekani, Uarabuni, viongozi wa dini wa nchi hizo walikuwa wapi kupinga biashara hiyo, tena nchi kama Marekani watumwa wakilimishwa kwenye mashamba kwa uwazi kabisa? Jambo hili huwa najiuliza sipati majibu.
Kwa upande wa Tanzania, rasilimali zote nyeti zinamilikiwa na wawekezaji huku Watanzania wakibaki kama Watwana kwenye Maliasili zao. Madini yanachimbwa huku michanga ikibebwa na kupelekwa tusipojua, kilichomo humo hatujui, ndege kutoka Dubai inatua Loliondo na kuondoka, hivi tuna uhakika kama wanabeba wanyama hai? Vipi ule wimbo wa kwamba Tanzania iwe tayari kuelekea kwenye uchumi wa gesi ya Mtwara na Lindi, tena tunakaambiwa yatasambazwa mabomba ya gesi, kweli huo uchumi wa gesi tunauona?
Watanzania tusikubali kuingia kwenye mitego ya Wanasiasa, achaneni na propaganda za eti tusichanganye siasa na dini, viongozi wa dini zote, Waislam, Wakristo na dini nyingine, kemea mikataba mibovu. Tukiruhusu mikataba mibovu, vizazi vyetu bila kujali dini zetu vitaishia kuwa dereva bodaboda huku watoto wa kizungu wakitafuna urithi wetu.
Katika hili hapana. Too late? toka wapi? Impact ya hizi kelele na awareness kwa Watanzania haviwezi kwenda bure. Na hata ikitokea serikali ikikomalia hili jambo, Serikali ya CCM itakuwa inaendelea kujichimbia kaburi japo kila wakati inatumia mabavu kubaki madarakani.Hapa ni kanisa Katoliki limesimama kupinga na sio kutokomboa kwasababu it's too little too late, tuko kwenye maandalizi ya HGA. Baada ya IGA ya DPW na Bandari zetu, licha ya mapungufu, HGA yake inakuja. Ombi kwa Serikali yetu sikivu, tunaomba Maximum Transparency kwenye HGA
P
Nkobe, umepiga ndefu sana genius.Sote tunajua kuwa imani za dini (Ukristo na Uislam) vilikuwepo kabla ya utumwa. Umewahi kujiuliza wakati Waafrica wanauzwa kama Mbuzi kwenye masoko ya Ulaya, Marekani, Uarabuni, viongozi wa dini wa nchi hizo walikuwa wapi kupinga biashara hiyo, tena nchi kama Marekani watumwa wakilimishwa kwenye mashamba kwa uwazi kabisa? Jambo hili huwa najiuliza sipati majibu.
Kwa upande wa Tanzania, rasilimali zote nyeti zinamilikiwa na wawekezaji huku Watanzania wakibaki kama Watwana kwenye Maliasili zao. Madini yanachimbwa huku michanga ikibebwa na kupelekwa tusipojua, kilichomo humo hatujui, ndege kutoka Dubai inatua Loliondo na kuondoka, hivi tuna uhakika kama wanabeba wanyama hai? Vipi ule wimbo wa kwamba Tanzania iwe tayari kuelekea kwenye uchumi wa gesi ya Mtwara na Lindi, tena tunakaambiwa yatasambazwa mabomba ya gesi, kweli huo uchumi wa gesi tunauona?
Watanzania tusikubali kuingia kwenye mitego ya Wanasiasa, achaneni na propaganda za eti tusichanganye siasa na dini, viongozi wa dini zote, Waislam, Wakristo na dini nyingine, kemea mikataba mibovu. Tukiruhusu mikataba mibovu, vizazi vyetu bila kujali dini zetu vitaishia kuwa dereva bodaboda huku watoto wa kizungu wakitafuna urithi wetu.
Utumwa hadi leo hii upo.Utumwa ulikwisha sababu baada ya industry revolution haikuwa efficient tena kuwa na watumwa wakati wangeweza kutumika kuzalisha malighafi wakiwa na illusion kwamba wapo huru...., by the way hata enzi za kina Yesu na Mohammed utumwa ulikuwa order of the day.., haya mambo yanabadilika kutokana na convenience ya watawala at any given time...,
wakuu,huwa tunapenda kuwauliza mnataka uthibitisho upi wakati mnaambiwa haya ni maswala ya imani!!!!watu wanaamini dunia ni mali ya Mungu wewe unasema wathibitishe!!!ukiambiwa thibitisha huyo uliye naye ni mpenzi wako,unadhani hakuna uthibitishi utakaoutoa utaachwa kujengewa hoja kwamba hautoshi!!!!Umeshindwa kujenga hoja ya kuonesha uwepo wa huyo Mungu.
Sasa unafanya personal attack.
Tufanye basi mimi ni mzimu.
dunia ni kamili na uwepo wa hawa mizimu,Mungu kwa utimilifu wake hakuona ni sawa akufungie kwenye kisanduku umjue yeye tu,huo ni udictator,fikiria huyo mpenzi wako umfungie ndani masaa 24 haonani na mtu mwingine,halafu udai anakupenda kweli kweli.Mungu Mkamilifu, Alishindwaje kuumba Dunia yenye watu wakamilifu bila uwepo wa mizimu?
hauna utata,utata uko kwenye mawazo ya kutokuwepo kwake.Kwa nini uwepo wa Mungu una utata?
Unafahamu Ukristo umeingia lini Tanganyika au Afrika kwa ujumla?Unasahau kuwa viongozi wa dini ndio walikuwa wapelelezi na waasisi wa utumwa wa mwanzoni.
Na bila dini hadi leo utumwa ungekuwepo tena kwa hali ya juu sana.Yawezekana hizo dini zilihusika kuwalainisha watu wakubali utumwa