MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Sio kweli kabisa hili jambo na ni aibu kwa mtu kama wewe paschal Mayalla kusema hivi.Walioshinikiza kusitishwa kwa biashara ya utumwa ni wamishenari, na baada ya kusitishwa kwa biashara ya utumwa ni kanisa ndio liliwagomboa watumwa wote waliokuwa sokoni kwa kuwalipia!. Lile kanisa Mkunazini limejengwa mahali palipokuwa na soko la watumwa. Udhalimu wa Waarabu Zanzibar na Pemba: Ndugu zetu waliteswa, hasiwa, bakwa, na kuuawa kinyama
P
Kulikuwa na sababu zisizo husu kabisa dini ndio chanzo Cha Uingereza kupiga marufuku shughuri hizo achilia mbali wapakwa mafuta.