Wakati Waafrika wakiuzwa kama watumwa, Mashehe, Mapadre, wachungaji wa Ulaya, Amerika na Uarabuni walikuwa wapi?

Walioshinikiza kusitishwa kwa biashara ya utumwa ni wamishenari, na baada ya kusitishwa kwa biashara ya utumwa ni kanisa ndio liliwagomboa watumwa wote waliokuwa sokoni kwa kuwalipia!. Lile kanisa Mkunazini limejengwa mahali palipokuwa na soko la watumwa. Udhalimu wa Waarabu Zanzibar na Pemba: Ndugu zetu waliteswa, hasiwa, bakwa, na kuuawa kinyama
P
Sio kweli kabisa hili jambo na ni aibu kwa mtu kama wewe paschal Mayalla kusema hivi.

Kulikuwa na sababu zisizo husu kabisa dini ndio chanzo Cha Uingereza kupiga marufuku shughuri hizo achilia mbali wapakwa mafuta.
 
Sote tunajua kuwa imani za dini (Ukristo na Uislam) vilikuwepo kabla ya utumwa. Umewahi kujiuliza wakati Waafrica wa huku watoto wa kizungu wakitafuna urithi wetu.
Aliyeleta biashara ya utumwa ni mwaraabu , watumwa waliopelekwa Uarabuni walihasiwa ili wasiwapige miti wake wake zao na dada zao ili kuacha mbegu sana sana wenyewe ndyo walokuwa wanapiga miti aiseeee mwarabu si mtu ila wale waliokwenda Marekani na Ulaya ndyo hawa sasa hivi vizazi vyao tunawaita Black American nk kina Jay Z, Puff Dad, Tyson nk. Siyo watu hawa
 
Bonge la swali......hivi mbingu/pepo....ipo kweli?🙂
 
Sio kweli kabisa hili jambo na ni aibu kwa mtu kama wewe paschal Mayalla kusema hivi.

Kulikuwa na sababu zisizo husu kabisa dini ndio chanzo Cha Uingereza kupiga marufuku shughuri hizo achilia mbali wapakwa mafuta.
Mkuu IFAC , kuna watu wamesoma historia ya utumwa kama story, wengine kama somo tuu, na sisi wengine history ni combi yetu!.
P
 
Sote tunajua kuwa imani za dini (Ukristo na Uislam) vilikuwepo kabla ya utumwa. Umewahi kujiuliza wakati Waafrica wanauzwa kama Mbuzi kwenye masoko ya Ulaya, Marekani, Uarabuni, viongozi wa dini wa nchi hizo walikuwa wapi kupinga biashara hiyo, tena nchi kama Marekani watumwa wakilimishwa kwenye mashamba kwa uwazi kabisa? Jambo hili huwa najiuliza sipati majibu.

Kwa upande wa Tanzania, rasilimali zote nyeti zinamilikiwa na wawekezaji huku Watanzania wakibaki kama Watwana kwenye Maliasili zao. Madini yanachimbwa huku michanga ikibebwa na kupelekwa tusipojua, kilichomo humo hatujui, ndege kutoka Dubai inatua Loliondo na kuondoka, hivi tuna uhakika kama wanabeba wanyama hai? Vipi ule wimbo wa kwamba Tanzania iwe tayari kuelekea kwenye uchumi wa gesi ya Mtwara na Lindi, tena tunakaambiwa yatasambazwa mabomba ya gesi, kweli huo uchumi wa gesi tunauona?

Watanzania tusikubali kuingia kwenye mitego ya Wanasiasa, achaneni na propaganda za eti tusichanganye siasa na dini, viongozi wa dini zote, Waislam, Wakristo na dini nyingine, kemea mikataba mibovu. Tukiruhusu mikataba mibovu, vizazi vyetu bila kujali dini zetu vitaishia kuwa dereva bodaboda huku watoto wa kizungu wakitafuna urithi wetu.

Yawezekana hizo dini zilihusika kuwalainisha watu wakubali utumwa
 
Baada ya kusitiswa ndio kanisa likaingilia, vipi kabla ya hapo, je hawakuona waumini wao wakifanya biashara ya utumwa?
Kanisa halina bunduki za kuzuia muumini kufanya biashara yoyote iwe ya utumwa au nyingine. Hii haiondowi ukweli kwamba mchango wa wamissionari ulikuwa mkubwa kuzuia hii biashara ya utumwa. Na kwa taarifa tu, ingawa kuna watu wako bize kupotosha kwa misingi ya kidini, wamissionari haohao walitoa mchango mkubwa kwanza kuwaelimisha Waafrika kupitia shule zao na baadae kwenye vuguvugu la ukombozi toka kwenye makucha ya wakoloni.
 
Baada ya kusitiswa ndio kanisa likaingilia, vipi kabla ya hapo, je hawakuona waumini wao wakifanya biashara ya utumwa?
Tatizo kubwa la CCM ni kuwa nyie watu ambao ni IQ 7 ndiyo mnajitahidi kutetea mkataba mbovu huku hamna kitu kichwani. Unauliza swali ambalo kama kweli umeenda shule jibu lazima ungelikuwa nalo. Jinga kabisa.
 
Sote tunajua kuwa imani za dini (Ukristo na Uislam) vilikuwepo kabla ya utumwa. Umewahi kujiuliza wakati Waafrica wanauzwa kama Mbuzi kwenye masoko ya Ulaya, Marekani, Uarabuni, viongozi wa dini wa nchi hizo walikuwa wapi kupinga biashara hiyo, tena nchi kama Marekani watumwa wakilimishwa kwenye mashamba kwa uwazi kabisa? Jambo hili huwa najiuliza sipati majibu.

Kwa upande wa Tanzania, rasilimali zote nyeti zinamilikiwa na wawekezaji huku Watanzania wakibaki kama Watwana kwenye Maliasili zao. Madini yanachimbwa huku michanga ikibebwa na kupelekwa tusipojua, kilichomo humo hatujui, ndege kutoka Dubai inatua Loliondo na kuondoka, hivi tuna uhakika kama wanabeba wanyama hai? Vipi ule wimbo wa kwamba Tanzania iwe tayari kuelekea kwenye uchumi wa gesi ya Mtwara na Lindi, tena tunakaambiwa yatasambazwa mabomba ya gesi, kweli huo uchumi wa gesi tunauona?

Watanzania tusikubali kuingia kwenye mitego ya Wanasiasa, achaneni na propaganda za eti tusichanganye siasa na dini, viongozi wa dini zote, Waislam, Wakristo na dini nyingine, kemea mikataba mibovu. Tukiruhusu mikataba mibovu, vizazi vyetu bila kujali dini zetu vitaishia kuwa dereva bodaboda huku watoto wa kizungu wakitafuna urithi wetu.
Wamisionari walichangia pakubwa kusitishwa biashara ya utumwa.
 
Hapa ni kanisa Katoliki limesimama kupinga na sio kutokomboa kwasababu it's too little too late, tuko kwenye maandalizi ya HGA. Baada ya IGA ya DPW na Bandari zetu, licha ya mapungufu, HGA yake inakuja. Ombi kwa Serikali yetu sikivu, tunaomba Maximum Transparency kwenye HGA
P
Katika hili hapana. Too late? toka wapi? Impact ya hizi kelele na awareness kwa Watanzania haviwezi kwenda bure. Na hata ikitokea serikali ikikomalia hili jambo, Serikali ya CCM itakuwa inaendelea kujichimbia kaburi japo kila wakati inatumia mabavu kubaki madarakani.

Wakati ni ukuta, kizazi kinabadilika na technologia ya habari inakua pia. Kuna siku vijana watatoka usingizini na ipo siku hawatakubali kutumika tena!!!

1. Preamble

Dear Jakaya Mrisho Kikwete,
The Former President of the United Republic of Tanzania,

The convergence point of hopes and fears of the citizenry in each and every nation-state is land, the natural resources embedded in the land and the land-borne artificial infrastructures.
 
Sote tunajua kuwa imani za dini (Ukristo na Uislam) vilikuwepo kabla ya utumwa. Umewahi kujiuliza wakati Waafrica wanauzwa kama Mbuzi kwenye masoko ya Ulaya, Marekani, Uarabuni, viongozi wa dini wa nchi hizo walikuwa wapi kupinga biashara hiyo, tena nchi kama Marekani watumwa wakilimishwa kwenye mashamba kwa uwazi kabisa? Jambo hili huwa najiuliza sipati majibu.

Kwa upande wa Tanzania, rasilimali zote nyeti zinamilikiwa na wawekezaji huku Watanzania wakibaki kama Watwana kwenye Maliasili zao. Madini yanachimbwa huku michanga ikibebwa na kupelekwa tusipojua, kilichomo humo hatujui, ndege kutoka Dubai inatua Loliondo na kuondoka, hivi tuna uhakika kama wanabeba wanyama hai? Vipi ule wimbo wa kwamba Tanzania iwe tayari kuelekea kwenye uchumi wa gesi ya Mtwara na Lindi, tena tunakaambiwa yatasambazwa mabomba ya gesi, kweli huo uchumi wa gesi tunauona?

Watanzania tusikubali kuingia kwenye mitego ya Wanasiasa, achaneni na propaganda za eti tusichanganye siasa na dini, viongozi wa dini zote, Waislam, Wakristo na dini nyingine, kemea mikataba mibovu. Tukiruhusu mikataba mibovu, vizazi vyetu bila kujali dini zetu vitaishia kuwa dereva bodaboda huku watoto wa kizungu wakitafuna urithi wetu.
Nkobe, umepiga ndefu sana genius.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Hapa ndipo nimegundua watumwa wote wanatetea mabwana zao mtu mweusi ni duni sana na atabaki kuwa mtumwa forever
 
Utumwa ulikwisha sababu baada ya industry revolution haikuwa efficient tena kuwa na watumwa wakati wangeweza kutumika kuzalisha malighafi wakiwa na illusion kwamba wapo huru...., by the way hata enzi za kina Yesu na Mohammed utumwa ulikuwa order of the day.., haya mambo yanabadilika kutokana na convenience ya watawala at any given time...,
Utumwa hadi leo hii upo.

Wale vibarua wanaofanya kazi za maofisini na viwandani ni sawa tu na watumwa wa miaka hiyoo.
 
Umeshindwa kujenga hoja ya kuonesha uwepo wa huyo Mungu.
wakuu,huwa tunapenda kuwauliza mnataka uthibitisho upi wakati mnaambiwa haya ni maswala ya imani!!!!watu wanaamini dunia ni mali ya Mungu wewe unasema wathibitishe!!!ukiambiwa thibitisha huyo uliye naye ni mpenzi wako,unadhani hakuna uthibitishi utakaoutoa utaachwa kujengewa hoja kwamba hautoshi!!!!
Sasa unafanya personal attack.

Tufanye basi mimi ni mzimu.

Mungu Mkamilifu, Alishindwaje kuumba Dunia yenye watu wakamilifu bila uwepo wa mizimu?
dunia ni kamili na uwepo wa hawa mizimu,Mungu kwa utimilifu wake hakuona ni sawa akufungie kwenye kisanduku umjue yeye tu,huo ni udictator,fikiria huyo mpenzi wako umfungie ndani masaa 24 haonani na mtu mwingine,halafu udai anakupenda kweli kweli.
Kwa nini uwepo wa Mungu una utata?
hauna utata,utata uko kwenye mawazo ya kutokuwepo kwake.
ndio sababu hauwezi kutulia na mawazo yako maana hayana nguzo,inabidi uje tubabuane hapa ili upate uhalisia na kujiridhisha kabisa kwamba ulikuwa unawaza vibaya.
 
Back
Top Bottom