Wakati Watanzania tukiendelea 'Kulewa' na Hotuba ya 'Kumkaanga' Ndugai, tujue Magufuli Umeme ni Tsh 27,000/ na Samia ni Tsh 320,000/

Weka receipt ya uliyolipia hiyo Tsh 27,000 hapa mjini na ukaunganishwa umeme
 
Hili swali pia najiuliza sana mtu kajimilikisha huduma kila siku analalama angekua na washindani angekuaje .
 
Weka receipt ya uliyolipia hiyo Tsh 27,000 hapa mjini na ukaunganishwa umeme
Nyie ndo mnaturudisha nyuma na mawazo mgando mnabakia kufikiria kasema kasema, Biashara ambayo haina mshindani unakosaje faida? Kila siku unapandisha gharama ya kumfungia mtu umeme kwelii!! Tumia akili yako vzr kung'amua mambo usibaki kasema kasema!

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Nenda kwa meneja kwa sehemu husika, atakuonyesha sehemu ambazo REA inakubalika. Mf. Kwetu Kerege- CCM ni REA ila Kuna walioenda kichwakichwa wakapigwa 320000.
 
Yeah! Yote hayo yalifanyika wakati wa Magufuli kwa TZS 27,000.00 tu, tena Jijini kabisa.
Ata wakati wa Samia,
Mm nimelipia elfu 27 mwezi wa 10 tu. Lkn shida ndio kubwa mpaka uje uungiwe utaisoma namba...Kwanza surveyor mpaka afik hapo kwako utajuta kwann ulifanya wiring
 
Tuweni wakeli, kushushwa kule kulikuwa kimkakati, katika mwendelezo wa hadaa Kwa mdanganyika, hivyo kuleta lawama kuwa gharama zimepanda Sasa ni mwendeleo wa uvivu wakuyatambua mambo, au kufikiri Kwa mtanzania/mdanganyika.
 
Wewe mbona baba yako hajawa kama Bakhresa.

Umebaki kuwa msukule na mateka wa mbowe, kazi yako ni kutumika kwenye maandamano tu.
 
Ata wakati wa Samia,
Mm nimelipia elfu 27 mwezi wa 10 tu. Lkn shida ndio kubwa mpaka uje uungiwe utaisoma namba...Kwanza surveyor mpaka afik hapo kwako utajuta kwann ulifanya wiring
Hao ni corrupt!! Hatujui haki zetu kila ukiomba huduma ya kumfungiwa maji au kuunganishiwa umeme unabembeleza,Aisee hii Nchi ni shida tupu.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 



 
Huo umeme ni wa rea kama kuna mtu wa mjini alieunganishiwa kwa hio bei tajwa ni wachache ilikua ukilipa bla bla ni nyingi mpka utoe ka hongo au kuna koneksheni ndo mambo yanakua mujarabu
Nina zaidi ya miezi 8 tangu nilipie. Kila nikiulizia napigwa kalenda na sababu kibao.. mara mita hakuna mara sijui nini. Uchuro mtupu
 
 
Wewe mbona baba yako hajawa kama Bakhresa.

Umebaki kuwa msukule na mateka wa mbowe, kazi yako ni kutumika kwenye maandamano tu.
Tafuta CV yangu!! Huko kwenye vyama we ndo unakowaza,hatujengi hoja za kiitikadi uenda uliko ndo nilipo,huu mjadala ni huru kila mtu ana uhuru wa kuongea ,Nchi lazima iende haitabaki palepale tunachokataa ni kurudi tulikotoka.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Hata wangeweka umeme bure wangepata faida, sijui wanakwama wapi.
Labda kwa kuwa nguzo wangeweka za michongoma na nyaya watumie zile kamba za kudu hapo uhakika hata wangeweka bure wangepata faida
 
Kama umeweza kujenga nyumba ya million kadhaaa huwezi kushindwa kulipa 320.000 ambayo ni bei ya mlango moja wa mninga. Watanzania tuwe focused kudai mambo ya msingi sio hizi ishu ndogo zinazotutoa kwenye mijadala ya kitaifa ambayo ni ya msingi kama tume huru ya uchaguzi na Katiba mpya.
 
Unamuwekea mtu umeme kwa 320,000tsh, au kwa kuunga nguzo 500+, wakati huo gharama za nguzo ni zake. Ila akishaungwa nguzo inabaki mali ya tanesco, watakaoijunga baada yake hawana hizo gharama tena coz mmoja wao aliyetangulia aliwanunulia nguzo, ambayo inabaki kuwa mali ya tanesco.

Hizi sheria zinatungwa na wasomi...
Tutafika tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…