MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Weka receipt ya uliyolipia hiyo Tsh 27,000 hapa mjini na ukaunganishwa umemeSio kweli umeongea pumba na uongo mkubwa. Wengi tu tuko mjini tena jijini tuliunganishiwa bila longolongo kwa bei ya Tsh. 27,000. Tena enzi hizo za Magufuli umeme haukatwi,tofauti na sasa umeme umerudi enzi hizo tulizoanza kuzisahau kipindi cha Magufuli. Hakika pamoja mapungufu yake machache,kwa haya ya meme lazima tumkumbuke mwamba huyu Magufuli