Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Nawakumbusha tu vijana.
Kuwa wakati nyie mnabishana kuhusu Simba na Yanga au Liverpool na Man U wanasiasa pamoja na marafiki zao matajiri wanagawanya ajira nzuri nzuri na kuwapatia watoto wao.
Nyie endeleeni kusubiri ajira zile za kukaripiwa na madiwani, ma DAS, ma DED, ma DC n.k, nako hizo zenyewe hamzipati.