Wakati watoto wa masikini mnabishana kuhusu Simba na Yanga, matajiri na marafiki zao wanasiasa wanawagawia ajira nzuri watoto wao

Kuna muda hua nawaza inawezekana wale watu waliokua wanajenga mnara mrefu kuelekea kwa Mungu juu tukawa ni sisi watu weusi, na kipindi hicho inawezekana tulikua na akili nzuri tu za kushirikiana kupambania jambo kwa umoja. Balaa lilikuja pale tulipo changanyiwa lugha tukaacha kuelewana na laana juu ndio hivi mpaka leo tunaishi hovyo hovyo tu
 
Nawakumbusha tu vijana.

Kuwa wakati nyie mnabishana kuhusu Simba na Yanga au Liverpool na Man U wanasiasa pamoja na marafiki zao matajiri wanagawanya ajira nzuri nzuri na kuwapatia watoto wao.

Nyie endeleeni kusubiri ajira zile za kukaripiwa na madiwani, ma DAS, ma DED, ma DC n.k, nako hizo zenyewe hamzipati.
Tz simba na yanga imeharibu kabisa mtakabali wao.

Unaenda dukani kijana anauza duka lakini hajali wateja kabisa kwa sababu anaangalia mechi ya Yanga.
 
Tufanyaje sasa ?...hata tusipobishana ndio watatupa hizo ajira nzuri ?
 
Tz simba na yanga imeharibu kabisa mtakabali wao.

Unaenda dukani kijana anauza duka lakini hajali wateja kabisa kwa sababu anaangalia mechi ya Yanga.
Sasa shida ni ya kijana au ni simba na yanga
 
Sadaka ni toleo la chochote.. kutoa
kweli mkuu , nimekuuliza kwa sababu vijana wapate kujua ,nini maana hasa ya kujitoa sadaka... kwenye maneno matakatifu wanasema sadaka ya kweli ni ile unayotoa huku inauma , kwa hiyo hili kutoka kwenye umaskini inabidi tuachane na baadhi ya hivi huku tunaumia tu . Mfano Mademu wengi , umbea , kushiriki kwenye mijadala isiyo na tija.
 
Yaaah yaani kujitoa ni kitu kimoja kigumu sana an utaumia ila ndo hivo unakua na target ya kitu fulan kweli mkuu wala ujakosea kabisa
 
Back
Top Bottom