Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Mkiacha kupoteza muda na mambo yasiyo na tija hasa kwa kutizama karba yako na uhalisia wa maisha utatusua sanaKwahiyo tukiacha kubishana ndio tutapata hizo ajira au?
Sawa naelewa hilo.. asante pia kwa kunipa ushauriMkiacha kupoteza muda na mambo yasiyo na tija hasa kwa kutizama karba yako na uhalisia wa maisha utatusua sana
🤓🤓🤓🤝Uo ndo ukweli
Hii nimeliona hakika Usipokuwa makini lazima utakuwa msukule hasa Kama umetokea Familiya masikini ,🤓🤓🤓🤝
Sasa usipobishana ndo utapata hizo ajira au....?Hii nimeliona hakika Usipokuwa makini lazima utakuwa msukule hasa Kama umetokea Familiya masikini ,
Unabidi kukaa mbali na Simba na Yanga katika kubishana mara kubishana sijui kuhusu wasanii diamond na Alikiba
Wanasiasa wanapenda tusizinduke na Kujitambua wanataka Muda wote tuwaze Simba na YangaSawa naelewa hilo.. asante pia kwa kunipa ushauri
Twende. Kwenye mada ya jamaa je tukiacha kubishana ndo tutapata hizo ajira au..?
Ajira nzuri unaipataje wakati umezungukwa na watu ambao hawana connection huwezi pata.Sasa usipobishana ndo utapata hizo ajira au....?
ukweli ni kwamba mwenye nacho ataongezewa , na aliye na kidogo hata hicho atapokonywa , ila ukitaka kuchomoka hapo inaitajika nguvu ya ziada.Sawa naelewa hilo.. asante pia kwa kunipa ushauri
Twende. Kwenye mada ya jamaa je tukiacha kubishana ndo tutapata hizo ajira au..?
Ishu mtoa mada nae kaleta mkanganyiko kidogo...Wanasiasa wanapenda tusizinduke na Kujitambua wanataka Muda wote tuwaze Simba na Yanga
Markonkovu.....ukweli ni kwamba mwenye nacho ataongezewa , na aliye na kidogo hata hicho atapokonywa , ila ukitaka kuchomoka hapo inaitajika nguvu ya ziada.
Unajua Taarifa sahihi mara nyingi lazima ziwapate wanaozitafuta hapa Tz Kuna Nguvu kubwa imewekezwa kuhakikisha watu wanakuwa wajinga yaani Serikali inatumia Nguvu kubwa ili sisi tusizinduke katika usingizi wa ponoIshu mtoa mada nae kaleta mkanganyiko kidogo...
Kijana ataacha kubishana mambo ya simba na yanga atafanya mambo yake je vipi kuhusu hizo ajira ambazo wanapeana kindugu..
Mi nikazani baada ya kuacha hayo mambo ya kubishana takua miongoni mwa watakaopata hizo ajira ujue
Hii nzuri mkuu...Ajira nzuri unaipataje wakati umezungukwa na watu ambao hawana connection huwezi pata.
Wengi walikuta mazingira mazuri mkuu , asikuambie mtu ni wachache sana kama 10% ndio wamechomoka wenyewe ?Markonkovu.....
Ni kweli mkuu.. hivi mkuu hao wanasiasa na matajiri wa kubwa walizaliwa na kukuta mambo yapo hivo moja kwa moja au ni hustle zao tu ..?
Competitive advantages... 🤓🤓👆Unajua Taarifa sahihi mara nyingi lazima ziwapate wanaozitafuta hapa Tz Kuna Nguvu kubwa imewekezwa kuhakikisha watu wanakuwa wajinga yaani Serikali inatumia Nguvu kubwa ili sisi tusizinduke katika usingizi wa pono
Source ya wao kukulia mazingira mazuri ni ipi mkuu...?Wengi walikuta mazingira mazuri mkuu , asikuambie mtu ni wachache sana kama 10% ndio wamechomoka wenyewe ?