Kabisa mkuu wanadhani watatuprovoke tuone tumechelewa wapate chance ya kuingia ingia hovyo na kutoka.By the way kabla DRC hajawa mwanachama wa EAC alikuwa mwanachama wa Tanzania,( sijui kama watanielewa).Hahahaha, hatuwezi kufanya hilo kosa, tukiruhusu mtajazana Tanzania Kama "Ukrainians" wanavyojazana Poland[emoji23][emoji23][emoji23]
Geza uko vizuri kwenye kutuhabarisha hapa jamvini. I salute you brother.022-03-25 16:05:12
MTI Investment's subsidiary Ecohomes is awarded a major contract for CRDB Bank in Lubumbashi in the Democratic Republic of the Congo worth approx. SEK 5.6 million (EUR 541,00)
MTI Investment SE announces that its subsidiary Ecohomes Company Ltd has been awarded a major contract for fit-out works for DRC subsidiary head office branch and premier lounge at Lubumbashi in the Democratic Republic of the Congo for a total fixed cost of USD 595,000, inclusive of VAT, which corresponds to approximately SEK 5.6 million (EUR 541,000).
CRDB Bank Plc is the largest commercial bank in Tanzania in terms of asset size and is listed on the Dar Es Salaam stock exchange. CRDB aims at becoming a regional powerhouse and has already a presence in neighboring Burundi, with plans to enter Zambia, Malawi, Comoro, Uganda, and Kenya.
Lubumbashi is the third-largest city in the Democratic Republic of the Congo (DRC), and a key commercial and industrial center, located in the country's southeasternmost part, along the border with Zambia. The city has more than 2.6 million inhabitants in the urban area. On March 29th, 2022, DRC will formally become the 7th member of the East African Community (EAC), thereby creating a trading bloc of approximately 300 million people.
Pontus Engström, CEO of MTI Investment and Chairman in Ecohomes says "It is a remarkable achievement by the team in Ecohomes, and it makes us proud to be assisting CRDB in achieving its vision. With many people lacking access to a bank, the construction of more bank branches is absolutely vital to the growth of business."
Eric Chonjo, founder, and CEO of Ecohomes explains: "With 80,000 trucks passing through the border between Tanzania and DRC, where most of the transactions are done in cash, the establishment of a subsidiary here will have a monumental impact on the growth of the region and facilitate more business between the two countries. Once we start breaking ground, there will be more opportunities for us ahead."
The construction work has just begun and is expected to last for twenty-two weeks. Inclusive of the previously announced projects for CRDB and Stanbic, Ecohomes has during the first three months of the year landed projects worth SEK 10 million (EUR 963,000).
The revenues of this project will fall into quarter 2 and 3 when the project is completed. By comparison, last year, Ecohomes achieved a turnover of EUR 1.367,000. MTI Investment owns 77% of Ecohomes whereas the remaining 23% is owned by Pivotech Company Limited.
Certified Adviser
The Company's Certified Adviser is Mangold Fondkommission AB which can be reached at 08-5030 1550 and by e-mail ca@mangold.se.
For additional information
Pontus Engström, CEO, MTI Investment SE
pontus.engstrom@mti-investment.com
+46 70 716 55 38
About MTI Investment SE
MTI Investment SE is a Nordic investment and venture building company, founded in 2014 by a team with extensive experience from emerging markets with the aim of investing in East African small and medium-sized enterprises ("SME") with high value-adding potential. The Company is active in the expansive East African market, and by being a long-term and active owner, MTI Investment helps its portfolio companies grow faster and become more profitable. The Company invests primarily in innovative and scalable companies that have the potential for a significant positive impact on society.
Yeah sure ndio maana Nasema DRC ni mshirika wetu kitambo sana , tunajuana vizuri sana, ukaribu wetu na wao ni faida kubwa.sisi tupo kule tayari kuna kampuni nyingi za mining zilizopo Tanzania zipo kule tayari! CRDB ifanye haraka kurahisisha financial transactions kati ya Tanzania na DRC! Biashara ya mafuta na gesi ya DRC na Uganda makampuni ya Tanzania yana-control! oil tankers za Lake Tanganyika na Lake Victoria zikamilike modernization! Wacha Mkunya aendelee kuwika akifikiri ati kununua mabenki ya DRC ndo kulazimisha makampuni ya Tanzania kupitisha fedha zao huko, atashangaa!
Kuwika kwa Mkunya ndo jadi yake sisi huwa hatupigi nduru!
Nakwmabia hivi hatutakurupuka kufanya kitu ambacho nyinyi mnakifanya mkilenga faida, hujui yaliyoko jikoni. Tanzania yetu ina maana sana kufanya vitu kwa umakini kuliko kukurupuka. Tunaweka mambo sawa. Mnakumbuka mlivyokuwa mnakomaa mnataka ardhi iwe ndani ya jumuia ya muungano wa EAC?? Ingekuwaje iwapo tungekurupuka na kuridhia???TUKO MAKINI KIJANA.Sio kwamba hawatambui ID za Kenya ni kwamba wana tashwishi kuhusu vitambulisho. Kisa wao wenyewe mambo ya National ID wameanza miaka ya hivi majuzi tu. Tena shughuli yenyewe ya kuwasajili na kuwapa vitambulisho watz bado ni kizungumkuti kwao. Utadhani ni process moja complex kama kurusha chombo kuelekea sayari nyingine. [emoji1]
Yaani vitu kama hivyo ambavyo nchini Kenya vimefanywa virahisi kwa miongo zaidi ya mitano, ndio vinawalemea hawa majirani, kwenye karne hii! [emoji57]
Mwezi uliopita nimezuru Rwanda kwa shughuli za kibiashara. Kutua Kigali customs wananieleza leta ID tu, hamna haja ya passport. Nilipositasita nikaniuliza, you are Kenyan right? Huku wakinyooshea kidole kiganja changu. Siunatujua tu sisi wakenya na zile bracelet za bendera yetu? Nikabaki najiambia yes, hii sasa ndio 'intergration'.
Mwendo huwa ni huo huo Uganda pia, kwa wakenya na warwanda na hivyo hivyo kwenye boda za Kenya, kwa waganda na warwanda. Naamini kwamba DRC nao pia wataingia kwenye mfumo huo huo, bila madrama kibao kama za hawa majirani.
Nakwmabia hivi hatutakurupuka kufanya kitu ambacho nyinyi mnakifanya mkilenga faida, hujui yaliyoko jikoni. Tanzania yetu ina maana sana kufanya vitu kwa umakini kuliko kukurupuka. Tunaweka mambo sawa. Mnakumbuka mlivyokuwa mnakomaa mnataka ardhi iwe ndani ya jumuia ya muungano wa EAC?? Ingekuwaje iwapo tungekurupuka na kuridhia???TUKO MAKINI KIJANA.
Sio kwamba hawatambui ID za Kenya ni kwamba wana tashwishi kuhusu vitambulisho. Kisa wao wenyewe mambo ya National ID wameanza miaka ya hivi majuzi tu. Tena shughuli yenyewe ya kuwasajili na kuwapa vitambulisho watz bado ni kizungumkuti kwao. Utadhani ni process moja complex kama kurusha chombo kuelekea sayari nyingine. 😄
Yaani vitu kama hivyo ambavyo nchini Kenya vimefanywa virahisi kwa miongo zaidi ya mitano, ndio vinawalemea hawa majirani, kwenye karne hii! 😏
Mwezi uliopita nimezuru Rwanda kwa shughuli za kibiashara. Kutua Kigali customs wananieleza leta ID tu, hamna haja ya passport. Nilipositasita nikaniuliza, you are Kenyan right? Huku wakinyooshea kidole kiganja changu. Siunatujua tu sisi wakenya na zile bracelet za bendera yetu? Nikabaki najiambia yes, hii sasa ndio 'intergration'.
Mwendo huwa ni huo huo Uganda pia, kwa wakenya na warwanda na hivyo hivyo kwenye boda za Kenya, kwa waganda na warwanda. Naamini kwamba DRC nao pia wataingia kwenye mfumo huo huo, bila madrama kibao kama za hawa majirani.
Sisi hatuwezi kuwaruhusu wakenya kuingia Tanzania kwa kutumia ID, ninyi mtajazana huku Tanzania hamtorudi Kenya, ninyi ni wakora, nchi yenu imewashinda Sasa mnataka kuja kutuharibia nchi yetu, rushwa, ujambazi, wizi na ukabila ndio tunaogopaSio kwamba hawatambui ID za Kenya ni kwamba wana tashwishi kuhusu vitambulisho. Kisa wao wenyewe mambo ya National ID wameanza miaka ya hivi majuzi tu. Tena shughuli yenyewe ya kuwasajili na kuwapa vitambulisho watz bado ni kizungumkuti kwao. Utadhani ni process moja complex kama kurusha chombo kuelekea sayari nyingine. [emoji1]
Yaani vitu kama hivyo ambavyo nchini Kenya vimefanywa virahisi kwa miongo zaidi ya mitano, ndio vinawalemea hawa majirani, kwenye karne hii! [emoji57]
Mwezi uliopita nimezuru Rwanda kwa shughuli za kibiashara. Kutua Kigali customs wananieleza leta ID tu, hamna haja ya passport. Nilipositasita nikaniuliza, you are Kenyan right? Huku wakinyooshea kidole kiganja changu. Siunatujua tu sisi wakenya na zile bracelet za bendera yetu? Nikabaki najiambia yes, hii sasa ndio 'intergration'.
Mwendo huwa ni huo huo Uganda pia, kwa wakenya na warwanda na hivyo hivyo kwenye boda za Kenya, kwa waganda na warwanda. Naamini kwamba DRC nao pia wataingia kwenye mfumo huo huo, bila madrama kibao kama za hawa majirani.
Hahahaha, msijiliwaze katika hili mkidhani Kuna siku mkenya ataweza kutumia ID kuingia Tanzania, haiwezikani, kukurupuka kwenu ndio sababu mnapigwa na wachina katika kila mradi, mlikurupuka na CoW ikashindikana, tourist visa ikashindikana, bila Tanzania hapa EA hakuna kinachowezekanaTatizo lao huchelewa kwenye kila kitu kisha wanakurupuka dakika za mwisho inakua kama vurugu. Sijui shida huwa IQ au nini haswa...
Wakongo hakuna nchi wanayoikubali Kama Tanzania hii fursa waliopata sidhan Kama Kuna asilimia kubwa ya wakongo wanaowaza Kenya na Uganda wao akili yako Tanzania tuNakwmabia hivi hatutakurupuka kufanya kitu ambacho nyinyi mnakifanya mkilenga faida, hujui yaliyoko jikoni. Tanzania yetu ina maana sana kufanya vitu kwa umakini kuliko kukurupuka. Tunaweka mambo sawa. Mnakumbuka mlivyokuwa mnakomaa mnataka ardhi iwe ndani ya jumuia ya muungano wa EAC?? Ingekuwaje iwapo tungekurupuka na kuridhia???TUKO MAKINI KIJANA.
Wakongo hakuna nchi wanayoikubali Kama Tanzania hii fursa waliopata sidhan Kama Kuna asilimia kubwa ya wakongo wanaowaza Kenya na Uganda wao akili yako Tanzania tu
Umeongea vyema mkuu.Wakongo hakuna nchi wanayoikubali Kama Tanzania hii fursa waliopata sidhan Kama Kuna asilimia kubwa ya wakongo wanaowaza Kenya na Uganda wao akili yako Tanzania tu
Wayatoe wapi, wanategemea alizeti ya Tanzania, hivi Sasa hawaipati yote inatumika hapa nchiniMkuu tuleteeni mafuta ya kupikia si Mama alishawafungulia milango
Ndugu asilazimishe mambo.True, Uganda ,Rwanda wako chap chap. Hawa
majirani wa kusini Mungu awasaidie sana. Hawa DRC naona wakijiunga na coalition of the willing. Hakuna mambo ya kutumia passport wala kulipa visa kuingia DRC hivi karibuni.
Kuna nchi wachina wameipiga kama Kenya?alafu anawajengea vitu low quality wakati hapa Tanzania hawezi kujenga vitu low quality.Hehehe! Hapa ndipo ilipo tofauti yetu na nyie wahanga wa mfumo wa ujamaa, kikubwa kwenu ni kukubalika na Wakongo, mnatosheka tu na ile kwamba Wakongo akili zao ziko Tanzania, mnapenda sana kuitwa ndugu na pumba zote za ujamaa.
Sisi akili zetu zinawaza maslahi ya kiuwekezaji, hatuna muda wa kutafuta undugu.
Ndio maana Wachina walishajua namna ya kuwatafuna, wanajimix na kuwaita ndugu mpaka wameingia kwenye siasa za nchi...
Kuna nchi wachina wameipiga kama Kenya?alafu anawajengea vitu low quality wakati hapa Tanzania hawezi kujenga vitu low quality.
Ya right...True, Uganda ,Rwanda wako chap chap. Hawa
majirani wa kusini Mungu awasaidie sana. Hawa DRC naona wakijiunga na coalition of the willing. Hakuna mambo ya kutumia passport wala kulipa visa kuingia DRC hivi karibuni.
Hapa tulipo tayari wapo busy kuingiza mifugo Ngorongoro kwa kisingizio eti Maasailand ila cha ajabu wanairuka Masai Mara!Sisi hatuwezi kuwaruhusu wakenya kuingia Tanzania kwa kutumia ID, ninyi mtajazana huku Tanzania hamtorudi Kenya, ninyi ni wakora, nchi yenu imewashinda Sasa mnataka kuja kutuharibia nchi yetu, rushwa, ujambazi, wizi na ukabila ndio tunaogopa
Ninyi watu wapumbavu sana, sifa yenu kubwa ni kujipiga vifua for nothingTrue, Uganda ,Rwanda wako chap chap. Hawa
majirani wa kusini Mungu awasaidie sana. Hawa DRC naona wakijiunga na coalition of the willing. Hakuna mambo ya kutumia passport wala kulipa visa kuingia DRC hivi karibuni.
Tatizo lao huchelewa kwenye kila kitu kisha wanakurupuka dakika za mwisho inakua kama vurugu. Sijui shida huwa IQ au nini haswa...
True, Uganda ,Rwanda wako chap chap. Hawa