Wakati wenzetu wanang'aka kuhusu vita DRC, Waganda tayari wameanza kuchangamkia fursa, Wakenya tusichelewe

Wafanyabiashara wa Uganda wameambiwa Kwa kipindi hiki cha vugu vugu la uchaguzi Kenya inabidi watumie bandari ya Dar ili kuepuka hasara.

Kwa efficiency iliyopo Dar.. Tukiji adjust kwenye customer and customs service support. Ni automatically tutabadilisha upepo hata baada ya kumaliza uchaguzi wenu itakuwa ngumu kuwarudisha waganda msa port.

Dar Kuna good competitive price compare to Kenya... From Port charges, accommodation, foods and recreations.. U name it all.. Hao wafanyabiashara wa UG watahamia Bongo mazima.. Kama wale wa Congo, Rwanda and Burundi.

Natamani UG nao wapatiwe special desk on customs hapa Bongo. Yatakiwa tuwakabe mazima round hii.. Kufa kufaana... Hadi nyang'au wakitoka kwenye hangover ya uchaguzi wanakuta show imeshaisha...
Hivi

Hivi unajua ni kwa nini Waganda wanapenda kutumia bandari ya Kenya? Efficiency. Mizigo hazichelewi kwenye bandari ya Mombasa kama inavyochelewa kwenye bandari ya Dar es Salaam.
 
Wakuambie kiherehere na mtu alie kilometers 2000 apart wanatoa wapi wakati wana Ethiopia, Sudan, Somali karibu?

Tanzania tunaishi vizuri na majirani zetu ndio maana tunaenjoy markets zao na tumedominate biashara, biashara kati ya Kenya na Ethiopia wanaoshare mpaka sidhani hata kama ina thamani ya $50 million.
Ethiopia huwa wamejifungia. Wao tatizo lao sijui ni nini haswa. Sio kwamba Kenya tuna chuki na wao. Ni kwamba wao wana sababu zao za kujifungia na kukataa kufanya biashara na nchi zingine. Ethiopia wana potential hata kushinda DRC. Safaricom, kampuni ya nyumbani ya Kenya inaanza rasmi mwezi huu kuoperate huko Ethiopia. Safaricom ndio kampuni ya pili ya simu huko Ethiopia.
 
Kenya mumeshindwa kupenya soko la Ethiopia wacha kutafuta visingizio, Ina maana Ethiopia haifanyi biashara na nchi yoyote?, Manufacturing sector Yao Iko very "vibrant', wanapokea watalii wengi kuliko Kenya, tourism revenue ya Ethiopia inalingana na TZ & KE combined, vipi unahisi wamejifungia?
 
Hivi

Hivi unajua ni kwa nini Waganda wanapenda kutumia bandari ya Kenya? Efficiency. Mizigo hazichelewi kwenye bandari ya Mombasa kama inavyochelewa kwenye bandari ya Dar es Salaam.
Ukaribu Kati ya Mombasa na Kampala ndio sababu kubwa, by the way Mombasa port was intended historically to save Uganda, that's why the lunatic rail was built to connect the two
 
Kenya mumeshindwa kupenya soko la Ethiopia wacha kutafuta visingizio, Ina maana Ethiopia haifanyi biashara na nchi yoyote?, Manufacturing sector Yao Iko very "vibrant', wanapokea watalii wengi kuliko Kenya, tourism revenue ya Ethiopia inalingana na TZ & KE combined, vipi unahisi wamejifungia?
Sasa unapinga kwamba Ethiopia wamejifungia? Hivi unajua kwamba kampuni ya simu ni moja tu Ethiopia na inamilikiwa na serikali? Unajua kwamba foreign investors hawaruhusiwi kuinvest katika sekta ya benki ya Ethiopia? Wanakubaliwa kufungua representative office pekee? Unajua kwamba kwenye sekta ya uchukuzi mabasi yote yanamilikiwa na serikali ya Ethiopia na hakuna private bus inayoruhusiwa kufanya uchukuzi. Halafu siongei mambo ya kusikia, Ethiopia nimefika huko na nimetembea huko. Sasa sijui unapinga nini ninaposema kwamba wamejifungia. Kupokea watalii wengi hakumaanishi kwamba uchumi wao umefunguka. Ethiopia watakapofungua uchumi wao basi serikali yao itapata billions of dollars kwa kuprivatise, airline, banks, transport sector, telecom sector na sekta zingine nyingi ambazo bado zipo mikononi mwa serikali.
 
Hivi hamuoni bendera ya Congo Kinshasa inavyofanana na ya Tz!? TISS hongereni na nawatakia kazi njema.
Nalog off Z
 
DRC kuingia EAC anafanya Tanzania iwe ndio biggest beneficiary wa intra EAC trade by far / largest intra community exporter
Mkuu ni nchi gani imeipigia chapuo Congo Kinshasa kuingia kwenye Jumuia yetu!? labda wakenya wanaweza wakatuliza mishono kwanza.
Nalog off Z
 
Sasa unapinga kwamba Ethiopia wamejifungia? Hivi unajua kwamba kampuni ya simu ni moja tu Ethiopia na inamilikiwa na serikali? Unajua kwamba foreign investors hawaruhusiwi kuinvest katika sekta ya benki ya Ethiopia? Wanakubaliwa kufungua representative office pekee? Unajua kwamba kwenye sekta ya uchukuzi mabasi yote yanamilikiwa na serikali ya Ethiopia na hakuna private bus inayoruhusiwa kufanya uchukuzi. Halafu siongei mambo ya kusikia, Ethiopia nimefika huko na nimetembea huko. Sasa sijui unapinga nini ninaposema kwamba wamejifungia. Kupokea watalii wengi hakumaanishi kwamba uchumi wao umefunguka. Ethiopia watakapofungua uchumi wao basi serikali yao itapata billions of dollars kwa kuprivatise, airline, banks, transport sector, telecom sector na sekta zingine nyingi ambazo bado zipo mikononi mwa serikali.
Kenya mumewekeza Sana Tanzania katika manufacturing, tourism, entertaiment, kwanini msiende kuwekeza katika hayo maeneo ambayo yapo huru kufanya biashara?, Kwanini wachina wamejaa Ethiopia wamefungua viwanda vingi Sana katika maeneo mbalimbali Ethiopia?, Kwanini mnasingizia maeneo yanayodhibitiwa na serikali badala ya kutumia sectors ambazo zipo huru?

Wacha kutoa visingizio, kuhusu mabus yote Ethiopia kumilikiwa na serikali sio kweli, lakini hata kama ni kweli mbona Tanzania pia Kuna maeneo Kama ardhi inamilikiwa na serikali, lakini bado Kenya mumetafuta maeneo mengine na mumewekeza, kwanini msifanye hivyo hivyo kwa Ethiopia? Punguzeni visingizio, mlishindwa mkubali kwamba mumeshindwa
 
Kenya mumewejeza Sana Tanzania katika manufa cturing, tourism, entertaiment, kwanini msiende kuwwkeza katika hayo maeneo ambayo yapo huru kufanya biashara?, Kwanini wachina wamejaa Ethiopia wamefungua viwanda vingi Sana katika maeneo mbalimbali Ethiopia?, Kwanini mnatumia maeneo yanayodhibitiwa na serikali badala ya kutumia sectors ambazo zipo huru?

Wacha kutoa visingizio, kuhusu mabus yote Ethiopia kumilikiwa na serikali sio kweli, lakini hata kama ni kweli mbona Tanzania pia Kuna maeneo Kama ardhi inamulikiwa na serikali, lakini bado Kenya mumetafuta maeneo mengine na mumewejeza, kwanini msifanye hivyo hivyo kwa Ethiopia? Punguzeni visingizio, mlishindwa mkubali kwamba mumeshindwa
Huwa wanaingia markets bila research wakidai wao ni agressive! matokeo yake huwa hivi! 👇👇👇

Kenyan banks make losses in South Sudan and why they stay on​

MONDAY APRIL 04 2022​

BANK

Customers in a KCB banking hall in South Sudan capital, Juba. The lender cut its presence in the war-torn State. FILE PHOTO | NMG

Summary

  • KCB started operations in the country in 2006, Equity in 2009 and Co-operative Bank was the latest entrant in 2013.
  • In 2014, KCB shut three branches in South Sudan after the war broke out while in 2017, Equity Bank followed suit and closed seven out of its 12 branches in the country.
  • The civil war, which started in 2013 and ended in 2020, led to a massive write-down of assets, loss of revenue and hyperinflation, which resulted in banks reporting monetary losses due to reassessment of assets and liabilities.

General Image

By JAMES ANYANZWA
More by this Author

Kenyan top retail banks are struggling to navigate the rough terrain in the war-ravaged South Sudan with Co-operative bank falling to an accumulated loss of Ksh3.29 billion ($28.85 million) in the last eight years of operation.

A review of the audited financial statements for KCB, Equity and Co-operative bank show that the latter has made losses amounting to about $28.85 million from the year 2014 to 2021, translating to a loss of Ksh411.78 million ($3.61 million) per annum.

The only profit for the lender which started operations in South Sudan in September 2013 came in the year 2015 at Ksh849.72 million ($7.45 million).

The lender exported its cooperative banking model in South Sudan by investing Ksh2.72 billion ($23.85 million) for a 51 percent shareholding in a joint venture with the Government of South Sudan.

The government of South Sudan holds 49 percent shareholding in the bank on behalf of the country’s cooperative moment.

Last year, Co-op Bank extended this joint venture by three years, arguing that the transfer of the minority stake to the South Sudanese Cooperative movement has been delayed by economic and political challenges in the country.

The civil war, which started in 2013 and ended in 2020, led to a massive write-down of assets, loss of revenue and hyperinflation, which resulted in banks reporting monetary losses due to reassessment of assets and liabilities.

Equity Group Holdings (EGH) Ltd recorded an estimated Ksh1.86 billion($16.31 million) in net profit during the period under review translating to about Ksh206.77 million ($1.81 million) per annum, with losses coming in the year 2016 and 2021 at Ksh660 million ($5.78 million) and Ksh200 million($1.75 million) respectively.

Oil export drought​

On the other hand, KCB’s subsidiary in South Sudan returned a total profit after tax of Ksh6.03 billion ($52.89 million) during the same period, translating to Ksh754.12 million ($6.61 million) per annum.

The seven years of civil war significantly affected the South Sudanese economy primarily because of the collapse in oil production in areas affected by the war.

For instance, South Sudan produced about 500,000 barrels per day before 2012 which fell to about 65,000 barrels per day in 2020.

The country also suffers from weak rule of law, widespread corruption and unstable security situation, compounded by poor infrastructure, lack of reliable transport routes, and poor access to electricity, internet connectivity and extremely low levels of education and skills amongst the population.

According to James Mwangi, the Equity Bank chief executive officer, political instability, dip in crude oil prices, high inflationary pressures and exchange rate volatility have colluded to slow down the growth momentum of the South Sudanese economy and subsequently impact negatively on businesses including banks.

“We entered the South Sudan in 2009 and in four years, we had become the largest bank there. It was the subsidiary that was able in one year to pay Ksh1 billion ($8.8 million) in dividend. But, in 2013, war broke out and it affected trade,” Mr Mwangi told The EastAfrican in February this year.

“The conflict between South Sudan and Sudan almost made oil exports impossible because Sudan decided to take $26 per barrel as shipment or pipeline fee. Then oil prices went below $30. So, essentially, South Sudan was making nothing and the economy became suffocated. The tensions and political disagreements intensified. The international community seemed to lose hope, funding dried up and the people gave up.”

According to Mwangi the South Sudanese economy ground to a halt, setting off a microeconomic environment where inflation went all the way to 800 percent.

Maturing democracy​

And it was inflationary losses recorded in our books because of the exchange rate, which moved from three South Sudanese pounds to the dollar to 540 pounds to the dollar.

“So you can imagine the imported inflation in a country importing 90 percent of its requirements. Our strategy was to bring down the bank to maintenance and we reduced our branches from 13 to three, and the staff from 480 to 80 just to maintain the licence. There seems to be hope but we have taken a wait-and-see stance. Every year we are hopeful that it will get better.”

According to the World Bank, about 82 percent of the South Sudan which is especially vulnerable to weather, oil price, and conflict-related shock, is poor.

In an earlier interview with Kenya Bankers Association Chief Executive Habil Olaka said Kenyan banks entry into South Sudan is for long term gains.

“Kenyan banks are playing the long game and are not after quick gains. What is happening in South Sudan is the normal speed bumps for a maturing democracy, and it is only those who are focused on the long term and patient enough who will eventually stabilise and reap the benefits,” said Mr Olaka.

“It is for this reason that none of the Kenyan banks have pulled out in the face of a tumultuous spell, because the long term still looks promising.”

The three banks (KCB, Equity and Co-operative) including Stanbic bank rushed to South Sudan following a peace deal in 2005, attracted by a large unbanked population and oil wealth.

KCB started operations in the country in 2006, Equity in 2009 and Co-operative Bank was the latest entrant in 2013.

Branch fold-up​

Analysts at EFG Hermes reckon that while the banks still report monetary losses in South Sudan, the magnitude has declined because the hyperinflation rate has declined, although the profit contribution from South Sudan is much lower than it was at its peak as transaction volumes haven’t recovered.

According to Paul Mwai, chief executive at AIB-AXYS Africa Ltd, regional expansion has not been very successful for Kenyan banks and while there seemed to be a big opportunity when the persistent political conflict has changed the situation and the opportunities are less.

In 2014, KCB shut three branches in South Sudan after the war broke out while in 2017, Equity Bank followed suit and closed seven out of its 12 branches in the country.

South Sudan itakuwa tu kiuchumi. Ipe muda tu. Bado ni kanchi kadogo lakini kana potential. By the way benki za Kenya this time zimetengeneza profit nyingi sana. Mwezi uliopita nimekuwa nikipitia financial statements zao kwa maana nyingi huripoti mwezi wa Machi na zimetengeneza profit sana. Equity na KCB zimevuna sana. Kwa hivyo usifikiri kwamba benki za Kenya zipo karibu kuanguka.
 
Kenya mumewejeza Sana Tanzania katika manufa cturing, tourism, entertaiment, kwanini msiende kuwwkeza katika hayo maeneo ambayo yapo huru kufanya biashara?, Kwanini wachina wamejaa Ethiopia wamefungua viwanda vingi Sana katika maeneo mbalimbali Ethiopia?, Kwanini mnatumia maeneo yanayodhibitiwa na serikali badala ya kutumia sectors ambazo zipo huru?

Wacha kutoa visingizio, kuhusu mabus yote Ethiopia kumilikiwa na serikali sio kweli, lakini hata kama ni kweli mbona Tanzania pia Kuna maeneo Kama ardhi inamulikiwa na serikali, lakini bado Kenya mumetafuta maeneo mengine na mumewejeza, kwanini msifanye hivyo hivyo kwa Ethiopia? Punguzeni visingizio, mlishindwa mkubali kwamba mumeshindwa
Kenya haina kampuni kubwa kwenye entertainment, tourism au manufacturing sectors. Kampuni kubwa za Kenya zote ziko kwenye service industry. Na hata kwenye service industry kampuni kubwa zipo kwenye banking na telecomm sectors. Na hizo ndizo zimefungwa huko Ethiopia. Tourism Kenya hahaha, hatuna kampuni kubwa ya tourism.
 
Hivi

Hivi unajua ni kwa nini Waganda wanapenda kutumia bandari ya Kenya? Efficiency. Mizigo hazichelewi kwenye bandari ya Mombasa kama inavyochelewa kwenye bandari ya Dar es Salaam.
Efficiency!!? Hapo msa port hamna maajabu yoyote. UG wanajazana hapo Kwa mazoea tu na mapokeo..

Subiri washuke Bongo tuwaoneshe vile kazi inafanywa. Kwanza hakuna gharama kubwa kulazimishana kulipia freight za diseal train ambazo zinaongeza costs Kwa wafanyabiashara. Hapa Bongo watapakia Kwa train from Port hadi Kampala bila kizuizi na ni costs effective na they can move large consignment in bulk. Hakuna mambo ya double/triple handling.

Pia the serenity and security of the country plus hospitality.. Affordable life from foods, drinks and accommodation will make the UG business man/women to prefer Dar over Msa port once they tests the difference. Just watch this space..

Hawatarudi tena... Once they come south... They will stay south for ever.
 
Hahaha. Unadhani Waganda hawajakuja huko South na kuonja service delivery yenu na kuicompare na Kenya? Usione Waganda kama ni wajinga. Wengi wao tayari wameshakuja Tanzania na wameshawahi kupitisha mizigo zao Tanzania na kuilinganisha na Kenya. Wao wenyewe wameamua kuganda na Kenya baada ya kutest service delivery na efficiency ya pande zote mbili.
 
Service delivery ya Bongo ni nzuri na gharama ni nzuri kushinda Kenya. Ni vile tu UG wamekariri Kenya na msa Port.

Saiv kwenye joto la uchaguzi wanahangaika vile biashara zao zitakwenda... Na ndio wanafunguliwa macho washuke Bongo. Ni alternative ambayo walikuwa hawajaifikiria bado.. Hivyo wakija watakutana na service ya uhakika ambayo ita meet their expectations. Sababu hapo Kenya na Bongo hakuna tofauti.. Na Bongo iko kwenye competitive advantage in many edge than Kenya.. Hivyo automatically wakishafika Bongo hawatarudi tena msa.

Hiyo kulazimisha kupakia SGR ndio imewaongezea gharama mara dufu.. With Dar port na good infrastructure of roads and rail. Watapata unafuu. Hawatatumia mitaji Yao Tena kuwalipia deni la mchina.
 
Kenya haina kampuni kubwa kwenye entertainment, tourism au manufacturing sectors. Kampuni kubwa za Kenya zote ziko kwenye service industry. Na hata kwenye service industry kampuni kubwa zipo kwenye banking na telecomm sectors. Na hizo ndizo zimefungwa huko Ethiopia. Tourism Kenya hahaha, hatuna kampuni kubwa ya tourism.
In Ethiopia Safaricom Kenya stakehold inatia aibu!
 
Wakongo hakuna nchi wanayoikubali Kama Tanzania hii fursa waliopata sidhan Kama Kuna asilimia kubwa ya wakongo wanaowaza Kenya na Uganda wao akili yako Tanzania tu
Sasa aende kibera akafanye nini?

Yani akimbie m23 aende kwa alshababi?
 
Kenya haina kampuni kubwa kwenye entertainment, tourism au manufacturing sectors. Kampuni kubwa za Kenya zote ziko kwenye service industry. Na hata kwenye service industry kampuni kubwa zipo kwenye banking na telecomm sectors. Na hizo ndizo zimefungwa huko Ethiopia. Tourism Kenya hahaha, hatuna kampuni kubwa ya tourism.
Hilo ni tatizo lenu, mbona mnajisifia kwamba uchumi wenu "is the most diversified?". Sio kweli unayosema, Tanzania Kuna zaidi ya makampuni 524 ya Kenya, 80% ya makampuni hayo yako kwenye manufacturing sector.

Kenya mnashindwa kujipenyeza Ethiopia kutokana na kushindwa kupambana na wachina ambao wanewekeza kwa wingi Sana Ethiopia
 
Halafu hata Safaricom Ethiopia iko njiani kupata ushindani mkubwa!
 
In Ethiopia Safaricom Kenya stakehold inatia aibu!
Kivipi? Safaricom Kenya inamiliki 56% of the shares of Safaricom Ethiopia. That is more than half of the shares. Kitaalam Safaricom Ethiopia inaitwa "subsidiary" ya Safaricom Kenya. Subsidiary ni kampuni inayomilikiwa kwa zaidi ya 50% na kampuni nyingine.
 
Hilo ni tatizo lenu, mbona mnajisifia kwamba uchumi wenu "is the most diversified?". Sio kweli unayosema, Tanzania Kuna zaidi ya makampuni 524 ya Kenya, 80% ya makampuni hayo yako kwenye manufacturing sector.

Kenya mnashindwa kujipenyeza Ethiopia kutokana na kushindwa kupambana na wachina ambao wanewekeza kwa wingi Sana Ethiopia
Hizo kampuni 524 za Kenya zilizowekeza Tanzania 90% ni kampuni ndogo ndogo. Bado nabaki na kauli yangu kwamba kampuni kubwa za Kenya nyingi ziko kwenye banking na telecomm sector. Halafu kampuni nyingi za manufacturing za Kenya zinamilikiwa na Wakenya wenye asili ya kihindi au foreigners kutoka ulaya kwa hivyo hizo ni kampuni za kibinafsi na serikali ya Kenya haiwezi kulazimisha hawa wamiliki wa hizi kampuni kuenda kuwekeza Ethiopia. Hawa wahindi huwa hawataki hata kulist kampuni zao kwa Nairobi securities exchange sasa unategemea vipi waende kuwekeza Ethiopia? Bidco ni kampuni kubwa ya Mkenya mwenye asili ya kihindi na amekataa kabisa kulist kampuni yake kwenye Nairobi securities exchange. Wahindi wana njia zao za kufanya biashara.
 
Back
Top Bottom