MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #81
Kuna uzi umeletwa na Mtanzania, amedadavua vizuri sana, yeyote mwenye akili atajifunza kitu Ole Mushi: Watanzania tumejipangaje kuipokea Congo kwenye EAC?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpumbavu kama huyo anaku-excite ila anayekupa data za trade volumes joto la jiwe ana-hit ukweli wenye ku-expose u r nowhere near to Tazania's trade volumes with DRC! Labda kama mngekuwa mmeifikisha diesel SGR yenyu Kampala!Kuna uzi umeletwa na Mtanzania, amedadavua vizuri sana, yeyote mwenye akili atajifunza kitu Ole Mushi: Watanzania tumejipangaje kuipokea Congo kwenye EAC?
Equity seals deal to become biggest foreign bank in DRC
Asilimia kubwa ya hela huko DRC zinapita kwenye benki kutoka Kenya, Equity Bank. Equity Bank ndio biggest foreign bank huko DRC na second biggest bank. Benki nyingine KCB, kampuni kama Jubilee Insurance zina 'presence' DRC. Wakenya wanawekeza DRC, wewe endelea tu kuimba hiyo chorus yako ya boda na kilomita.