Wakati wenzetu wanang'aka kuhusu vita DRC, Waganda tayari wameanza kuchangamkia fursa, Wakenya tusichelewe


Halafu uzuri ukishakamata soko la fedha/mabenki ndio umemaliza mchezo maana humo ndio unapata kanzidata yote.
Watz wamekua kwenye muungano na hawa DRC kwenye SADC kwa miaka mingi, hivyo kwao hamna kikubwa kitakachobadilika zaidi ya nyimbo zao za kusema sema DRC kuna vita vita.
Sasa ndio tuwaonyeshe namna huu mchezo huchezwa, kuna kikosi kazi kimetumwa DRC kutokea Kenya na mpaka sasa wameonyesha mafanikio makubwa sana.
 
Tanzania trade size is over 20 times Kunya's in DRC


VS

 
Even Uganda beats down Kunyaland on trade volumes in South Sudan! Though Uganda has no bank in South Sudan!


VS

 
Again Tanzania trade size is over 20 times Kunya's in Rwanda


VS

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…