Wakatoliki: Bikra Maria utuombee kwa mwanao Yesu. Je, bado yu hai?

Shida ni tunamtambua kwa namna gani, yesu alikuwako tangu kabla yake na ndie alie muumba maria je wewe unakubali haya yote kama ni ndio inakuwaje yesu aliye muumba maria ndio haje kuwa mtoto wa maria?
 
Watu wa dini mnapaswa kutambua kitu kimoja usidhihaki imani ya mtu mwingine Mungu hapendi na hajakutuma kufanya hivyo.Mimi siwezi kumdhihaki maombi ya walokole najua kuna watu wameombewa na wachungaji wa kilokole na wakapona,hivyo hivyo kwa Lutheran,Sabato na mengineyo. Maria ni mtumishi wa Mungu na Mungu alimchagua kwa kusudi hilo ,Mungu hajakuita wewe kudharau watumishi wake,au kuwahukumu kwa namna yeyote ile,hata kwa wenzetu waislamu Mungu hajakutuma wewe kuwadhika au kuwasema .Sababu Mungu ni Mungu wa watu wote
 
Samahani lakini, wewe akili huna
 
Kwahiyo mnazungumza na marehemu??
 
Jamani Maria alikuwa binadamu kama binadamu mwingine na aliendelea kuzaa watoto wengine maana alikuwa ameolewa ana mume sasa suala la Kristo alikuwa mtu tu aliyembeba sasa biashara ya kuomba Maria akuombee hicho kitu hamnaga maana hakunaga aliyemwomba Maria amuombee kwa Yesu huu ni upotofu Maria ni mtu tu hapaswi kuabudiwa jamani wakatoliki geukeni maana naona mnaongeza bidii kutengeneza masanamu ya huyu mama wa watu ABUDUNI MUNGU ALIYEJIDHIHIRISHA KWA NJIA YA KRISTO PEKEE muende mbinguni achen iman potofu
 
Hapa tumsubiri bibi yetu FaizaFoxy aka FaizaFixy aje kutufafanulia mkuu.
 
Biblia imehaririwa sana tu
Imeharibiwa vipi tena.
Kuna mali imetaja jina la Maria ?
Mama wa Yesu anaitwa Mariamu na Biblia imeandikwa hivyo kabla ya Qurani kuliiga Hilo jina.

Wanao mwita Maria ndio wanakosea.
 
Hicho ndicho kinafanya awe hajazaliwa na Maria ili umdharau?
Mtu huyu huyu ana mstari wa Biblia ambapo unasema Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na huyuhuyu anakuja kuandika hivi.Alizaliwa kwenye hori la ngombe alizaliwa na nani ?na je huyo aliyemzaa Yesu hivyo hakuwa mama yake?Yesu kipindi cha uhai wake akiwa anakaa na Mama Maria alikuwa anamwita nani?
 
Kwanini msiombe kupitia kwa mama zenu waliowazaa?
 
Kumkataa na kumuandika kihuni ni dharau tosha.Hebu jifikirie,nimeikuta picha tu ya mama yako mzazi halafu nikaichana,utajisikiaje?
Ninanaribu kukupa maarifa lakini unayakataa kumuheshimu mtu sio kuabudu ni vitu viwili tofauti Kwahiyo mimi nina muheshimu maria lakini namuabudu mungu na sio maria, Kwasababu kuabudu na kuheshimu ni vitu viwili tofauti
 
Nani kafanya haya yote unayotamka hapa mkuu? Umesoma uzi au umesoma heading tu? Hebu soma uzi kwamza halafu urudi hapa kuchangia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…