Nedlloyd
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 10,361
- 27,215
Dokta hi symbol ya Mkono mmoja na vidole vi2 juu umeona Miungu mingapi Hadi Sasa katika alama hiyo. ?Ukiataka Kujua yote haya na kwanini huwa waroma wanaadhimisha Siku ya Kupaizwa kwa Mariam 15 August..
Soma Kitabu Cha Papa Pius wa XII kinaitwa Munificentissimus Deus..
View attachment 3160545
View attachment 3160544