Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Sio sheria, ni utaratibu ambao nao huwa haupo juu ya jambo la kiroho, ikiwa na maana kwamba utaratibu unaweza ukawekwa pembeni kwa jambo mahususi, na kinaweza kikatolewa kibali na Paroko au Askofu kulingana na mamlaka ya jambo husika. Kwa hiyo ndoa inaweza ikafungwa kutokana na sababu walizozieleza wahusika na jinsi lilivyopokelewa na kutafsiriwa na mamlaka.... ,imekuaje sheria ya Kanisa imekiukwa Kwa kufunga ndoa wakati wa mfungo wa Kwaresma? Kwa kipindi hiki huwa hakuna harusi au sherehe yoyote Makanisani ikiwemo ndoa.
Kama ni utaratibu uwe Kwa wote siyo Kwa watu wa tabaka fulaniSio sheria, ni utaratibu ambao nao huwa haupo juu ya jambo la kiroho, ikiwa na maana kwamba utaratibu unaweza ukawekwa pembeni kwa jambo mahususi, na kinaweza kikatolewa kibali na Paroko au Askofu kulingana na mamlaka ya jambo husika. Kwa hiyo ndoa inaweza ikafungwa kutokana na sababu walizozieleza wahusika na jinsi lilivyopokelewa na kutafsiriwa na mamlaka. Mfano mwingine ni kufunga ndoa au kufanya misa ya mazishi siku ya Jumapili, huwa hairuhusiwi kiutaratibu kwa baadhi ya majimbo, lakini kwa sababu maalum inaweza kuruhusiwa. Kwa hiyo just take it easy, kwa vyovyote vile watakuwa waliomba wakakubaliwa
Wapi huko mkuu?Kwaresma ndoa zinafungwa kama kawaida!
Ila sherehe ndo hakunaKwaresma ndoa zinafungwa kama kawaida!
sikuhiz muda unavosonga hiz sheria zinaanza kujiumbua moja baada ya nyingine.Nasoma comments..
Sikuwahi ona huu utaratibu kwakweli
Una inferiority complex. Kama hujafunga ndoa na unaona ni vyema ukafunga wakati huu wa Kwaresma, peleka hoja zako kwa Paroko wako, kuna mambo huwa wanayazingatia. Ikionekana sababu za msingi zipo, basi utafunga ndoa yako. Usitangulize kuweka kwamba upo tabaka la chini wakati hata haujaomba, au pengine hata mchumba haujapata. Kama una nia kweli nenda tu. Sisi hapa juzi juzi tumeomba ibada ya wafu siku ya Jumapili kwa hoja kwamba tunasafirisha umbali mrefu, na tukapewa tu ibada, wala hakuna mmoja wetu aliyepo kwenye hilo unaloita tabaka la juuKama ni utaratibu uwe Kwa wote siyo Kwa watu wa tabaka fulani
Si ni kama hiyo ya Mrema huko Moshi! 😄Wapi huko mkuu?
Ndoa siyo sherehe mkuu?ila sherehe ndo hakuna
Wapi huko mkuu?
Hapo hujadili hoja ila unaleta personal attack........jadili hoja mkuu na Kwa taarifa yako mm siyo mkatoriki ila nimeishi kwenye ukatoriki Kwa miaka kama 6 hivi...... kwahiyo usilete ujuaji sana mkuuUna inferiority complex. Kama hujafunga ndoa na unaona ni vyema ukafunga wakati huu wa Kwaresma, peleka hoja zako kwa Paroko wako, kuna mambo huwa wanayazingatia. Ikionekana sababu za msingi zipo, basi utafunga ndoa yako. Usitangulize kuweka kwamba upo tabaka la chini wakati hata haujaomba, au pengine hata mchumba haujapata. Kama una nia kweli nenda tu. Sisi hapa juzi juzi tumeomba ibada ya wafu siku ya Jumapili kwa hoja kwamba tunasafirisha umbali mrefu, na tukapewa tu ibada, wala hakuna mmoja wetu aliyepo kwenye hilo unaloita tabaka la juu
Ndoa ni sakramenti inayotolewa kanisani, sherehe ni nje ya utaratibu wa ndoa, ndio maana inafanyika nyumbani au ukumbiniNdoa siyo sherehe mkuu?
Yapi hayo ?Makanisa yote tu!
mi niliona picha za GIGY MONEY akiwa ndan ya tinted na macho matatu pembeni mzee wa tLpNdoa siyo sherehe mkuu?
Unadhani kwanini utaratibu umewekwa kipindi hiki zisifungwe?Ndoa ni sakramenti inayotolewa kanisani, sherehe ni nje ya utaratibu wa ndoa, ndio maana inafanyika nyumbani au ukumbini
Kumbe kachoka lakini bado tu Ke anaolewa naye hata hazingatii hicho kipengele, basi sawa[emoji15][emoji2960]Angalieni na mrema alivyochoka, mnataka afie nje ya kanisa.
Sameheni mengine ni ya kuyapita tu