Wakatoliki waanza kuona aibu na fedheha, Papa na Vatican wameharibu sana taswira ya ukatoliki

Kwani siku za nyuma hawakuwa wakibariki mali za mashoga?
 
Pole mkuu najua inaaibisha sana sana 😢
 
It's not clear kwamba Sodom and Gomorrah wameangamizwa kwa sababu ya ushoga...makosa pale ni mengi mostly ikiwa lack of hospitality kwa wageni na mambo ya rape na Nini..ila ma pastor wa siku hizi wanasema ni ushoga ili kupush agenda zao
Ajenda gani hizo tajiri?
 
Kwa hiyo wanavyobariki vitu vya wezi, waongo na wazinzi huwa linabariki uzinzi na wizi?

Nyie bado sana.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Hizo ni sababu za kuhalalisha hiyo dhambi. Ni hoja mfu za kutaka na Hilo kundi Kila mtu alitambue. Kama ni haki, wewe kama wewe litambue. Usitake Kila mtu Aishi Kwa uelewa wako wewe. Nimesema Mimi kama Mimi sikubaluani na hilo. Kubaliki vitu vya hao watu ni kuwapa kick. Leo unabariki kesho utakuja na kusema Kwan tukiwafungisha ndoa Kuna shida Gani. Kuishi na mwiz na kumfurahia huyo mwizi, unadhan atajutia kile anachokifanya?

Njian njema ni kua kama ilivyokua zamani. Kila mtu anakua anatambua kua mashoga na wezi, wazinzi n.k wapo. Ila hakuna kuruhusu vyama vyao au asasi zao. Kwa kuruhusu ni kuwatambua.
 
Kwani papa amekushikia bango kwamba lazima tu uwe shoga?
 
Kwa kweli hawa mapapa Mashoga sijui wakatoliki tumewatoa wapi
 
Nakubaliana na wewe. Kuhalalisha Kubaliki maana yake ni kuwaunga mkono. Kutambua chama Chao maana yake ni kuwaunga mkono.

Na wezi au wazinzi n.k waanzishe vyama vyao wakasajiri basi kama haki ni sawa.
 
Kuwatambua ni kuhalalisha Kwa anaetaka kua shoga. Inarahisisha kuitenda hiyo dhambi bila hofu.
Kuna baadhi ya makabila, mtoto wa kiume ukioa, baba Yako mzazi anaanza kumlala mkeo kwanza. Hiyo sio sawa ila kwao Kwa kua ipo hivyo na wanatambua, baba Yako alitaka kumlala mkeo hakuna atakaemuona kichaa. Ila sio lazima amlale, ni ruhusa kama akitaka. Jamii inatambua Kuna wazazi wa aina hiyo.
 
Sio siri tena tangu Papa na Vatican kutoa miongozo ya kuukumbatia ushoga, kwa sasa wakatoliki wengi wameanza kupoteza furaha, amani, ujasiri na ufahari wa kujivunia ukatoliki.
Binafsi huwa najiuliza kwa nini baadhi ya watu wanaiona dhambi ya ushoga kuwa ni 'maalum', yaani haitakiwi kuzungumzwa wala kujadiliwa. Kama unaweza ukawapokea majambazi kanisani na ukawafanya kuwa kondoo waaminifu, kama unaweza ukawapokea mafisadi kanisani, wazinzi, wasema uongo nk, kwa nini uone kuwapokea mashoga (ambao basically ni wazinzi) kuwa ni kitu cha kuepuka kabisa? Kwamba Mungu anawachukia mashoga kwa kiwango kikubwa ukilinganisha na wezi?

Wengi wanaodhani Wakatoliki wametetereka ni ambao wanasubiri kutafsiriwa habari
 
Kuwatambua ni kuhalalisha Kwa anaetaka kua shoga. Inarahisisha kuitenda hiyo dhambi bila hofu.
Na kuwatambua wezi kuwa ni wana wa Mungu, ni kuhalalisha wizi?
 

Aliyepinga huo upuuzi kafukuzwa🤣🤣
 
Huyo Yesu ni paka au?
 
Ajenda gani hizo tajiri?
Kukamia watu ambayo hawafanyi dhambi sawa na wewe...Mimi Bora niwe na rafiki shoga ambaye anafanya mambo yake binafsi bila kumuumiza mtu kuliko nimuamini mchungaji ambae ni mwizi, tapeli, fisadi, mzinzi, mbakaji watoto, muongo, mchoyo na msambaza ujinga na propaganda kwa waumini wake...haya mambo yana madhara makubwa kuliko mtu na mpenzi wake kufanyana ila wanajua mnapenda kukamia ujinga so wanapita na huo upepo...
 
Mwizi anakuibia mali ambayo umefanya kazi kupata....
Shoga anakuathiri Nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…