Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
- Thread starter
-
- #281
Hakuna mtu amewacheka wakatoliki kwa hili (afterall huenda hata mimi ni mkatoliki) lakini ni masikitiko kwa watu wengi kuona Papa anajipendekeza kwa mabwabwa huku akitumia mwamvuli wa kanisa katoliki.Hali Si Shwari...!! Bwana Awe Nanyiiii....!!! Awe nawe Pia.....Ameeeni. Jambo baya huanza taratibu....Tusiwacheke RC bali ni wakati wa kutafakari kwa kina huko mbeleni kuna nn kitakuja kutokea?
Kwa sababu wanatengwa na jamiii, ndo maana pope ameamua kutoa tamko. Nadhani umeelewa sasa.Kwanini hatujawahi kuona waraka wa kuwabariki wazinzi? What is so special kwa hawa watenda dhambi wengine kwa jina la mashoga?
Mtume Mohamad anaingiaje hapa?Lakini aibu ya kwanza ingekuwa kwa Mtume Muhammad ambaye anamsingizia Mungu kuwa alimruhusu kutoa mke wa mtu Zainabu, rejea Quran 33:37, pia Mtume Muhammad akaendelea kumsingizia Mungu kuwa anaweza akazini na wanawake wote wa Kiislamu wanaojitoa Bure kwake, rejea Quran 33:50. Haya ya Papa Paulo ni yake kwa kuwa Biblia haina Aya hata moja inayotetea ushoga, hivyo hatuwezi kusema ni maagizo ya Mwenyezi Mungu, lakini Mtume Muhammad yeye ameleta mpaka Aya za kuhalalisha ulawiti, mfano Quran 2:223 wanawake ni konde zenu zieendeeni konde zenu kama mpendavyo, tafsiri ya Kitabu Sabulus-Salam juzuu 3 ambapo Mtume alisema Aya hii imeteremshwa kwa ajili ya wanaume kuwaingilia wake zao tupu zao za nyuma. Lawama kwanza ziende kwa Mtume Muhammad.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwani mali za hao wengine hazibarikiwiii? KhaaahKanisa Katoliki litabariki Mali za mashoga!!
Kwanini Mali za mashoga?
Kwanini wasitangaze kubariki Mali za wazinzi, wezi , majambazi, wauaji na wakabaji?
Waafrika mna IQ ndogo sana Yani Hadi hapo bado tu hamjui kuwa kanisa Katoliki linaunga mkono ushoga?
Yani wewe unataka Papa aseme Mimi na kanisa langu la Katoliki tunaunga mkono ushoga?
Hawawezi kusema hivyo Kwa sababu wanahitaji uwepo wako na sadaka yako
Nadhani huenda uliwaza kuwa miaka michache ijayo hilo jengo la kanisa litakuwa jumba lililojaa mabwabwa wakilishana ekaristi.Leo nimepita karibu na kanisa langu la RC ,nikaliangalia na kisha nikatafakari sana.
Mungu atusaidie TU
Na hawa mashoga wa sasa kwann asiwashushie moto, km mwanzo alishusha, sahiv anashindwa nn?Kwa nini Mungu alishindwa kuwavumilia watu wa Sodoma na Gomora?
Kama Mungu ana vumilia ushoga, Kwa nini ali angamiza watu wa Sodoma na Gomora?
Kanisa lenu hilo la Romani, Ni la Mungu gani anaye vumilia ushoga?
Kwa nini mashoga waanze kupewa hizo Sakramenti sasa hivi na sio tangu zamani?
Kwani mashoga wameanza kuwepo leo hii?
Mtajijuuu wanafikiiii, pope atawafurahishaa sana na badooo.Hivi kumbe kuna watu bado wanamtetea papa kwamba tumetafsiri vibaya!!!
Mtu yeyote anayefanya mambo ya kishoga hatakiwi kupewa favor ya namna yeyote huoni mungu aliangamiza sodoma. Mission ya kanisa imeshajulikana ulimwenguni kote hatuhitaji maelezo mengine.
Mi ni mkatoliki pure, na najivunia ukatoliki wangu ,maana ndio umenipa confidence ya kumkili Yesu kristo siyo kwa habari zake tu Toka kwa bible Bali hata kwa miujiza, lakini suala hili la ushoga na msimamo wa kanisa ,hasa Hilo tamko la juzi na Jana Kuna kitu hakipo sawa,na nahisi ni kazi ya Mungu kutuonyesha ni kiasi Gani kanisa limeharibika, Sasa ni wajibu wangu Mimi na wewe kufunga na kuomba kwa ajili ya kanisa ,siyo kutetea tu ili lionekane vyema machini pa watu japo linapotezwa, let's be positive, kama unalipenda kanisa hili kwa thamani lilizokupa utaomba tuu, na ifahamike tu kanisa Bora ni kwa ajili ya utukufu wa Mungu, mdudu kaingia , Mungu anamtoa kwa kufanya hata yaliyo sirini tuyajueKanisa linazidi kuimarika zaidi na zaidi. Ni kwambie Sasa kwa tamko lake tu kanisa limeongeza waumini zaidi ya mil 3 duniani kote. Makanisa yenu ndo yanakufa kwa sababu hnaga elimu kabisa. Kila kinachowajia akilini nyie mnanena kwa lugha wakati ni mapepo. Kila siku mwamposa anadai anatoa mapepo lakini hayaishi. Leo ukienda utaambiwa una Pepo na atajifanya kulitoa, kesho ukienda tena anakwambia una Pepo mana yake ulipotoka tu Pepo akakudaka tena. Nilienda siku moja nikajifanya nakunywa pombe kumbe sinywi akanitabilia kwamba usiku nililewa sana kweli si kweli, ilibidi nicheke sana. Makanisa yenu ya kitapeli sana
Mnafikii wewee unateseka ukiwa wapiiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni mjinga pekee anaweza kufananisha ulevi,uzinzi,uongo na wanaume kuingiliana wenyewe kwa wenyewe kupitia njia ya haja kubwa wakati Mungu aliyewaumba aliwawekea kiungo mahususi kwa mwanamke kwa shughuli hiyo.Hizo dhambi haziwezi kulingana kwa namna yoyote ile.Kitendo cha kanisa kujadili hilo ni makosa makubwa kwasababu mikama kumrekebisha Mungu kua alikosea kumuumba mwanamke.
Hapana. Niliwaza tu kama naweza kuhama na kujiunga na makundi mengine.Nadhani huenda uliwaza kuwa miaka michache ijayo hilo jengo la kanisa litakuwa jumba lililojaa mabwabwa wakilishana ekaristi.
Sasa km hukubaliani nae ndo ukae kimyaa co uanze kujudge dhambi za mashoga, akati wee unazo zako.Hiyo Imani ni yangu kutokana na mafundisho niliyopata kanisa Katoliki. Sio lazima ninachoamini Mimi na wewe uamini. Wewe amini unachotaka kuamini. Papa kusema wabariki vitu vya mashoga, Mimi kama Mimi sikubaluani nae. Sio lazima nikubaliane na kiongoz wangu kisa tu yeye ni kiongoz. Wewe kama unaona ushoga ni sawa kisa tu haujatajwa kwenye amri za Mungu, sawa endelea kufanya na kuuishi.
Nashangaa hapo na mie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani papa amekushikia bango kwamba lazima tu uwe shoga?
Wazinzi mbna wapo wengi na wana barikiwa kila siku, wengine na mimba ya miezi 7 tumboni wanabarikiwa.Nakubaliana na wewe. Kuhalalisha Kubaliki maana yake ni kuwaunga mkono. Kutambua chama Chao maana yake ni kuwaunga mkono.
Na wezi au wazinzi n.k waanzishe vyama vyao wakasajiri basi kama haki ni sawa.
Kwa hiyo wewe unaunga mkono msimamo wa Papa na Vatican wa kuwafanya mashoga kuwa sehemu ya ukatoliki kiasi cha kubarikiwa na kuruhusu mashoga kudhamini sakramenti takatifu?Mimi ni mkatoliki ninayoijua na kuiamini dini yangu vizuri. Siwezi kuyumbishwa wala kukwazishwa na mtu yeyote hata kama ni pope. Tuko wengi wa aina yangu
Zanzibar kule mbna umejaa telee ushoga? Had jeshini, wengine wanafirana mahabusu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huwezi kukuta uislam unajadili ushoga, kama no ni NOOOOO
Kheeeh mtoto wa 6,yrs anaolewa kihalalii?Siyo 9 umekosea, ni 6. Kuna kosa lipi kugonga mkeo ulioozwa kihalali?
Alikuwa nao 11 wengine unajuwa maiaka yao?