Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Papa ameharibu, ukizibisha wewe ni SHOGA tu.
Kwani vyombo vya habari vya dunia vinaripoti nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Papa ameharibu, ukizibisha wewe ni SHOGA tu.
Dini umeletewa ili utawaliwe...we Mungu umemjua wapi wewe...unajua nani kaandika biblia, hayo maandiko unayotetea Leo uliyajua wewe au ndo hao hao walioandika...Leo hii unaijua dini kuliko papa... unajua process ya biblia iliyopita mpaka imekufikia wewe...?Mimi ni mkatoliki ninayoijua na kuiamini dini yangu vizuri. Siwezi kuyumbishwa wala kukwazishwa na mtu yeyote hata kama ni pope. Tuko wengi wa aina yangu
Sisi au papa kakiri kasema mashoga wabarikiwe makanisani?
Wavaa kobazi ni mabasha na Wakatoliki ni Mashoga wao full stop!!! [emoji1][emoji1][emoji1]
Mimi siamini kwenye uwepo wa hiyo miji ya Sodoma na Gomora. Najua kwamba Biblia ni fiction stories.We unajuaje Sodom na Gomorrah ni actual historical event na sio hekaya za wayahudi?
Kaka utapoteza muda na nguvu kwa huyu mpumbavu nahisi hana Watoto wala ndugu kabaki peke yake kwenye familia tree yaoKwa nini Mungu alishindwa kuwavumilia watu wa Sodoma na Gomora?
Kama Mungu ana vumilia ushoga, Kwa nini ali angamiza watu wa Sodoma na Gomora?
Kanisa lenu hilo la Romani, Ni la Mungu gani anaye vumilia ushoga?
Kwa nini mashoga waanze kupewa hizo Sakramenti sasa hivi na sio tangu zamani?
Kwani mashoga wameanza kuwepo leo hii?
Kama Mungu huyo alionesha huruma kwa watu wa Sodoma na Gomora, Kwa nini ali waangamiza?Kasome vizuri huo mstari wa Mungu kuangamiza sodoma na gomora uone kama hakuonesha huruma alipoulizwa unataka kuwahukumu wote? katafute uone alijibu nini.
Kama Mungu huyo hana kisirani, Kwa nini mnadai Mungu huyo hapendi dhambi?Tatizo lenu mnakariri maandiko pasipo kuyaelewa, mnakurupuka tu.
Kuamini Mungu ana kisirani kama wanadamu ni ujinga usio na mipaka.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Point huwa ipo siku zote hakuna Yesu pale ni biashara za watu na shetani kama mdhamini mkuu.Madhehebu flani wanaoona ukatholiki kama upinga kristu wamepata point 😁😁
Kwahiyo papa ni shoga? Alisikika Amba lulu akisema nampa Papa😳Huyo Papa anatakiwa kuondolewa madarakani haraka maana kuezi kutetea kitu ambacho hukifanyi!!
Wakatekumeni watatusumbua sana lakini hakika hawataweza[emoji23][emoji29]Mkatukumeni huwezi elewa mpaka upitie mafundisho [emoji1787]
Hiyo kitu mfanye huko huko cantibary
It's not clear kwamba Sodom and Gomorrah wameangamizwa kwa sababu ya ushoga...makosa pale ni mengi mostly ikiwa lack of hospitality kwa wageni na mambo ya rape na Nini..ila ma pastor wa siku hizi wanasema ni ushoga ili kupush agenda zaoMimi siamini kwenye uwepo wa hiyo miji ya Sodoma na Gomora. Najua kwamba Biblia ni fiction stories.
Nawauliza wakatoliki wanao amini maandiko yao ya Biblia na uwepo wa Mungu wao kwamba, Inakuwaje Mungu wao ali angamiza Sodoma na Gomora kwa sababu ya ushoga?
Halafu wao wakatoliki wana wabariki mashoga hao kwa jina la Mungu huyohuyo asiyependa ushoga?
Wao kama wakatoliki hawaoni hii Contradiction?
Unajua maana ya konde?Anayefirana kwani kakuambia anataka kuzaa?
Imani inajengwa juu ya yesu kristo siyo mtu we mbumbumbi. Papa ni mtu na silazimiki kufata anachosema. Sema hizi dini zenu za mfukoni za akina mwamposa zimewaharibu sana manadhani kwamba dini ni ya mtu ni si ya yesu. Mmefikia hatua hata kumuabudu mtu as if akifa yeye na kanisa linakufa.kama lilivyo kanisa la tb Joshua kwa Sasa halipoSio siri tena tangu Papa na Vatican kutoa miongozo ya kuukumbatia ushoga, kwa sasa wakatoliki wengi wameanza kupoteza furaha, amani, ujasiri na ufahari wa kujivunia ukatoliki.
Papa na Vatican walianza kutoa kauli tata za kuona ushoga (kubadili jinsia nk) sio dhambi ya kukemewa na kanisa (yaani mashoga wavumiliwe na kutambuliwa kama sehemu ya waumini ndani ya kanisa katoliki), baadaye wakaja kutoa ruhusa mashoga kuwa wadhamini wa sacramenti za kikatoliki (Ubatizo, Komunio, ndoa) na sasa ruhusa kwa mashoga kubarikiwa! Mwelekeo unaotabiriwa kufuata ni kanisa katoliki kuanza kufungisha ndoa za mashoga na hitimisho ni kanisa katoliki kuja kuruhusu kuwa na makasisi mashoga.
Wengine walijaribu kutetea Kanisa Katoliki kwa kusema Papa na Vatican wamenukuliwa vibaya, lakini kadri muda ulivyokwenda hali imezidi kuwa wazi na mbaya kiasi cha watetezi wa Katoliki kuanza kusalimu amri.
Kwa sasa ukatoliki umewekwa kapu moja na harakati za kuukuza na kuulinda ushoga duniani.
Mwaka huu huenda ndio mwaka mbaya zaidi kwa waumini wa kikatoliki katika kujivunia imani yao. Upepo bado unavuma, mawimbi bado yanaibuka na chombo kimeanza kuyumba huku safari ikiwa imeshika kasi.
Wali huko kuna Yesu pasipo biasharaPoint huwa ipo siku zote hakuna Yesu pale ni biashara za watu na shetani kama mdhamini mkuu.
Hiyo Imani ni yangu kutokana na mafundisho niliyopata kanisa Katoliki. Sio lazima ninachoamini Mimi na wewe uamini. Wewe amini unachotaka kuamini. Papa kusema wabariki vitu vya mashoga, Mimi kama Mimi sikubaluani nae. Sio lazima nikubaliane na kiongoz wangu kisa tu yeye ni kiongoz. Wewe kama unaona ushoga ni sawa kisa tu haujatajwa kwenye amri za Mungu, sawa endelea kufanya na kuuishi.Wee ni liongo na linafiki, dhambi zote ni sawa mbele ya kiti cha hukumuu. Tenaa uzinzi, wizi, uuaji, umekatazwa kwenye amri 10 za Mungu, vipi ushoga je? Iko kwenye amri ya ngapiii??
Poleeee mnafikii wee, safarii hii Pope anawanyoosha vilivyo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We na wewe huna point unajua kuandika vitu ambavyo havina mantiki ,ukiyaangalia maswali ambayo umeyaambatanisha kwenye thread Yako ni vitu ambavyo vinapinganaUmepotosha kwa kiasi kikubwa, unaonekana hujasoma hata ule waraka wa Vatican, ulichofanya ni kuokoteza maneno kwa wengine na kuja kuanzisha huu uzi wako hapa, hujafanya uchunguzi wowote, sasa hiyo aibu aione nani?
- Kama hutaki mashoga wavumiliwe na kutambuliwa ndani ya Kanisa Katoliki, unataka wezi, waongo kama wewe, na wazinzi, wao pekee ndio waendelee kuvumiliwa? Kanisa Katoliki haliishi kwenye misingi ya kinafiki.
- Kwanini hutaki mashoga wapewe sakramenti kama waumini wengine? au wale wanaopewa ni watakatifu? hayupo yeyote miongoni mwao mwenye dhambi? Hapa unaonesha ulivyojaa ubinafsi, Papa yuko above your thinking capacity.
- Wapi umeona kwenye ule waraka wa Vatican pameandikwa Kanisa Katoliki litabariki mashoga? tuwekee hapa tupaone, kisha nami nitakuwekea pale palipoandikwa Kanisa Katoliki litabariki mali za mashoga, sio mashoga kama ulivyopotosha hapa.
Hii ni sawa na kubariki mali za wengine wasiojulikana tabia na matendo yao, hakuna yeyote anayejulikana kama ni mzinzi sababu hufanyia sirini, mwizi hufanyia sirini, kujaribu kuwatenga mashoga kama vile wao pekee ndio wenye dhambi ni unafiki na ubinafsi, Papa hataki huu unafiki.
Papa anajua miongoni mwetu hayupo aliyekamilika, Kanisa Katoliki pia linajua hivyo, tukianza kutazamana usoni na kutengana mwisho wa siku huko kanisani atabaki nani? injili atahubiriwa nani? hujui hata Yesu Kristu alikuja duniani ili kuwahubiria wenye dhambi wapate kuokoka?
Mna upeo mdogo sana kifikra, na thinking yenu ni ya kijima sana wakati Kanisa Katoliki lilishatoka huko.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kanisa linazidi kuimarika zaidi na zaidi. Ni kwambie Sasa kwa tamko lake tu kanisa limeongeza waumini zaidi ya mil 3 duniani kote. Makanisa yenu ndo yanakufa kwa sababu hnaga elimu kabisa. Kila kinachowajia akilini nyie mnanena kwa lugha wakati ni mapepo. Kila siku mwamposa anadai anatoa mapepo lakini hayaishi. Leo ukienda utaambiwa una Pepo na atajifanya kulitoa, kesho ukienda tena anakwambia una Pepo mana yake ulipotoka tu Pepo akakudaka tena. Nilienda siku moja nikajifanya nakunywa pombe kumbe sinywi akanitabilia kwamba usiku nililewa sana kweli si kweli, ilibidi nicheke sana. Makanisa yenu ya kitapeli sanaYote yaliyo gizani yatafichuliwa
Ni wakati wa watakatifu wa Mungu kujidhihili ndani ya kanisa Catholic
Huu ni wakati wa muhimu sana katika kanisa kuliko wakati wote ndani ya kanisa
Nyakati kama hizi zimetoa watakatifu wengi sana ndani ya hili kanisa langu,
Kanisa letu ni kama ziwa hupokea uchafu uliojificha kama usafi,Kisha baadae hutapika nje taka zote, Sasa kanisa linatapika , wanaooona kwa macho ya kibinadamu wanafurahii
Sio kama, ndio uhalisia huo.ukatholiki kama upinga kristu