Uchaguzi 2020 Wakazi wa Dar es Salaam kweli na nyie mtamnyima Magufuli kura?

Ashukuriwe Mungu kwa kutuumbia Utashi wa kupima "Mema" na "Mabaya" vinginevyo sijui ingekuwaje.
 
Tarehe 28 Wana dar es salaam tuna jambo letu ...tumefokewa sana miaka 5 hii
 
Tunaweza kuwa na sababu za msingi za kutoipigia kura Ccm au Magufuli ila tatizo linakuja pale tunapokosa sababu za msingi kwenye kuchagua chama mbadala wa ccm,wengi tumechagua chama fulani sababu tu muda mwingi kinaisema ccm na kupingana na serikali.
 
Huo mji uusemao una watumishi hawajaonja nyongeza ya mshahara kwa miaka 5, kuna wastaafu hawajalipwa mafao mwaka wa 2 sasa tangu wamestaafu ! Je hayo yote ni chini ya serikali ipi? Usiwapangie!
 
Mkuu kuna watu kama Young fagson hawanauwezo wa kuona mbali. Anaweza akakupinga hapa pasipo kuwa na hoja😂
 
Makao Makuu ya USA kua Washington Dc, hakujawahi kuathiri ukuaji wa miji km NY or Miami.

Kuhamishwa kwa Makao Makuu ya Nigeria kutoka Lagos kwenda Abuja hakukuwahi kuathiri ukuaji wa Mji wa Logos.

Kuhamishiwa kwa Makao Makuu ya Ivory Cost kutoka Abidjan kwenda Yamassoukro hakujawahi kuuua mji wa Abidjan. Infact mpaka leo watu wengi wanajua capital city ya Ivory Cost ni Abdjani.

Brazil relocated their capital city from
Rio de Jeneiro to Brasilia.

Russia relocated from Moscow to St. Petersburg.

Malyasia from Kuala Lumpa to Putrajaya.

Mifano ni mingi ikiwemo inchi nyingine zenye plan ya kuhamisha makao makuu ya inchi zao ikiwemo Indonesia.

To cut the story short...hii hoja yako ya kuiua Dodoma kwa kuhamisha serikali Dodoma ni hoja mfu. Idadi ya wafanyazi walio hama ni ndogo sana compared to the population iliyobaki Dar.
 
Basi hana chake. Miradi wake ni uwanja wa ndege Chattle ambao umejengwa na shemeji yake (Mayanga Construction).
 
Ukitaka kumjuwa mbwa anaukali gani mfunue mkia sijawahi kuwa mzembe hata siku moja ilakilicho niweka maskini niutawala huu nilikuwa namiliki vipe 2 naengeine zake 2 uvuvi halali kabisa shughuli zauvuvi zinafanyika mbali sana na fukwe tunaenda kuvua dagaa wakigoma kwenye kina chamaji mengi isitoshe tunakata leseni ya uvuvi lakini walikuja hao waliotumwa kutokomeza uvuvi haram walitutaka tuwaonyeshe vyavu tunazo tumia iliwazipime tukatekeleza walipo ziona walisema zipo sawa ila tunataka pesa kama hakuna pesa tunazichoma kweliwalichoma nakuziteka engeine zetu mpaka sasa wanazo hapa mimi ni ccm lakini tokahapo niliumizwa sana nimepata moyokusikia lisu yupotayari kutulipa ndio maana namuombea dua mungu amuwekee wepesi aamina
 
Tunampa kura kwa kishindo hata yeye anajua hilo!
 
Bora nimuongezee idadi ya kura mjomba hasheem
 
Kuniita mzembe hakuniondolei machungu wala hakunikatazi kupaza sautiyangu nakuonyesha nimechukizwa nautawala huu namini tupowengi tulioumizwa lakini utasemea wapi angalau nitoehapa yamoyoni watutufarijiane sikukatishana tamaa wakati ninamaumivu makali
 
Kama habari ya kwenye mitandao haina wasomaji wengi au haina madhara kwann wanapoguswa kunako wanakanusha haraka na hii sio kwa tz karibu dunian kote, mitandao kwa sasa ni kichomi kwa utawala wowote ule usiidharau.
 
Tangu uchangie masaa 16 yaliyopita umepata like1 tu, maanake hoja yako ya kumuunga mkono magu haipendwi na watanzania.

Apo waweza kuuona uungwaji mkono kwa Lisu ni wa kiasi,
endelea kumshabikia hasokubalika
Rais ni John Pombe Joseph Magufuli. Huyu ni Mzalendo namba moja, mzaliwa wa Chato. Yule mwingine wakala wa beberu, mwenyeji wa Ubelgiji.
 
Uchumi wa nchi ilizozitaji unafanana na hapa bongo? Dar kuna uchumi gani kama sio udalali na ujanja wa mjini watu kuishi. Lagos unailinganishwa na dar? Dar ni uswahilini mkuu. Hata kenya haitakaa udhibiti kuhamisha makao makuu kutoka Nairobi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…