Uchaguzi 2020 Wakazi wa Dar es Salaam kweli na nyie mtamnyima Magufuli kura?

Hakuna watu washamba nchi hii kama wakazi wa dar es salaam. HUwa wanajifanya wajuaji lakini ki uhalisia ni washamba kiwango kikubwa sana.
Unafiki wa kiwango cha Lami.
 
Hongera sana Mama D kwa kufikisha mwaka mwingine
Tarehe 29 muda kama huu nitakua namalizia kuandaa tafrija ndogo ya kusherekea siku kuzaliwa mimi na my President huku tukiendelea kupokea matokeo ya ushindi toka sehemu tofauti za nchi
 
Uwanja wa ndege ni barabara ?
 
Makaburu wamefanya maendeleo makubwa South Africa lakini unajuwa ni kwa nini kwenye sanduku la kura wanakataliwa?
 
Pamoja na kupitisha sheria kandamizi ( Fao la kujitoa )
 
Uzalendo ni ku quote “Mungu Oyee”.
Kwani oyee maana yake nini? Mimi nadhani ni sifa au pambio zuri. Kwangu oyee ya kwanza ni kwa Mwenyezi Mungu maana ndio aliyeumba binadamu tunaowaimbia hizo nyimbo za oyee.
 
Zilitumiwa kwa ajili ya wahanga wa tetemeko tatizo nchi yetu siku hizi inakubaliana na siasa za kipuuzi za kutunga uongo wa mitandaoni na watu wakaja kuuamini kama ndio ukweli.

Tuna aina ya media zenye watu wepesi sana.
Acha uongo, unadhani wewe ndiyo unapajua Rwamishenye,Itahwa,Hamugembe,Kahororo,Migera,Kashai,Busimbe peke yako.Leka ebishuba
 
Acha uongo, unadhani wewe ndiyo unapajua Rwamishenye,Itahwa,Hamugembe,Kahororo,Migera,Kashai,Busimbe peke yako.Leka ebishuba
Binadamu huwa hana shukrani, cha muhimu ni kumuelewa vizuri. Na maisha huendelea kama kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…