Uchaguzi 2020 Wakazi wa Iringa wajitokeza kumpokea Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Wakazi wa Iringa wajitokeza kumpokea Tundu Lissu

Mwambie meko akafanye kampeni bila wasanii tuone Kama atapata ata watu 50

Lisu kawapiga upofu hamjui wap muelekee mmekusanya wasanii 200 na bado mtaliwa kichwa tu.
Hivi kwa akili zenu mnajidanganyai lissu atapata kura za kumtosha? Ameachiwa uwanja peke yake sasa hivi na bado anakusanya umati hafifu kama ule.Subiri kipenga kipigwe mtamkimbia mgombea wenu kwa aibu.
 
Lissu kazuiwa njiani bwashee atafika hapa soon! Vijana wa Chadema tupo imara.

Tembelea kule kwa Godlisten Malisa uone kafanikiwa kuchangisha Tshs milioni 75 ndani ya siku chache
Hahahaaaa! goja nimuulize Sllen Kilewela hapo kihesa.

Siasa siyo uadui bwashee!
 
Lissu kazuiwa njiani bwashee atafika hapa soon! Vijana wa Chadema tupo imara.

Tembelea kule kwa Godlisten Malisa uone kafanikiwa kuchangisha Tshs milioni 75 ndani ya siku chache
Million 75 pesa ya kununua RAV4 USED unatuletea hapa, kweli chadema mmeishiwa. Acheni utani chadema, hebu muwe serious kidogo
 
Una bahati mbaya kwani itakuwa tayari imeisha mikoa 10. Sasa kwingine wapi au hujaona? Lissu katembea kanda zote kasoro ya kusini na Zanzibar tu! Na bado ataenda Zanzibar
Zanzibar tuliambiwa hapa kaenda na kweli alienda Ila kilichomkuta kule Chadema waliamua kupotezea ni aibu na hata waleta mada za Lisu kwenda Zanzibar waliingia mitini kwa aibu.
 
Zanzibar tuliambiwa hapa kaenda na kweli alienda Ila kilichomkuta kule Chadema waliamua kupotezea Ni aibu na hata waleta mada za Lisu kwenda Zanzibar waliingia mitini kwa aibu
weka picha
 
Wape salaaam. Baba yupo Iringa anaipigania haki ya kweli.
View attachment 1540276
View attachment 1540281

Wenye zile ramli uchwara mambo za kukata pumzi wameshapata tena yale matumbo ya kuwahi kuliko vyoo hata kama ni vya stendi.

Wangeshukuru mno kama malaika wa Mungu angeshuka akaizima mitandao au angalau akaondoa ile button pendwa ya "attach files" hapo kwa muda.

Yote Tisa. Mambo yote iko Oct 28.
 
lissu twende kazi, mataga huwaoni hapa, watakuja badae sana kwenye pg ya 588
 
Back
Top Bottom