Uchaguzi 2020 Wakazi wa Iringa wajitokeza kumpokea Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Wakazi wa Iringa wajitokeza kumpokea Tundu Lissu

Hivi kwa akili zenu mnajidanganyai lissu atapata kura za kumtosha??? Ameachiwa uwanja peke yake sasa hivi na bado anakusanya umati hafifu kama ule.Subiri kipenga kipigwe mtamkimbia mgombea wenu kwa aibu.
Kura atapata na atakuwa Rais. Hutaki acha.
 
Back
Top Bottom