Hivi kwa akili zenu mnajidanganyai lissu atapata kura za kumtosha? Ameachiwa uwanja peke yake sasa hivi na bado anakusanya umati hafifu kama ule.Subiri kipenga kipigwe mtamkimbia mgombea wenu kwa aibu.Mwambie meko akafanye kampeni bila wasanii tuone Kama atapata ata watu 50
Lisu kawapiga upofu hamjui wap muelekee mmekusanya wasanii 200 na bado mtaliwa kichwa tu.
Hahahaaaa! goja nimuulize Sllen Kilewela hapo kihesa.Lissu kazuiwa njiani bwashee atafika hapa soon! Vijana wa Chadema tupo imara.
Tembelea kule kwa Godlisten Malisa uone kafanikiwa kuchangisha Tshs milioni 75 ndani ya siku chache
Mbona Lisu mwenyewe haonekani?
Hahahaaaa....... Isije kuwa ni mkutano wa Lowassa!
Huko tunakuja mimi na mzee Mgaya. Msigwa lazima akae mapema sana!....watumeni MAJIBU MTAYAPATA
Million 75 pesa ya kununua RAV4 USED unatuletea hapa, kweli chadema mmeishiwa. Acheni utani chadema, hebu muwe serious kidogoLissu kazuiwa njiani bwashee atafika hapa soon! Vijana wa Chadema tupo imara.
Tembelea kule kwa Godlisten Malisa uone kafanikiwa kuchangisha Tshs milioni 75 ndani ya siku chache
Hata Iringa Ngome yenu saiv mnapata hao pekee??
Hahahaaaa! Lowassa ilikuwa hivyo hivyo bwashee mwisho wa siku akapigwa na butwaa!Bwashee mwamba nmemshuhudia kwa macho na kwa kweli ametisha
Taarifa zinaonyesha kwamba vitabu vya kuandikia wadhamini wa Lissu vimejaa hadi kwenye makava !Wape salaaam. Baba yupo Iringa anaipigania haki ya kweli.
View attachment 1540276
View attachment 1540281
Zanzibar tuliambiwa hapa kaenda na kweli alienda Ila kilichomkuta kule Chadema waliamua kupotezea ni aibu na hata waleta mada za Lisu kwenda Zanzibar waliingia mitini kwa aibu.Una bahati mbaya kwani itakuwa tayari imeisha mikoa 10. Sasa kwingine wapi au hujaona? Lissu katembea kanda zote kasoro ya kusini na Zanzibar tu! Na bado ataenda Zanzibar
hii siyo kampeni mkuu , ni kusaka wadhaminiHahahaaaa...... Lowassa ilikuwa hivyo hivyo bwashee mwisho wa siku akapigwa na butwaa!
Bado hiyo ni "Lele" na ngoma yenyewe haijaanza.Ngoma ikianza watakaa na kuruka kichura chura.Akiona hivi kesho utaona waganga wa kienyeji wameagizwa kutoa tamko la kuunga juhudi
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
weka pichaZanzibar tuliambiwa hapa kaenda na kweli alienda Ila kilichomkuta kule Chadema waliamua kupotezea Ni aibu na hata waleta mada za Lisu kwenda Zanzibar waliingia mitini kwa aibu
Wape salaaam. Baba yupo Iringa anaipigania haki ya kweli.
View attachment 1540276
View attachment 1540281
Mbona hapo sijamwona sasaWape salaaam. Baba yupo Iringa anaipigania haki ya kweli.
View attachment 1540276
View attachment 1540281
Umeona kuna shehena ya Wasanii wa Bongo fleva hapo Boss?
Goli la mkono.Hahahaaaa! Lowassa ilikuwa hivyo hivyo bwashee mwisho wa siku akapigwa na butwaa!