Wakazi wa Madale wapatwa na taharuki baada ya kuvamiwa na Nyati wa Porini

Huu ni udhaifu wa kiwango cha hai ya juu kumpiga mnyama risasi badala ya kutumia zile sindano za usingizi na kumrudisha huko alikotoka .kinatumika kikosi cha ant- robery huo ni ushenzi na uharbifu wa mali asili.ina maana kila mnyama atakae kua akitoroka ni kupigwa risasi.shame shame
 
Umeambiwa maofisa wa wanyama pori au anti robbery ndio waliofanya hivyo

Soma habari kwa umakini
Wawe ni wa Wanyama Pori, anti robbery au Wananchi mara zote wao ni kuuwa tu....ni lini ulisikia wamekamata Fisi kwenye makazi akiwa hai wakamrudisha porini?.
 
Sawa wanamuua badala ya kumchapa sindano ya usingizi na kumrejesha mwituni.......
 
Walipaswa wampige zile sindano za usingizi wamrudishe porini, wakati mwingine tunafeli kwenye vitu vidogo vidogo.
 
Tranguilizer zipo tu,hazifanyi kazi,mnyama anauawa kama suluhisho,hii ndiyo bongo.
 
Watu wa mali asili wameondoka naye.....Madale kumbe bado Porini.
Mkuu mbona nyama wananchi wamekula huku mtaani,sema mapaja ndio wameondoka nayo mali asili,na kuna mama mmoja amepigwa push moja hapa mtaani na huyu nyati tena huyu mama alikuwa kabeba mtoto
 
Ninesikitika sana kuuwawa kwa huyo mnyama, nadhani wataalamu wetu wako dhaifu sana kukabiliana na wanyama.
Tatizo ni kutokiwepo kwa kikosi cha wanyamapori. Hao anti robbery akilli zao zipo kukaba kaba tu ndo wamefikiria kumuua nyati na sio kumkamata na kumkabidhi kwa kikosi cha wanyamapori
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…