Mr RoundAbout
Member
- Oct 6, 2023
- 74
- 89
Karibu Rombo..Niliwahi fika huko Tarakea miaka mitatu iliyopita niliona tatizo la maji lipo na Boda boda kukamatwa na Askari wa Kenya wakipitisha magendo pana nyumba nyingi nzuri zimejengwa huko kama zimeoteshwa wengi wao maji wamechimba visima na wengine ndio hawa wanaenda kununua kwa walio na visima niliona usalama pia kwa wauza maduka ni mdogo sana wanafunga duka saa kumi kuogopa kuibiwa...tukijaaliwa ntarudi tena Desemba hii mpaka Holili huko..
Na jana walikua wanajinadi stand ya tarakea na maajabu ni siku ya soko ila hakukua na watuInasikitisha mno yaani maji yamekuwa ya shida sana hadi kupelekea wakaji wa tarakea kwenda kuchota maji kenya halafu baadae utaskia ooh mama ana upiga mwingi 🤣🤣
We ni wa maili sita ipi bibieKaribu Rombo..
Upitie na mtaa wangu wa zamani huo wa maili sita hapo. Tumepangana balaa... hahaha Mr. Mtefu, Farahani, frank kichaa, maiko ngaleku shirima, msanaa, waha wa rombo green view etc.
Tarakea iko poa. Sema umafia mwingi sana huko.
WAHA kachimba maji akataka kusambazo ROMBOWSA wakamzuiaTusiwasingizie viongozi kwa ujinga na uzembe
Kisima 3m kwani wasichange wakachimba?
Anzisheni harambee Walahi nitachangia
Yaani kiraka changu nimseme Mama hapana
Ok ntakaribia siku nikija ntakutafuta miss Pablo...Karibu Rombo..
Upitie na mtaa wangu wa zamani huo wa maili sita hapo. Tumepangana balaa... hahaha Mr. Mtefu, Farahani, frank kichaa, maiko ngaleku shirima, msanaa, waha wa rombo green view etc.
Tarakea iko poa. Sema umafia mwingi sana huko.
Wakati kodi inachukuliwa kwenye mazao na biashara mbona kunakuwa hakuna tatizo upande wa serikali?Ndo tatizo la akili za ujamaa.
Inabidi watu watafakari. Kama kijiji cha watu 200 kinasuburia serikali ije iwachimbie kisima miaka nenda rudi.
Kila kitu serikali serikali, akili za ujamaa zinafuta fikra za personal responsibility kabisaaaa
Hapo Tarakea. Kwenye barrior ile kabla ya tarakea mjini hapo. Ila sipoi hiyo mitaa siku hizi..We ni wa maili sita ipi bibie
Sema Waha alifanya ukorofi jamani. Jahaha kama kawa sikukuu za mwisho wa mwaka akaalika watu. Lakini kama ujuavyo shughuli za matajiri. Kuna matabaka. Sipemdagi kweli hiki kitu. Huwa wanawabagua sana wanakijijj wakati ndo wachimbaji wao wa makaburi. Basi wageni wenye pesa zao wakawekwa VIP halaf wa kijijin wakawekwa kivyao na pombe za hovyohovyo. Sisi tulipofika kwa kweli tukagoma jukaa VIP. Tukajichanganya kwa wanakijiji. Kwa kwwli ukiwatizama ungeweza ona masononeko yao kutengwa. Mwaka mzima tunawatenga wanakijiji halafu decembee nayo pia jamani. Tukaja na sisi kufanya tukaalika wote na tukawamix wote. Tuacjhe kuwabaguaga ndugu zetu jamani.WAHA kachimba maji akataka kusambazo ROMBOWSA wakamzuia
Karibu mkuuOk ntakaribia siku nikija ntakutafuta miss Pablo...
Hawana akiliNa jana walikua wanajinadi stand ya tarakea na maajabu ni siku ya soko ila hakukua na watu
Hili ndio tatizoWAHA kachimba maji akataka kusambazo ROMBOWSA wakamzuia
Inasikitisha mno yaani maji yamekuwa ya shida sana hadi kupelekea wakaji wa tarakea kwenda kuchota maji kenya halafu baadae utaskia ooh mama ana upiga mwingi 🤣
Tunadumisha ujirani mwemaInasikitisha mno yaani maji yamekuwa ya shida sana hadi kupelekea wakaji wa tarakea kwenda kuchota maji kenya halafu baadae utaskia ooh mama ana upiga mwingi 🤣🤣
Una uhakika maji yapo chini na wakichimba watayapata?Tusiwasingizie viongozi kwa ujinga na uzembe
Kisima 3m kwani wasichange wakachimba?
Anzisheni harambee Walahi nitachangia
Yaani kiraka changu nimseme Mama hapana
Kweli? Wakati hayo maji huko upande wa Kenya yanatoka mlima Kilimanjaro?!!!Inasikitisha mno yaani maji yamekuwa ya shida sana hadi kupelekea wakaji wa tarakea kwenda kuchota maji kenya halafu baadae utaskia ooh mama ana upiga mwingi 🤣🤣
🐐Mmeeeeeeeh😂
Hapana mkuu sina uhakikaUna uhakika maji yapo chini na wakichimba watayapata?
Kama wanalipa kodi kwanini serikali isiwapatie maji?
Wengine wote wenye maji walichanga wakajiwekea?