Kumbe aheri karatuUnge koma sana
Ndio my wanguKumbe aheri karatu
Nitajuaje waulizeKwanini walisema hayo? Unaijua sababu?
[emoji23][emoji23] nyinyi si mmeendelea?Kweli? Wakati hayo maji huko upande wa Kenya yanatoka mlima Kilimanjaro?!!!
Mkuu nilishasema na nasema tenaHili ndio tatizo
Shirika la maji hawawezi kazi halafu hawataki wapinzani
Huu ni ushenzi kabisa ndio mana watoto wanakufa kisa maji machafu kabla hata hawajafika mitano
Tuna bahati kuishi kwenye nchi za umasikini wa kujitakia
Wawaingizie bidhaa bila kutoza kodi wala wasiwachaji kodi kwenye kitu chochote..watajijengea hadi zahanati..msiwatisheTusiwasingizie viongozi kwa ujinga na uzembe
Kisima 3m kwani wasichange wakachimba?
Anzisheni harambee Walahi nitachangia
Yaani kiraka changu nimseme Mama hapana
CCM ndio tatizo la nchi hii.Mkuu nilishasema na nasema tena
CCM hawataki watu watoke kwenye tabu
Kuna mifano mingi sana
1.Kiwanda cha Sukari TPC kinazalisha umeme wa uhakika, walitaka kuwauzia Tanesco wakakataa TPC wakauza umeme wao wa uhakika usiokatika katika Kenya
Lakini Moshi umeme wa Tanesco unakatika hawana uwezo wa kuzalisha umeme wa uhakika.
2.Wananchi wa Kirua walichanga pesa zaidi ya bilioni 7 ili waweke lami barabara yao, walipotaka kuanza mkuu wa wilaya na watu wake wakakataa lami isiwekwe mpaka Mbatia alipokwenda kulalamika kwa Magufuli (Uzi kuhusu hili sakata upo humu)
3.Watu walichimba visima dar kuondokana na tatizo la maji serikali ikawawekea kodi
Yani serikali imeshindwa kuwapa watu maji, wananchi wakachimba visima wenyewe kwa pesa zao, eti serikali wanataka wawafungie mita wawalipishe huu si Ujuha?!
Si kwamba Watanzania hawawezi kuchimba visima au kujenga barabara wenyewe ila serikali ndio kikwazo kikuu kwa maendeleo licha ya kuwa wameacha kufanya wajibu wao wa kutumia kodi zetu kwa maendeleo na wakachagua kujinunulia ma V8 ya milioni 500
Bado wanazuia wazalendo wanaojaribu kufanya kwa niaba yao kwakua kufanya hivyo ni kuwavua nguo.
Eeh, ila sasa kuna padre alimchimbia baba yake pia kisima ila yeye anauza sasa. Hahaha ila si Tarakea.Asante sana kwa ufafanuzi wako, kwani na wengine waliochangia wataelewa pia.
Hongera kwa mzee wenu ila ana Baraka zake kwa Mungu pia
Kweli wajibu wa Serikali na pia wahimize upandaji wa miti zaidi
Ndio dear. Ni muda kidogo mbonaKwani Tarakea kuna shida ya maji?
Na hilo ndo lilikua moja ya sehemu ya changamoto zake. Uchama mbaha sana. Tuma roho mbaya sana sisi maskiniWaswahili roho mbaya sana tena ni zaidi ya wachawi
Sasa kuwa mpinzani ndio wanawafanyia hivyo
Tunayasikia sana haya hata marehemu alikuwa hivyo yeye akiona mpinzani anasema sileti maendeleo, kwa kweli alikuwa mtu wa ajabu sana kwa hilo
Na wengine wameendeleza hayo
Wala si kihivyo. Maji ya mgao. Sasa ukipelwkwa tarakea na vijiji vya khsini huko bora wapi? Tk pazuri sana. Ola tunatka maji mengi memgi zaidi.Nilitaka kuhamia huko kikazi,kumbe ningeteseka
Kwani bado siku Ngapi ili Yatimie yaliyosemwa Kuhusu Hatma ya Utawala huu?Tusiwasingizie viongozi kwa ujinga na uzembe
Kisima 3m kwani wasichange wakachimba?
Anzisheni harambee Walahi nitachangia
Yaani kiraka changu nimseme Mama hapana
Ila jiandae meno ya brown. HahahahKumbe aheri karatu
Ni kwasababu walitengwa na huduma za kijamiiNitajuaje waulize
Si warombo wametapakaa hapo kimara bucha waulize wakirudi desemba krismas wanasherekea wapi
Watakujibu[emoji120]
Natamani ningekuwa mtabiri kama yule wa Chama pinzaniKwani bado siku Ngapi ili Yatimie yaliyosemwa Kuhusu Hatma ya Utawala huu?
Sipendi kumtaja jina, kuna Mbunge alipita sehemu akiwa anajionyesha na kutoa kumi 10 maana uchaguzi ulikuwa umekaribiaEeh, ila sasa kuna padre alimchimbia baba yake pia kisima ila yeye anauza sasa. Hahaha ila si Tarakea.
Serikali wanataka wakumbatie miradi yote. Wangeacha haata hawa wanaojimudu wakaokoa jahazi.