Nimefika tarakea nmeingia chocho mpaka kenyaKaribu Rombo..
Upitie na mtaa wangu wa zamani huo wa maili sita hapo. Tumepangana balaa... hahaha Mr. Mtefu, Farahani, frank kichaa, maiko ngaleku shirima, msanaa, waha wa rombo green view etc.
Tarakea iko poa. Sema umafia mwingi sana huko.
Hahahaja pole aana kwa kukwazika mkuu. Wanasiasa hawana roho wasikuumizeSipendi kumtaja jina, kuna Mbunge alipita sehemu akiwa anajionyesha na kutoa kumi 10 maana uchaguzi ulikuwa umekaribia
Akisimama mtaa mmoja akaona kina mama wanachota maji, juu Kuna simtank na chini bomba akauliza hayo ni maji ya serikali wakamumbia hapana mwenye nyumba kaamua kuchimba atoe sadaka endelevu kwa Mola wake
Akasema anafanya vizuri
Mjinga huyo uwezo wa kuchimba visima 10 anao ila anatoa hongo ya elfu 5 ili achaguliwe
Angewachimbia visima ambavyo ni 3m angepata kura za halali kabisa ila wamezoea kuwa na roho ya shetani hata mazuri wamesahau
Huo ndio ukweli wachukie tu
Kweli hawana Roho nimekuaminiHahahaja pole aana kwa kukwazika mkuu. Wanasiasa hawana roho wasikuumize
Ooh, ila mto Ungwasi upo Mashati. Tarakea ni mbele kabisa mkuu. Ungwasi haujawahi kukauka maji niujuavyo mimi kwa huku tz. Ulipitia barrier ya hapo maili sita ama pale tk mjini? Hoping hukupita msimu wa baridi maana hapafai. Bora hata sehem za Mkuu etcNimefika tarakea nmeingia chocho mpaka kenya
Nachofahamu huko kuna mto unaitwa
Ungwasi uko tz na kenya ila kwa kenya ndiyo kuna maji,labda watu huko wanayafata maji hayo
Ova
Eeh. Hawajui. Hawajui aisee.Kweli hawana Roho nimekuamini
HahahaOoh, ila mto Ungwasi upo Mashati. Tarakea ni mbele kabisa mkuu. Ungwasi haujawahi kukauka maji niujuavyo mimi kwa huku tz. Ulipitia barrier ya hapo maili sita ama pale tk mjini? Hoping hukupita msimu wa baridi maana hapafai. Bora hata sehem za Mkuu etc
Halafu umenikumbusha kitu, Hawa wakenya mafala sana
Sindo wanablock maji sijui wapi ilo wanyama wetu wasipate maji? Sisi tukiamua kuwakomesha hawa watajuta.
Inauma sanaEeh. Hawajui. Hawajui aisee.
Kuna siku nilitoka kwa hasira tu nilikwazika nikaenda kwa rafiki yake rafiki yangu hapo kibaha tu. Nimefika mimi ndo baba na mama. Unajua watu wanashinda njaa? Huwa wakikosa wanalala. Maji ya shida. Aisee, sitasahau. Niliumia mno. Unakuta jamaa anaenda kutafuta vibarua vya ujenzi hapati anarudi mkavu. Mke nae ndo mama wa nyumbani. Nilikaa siku kadhaa. Niliwaza mengi sana. Yaani nilitubu mno. Na nilimwomba sana Mungu anisamehe endapo nimewahi mkufuru. Yaani najiuliza kumbe watu qanayaishi haya maisha? Niliumiaaa. Nilikaa muda nikakimbilia hotelini. Lkn namshukuru aana Mungu alitaka niyaone maisha mengine ya wenzangu. Hapo nilijiuliza sana maswali mengi kwa wanasiasa. Najiuliza hv haqa wanaweza lini kupata muda wa kuyajua haya maisha wanayoiahi hawa raia? Nikajijibu haitokaa itokee na ndo maana watu wataishi kwa kutaabika mpk mwisho wao. Wanasiasa kamwe hawajui na hawajali maisha ha raia. Kamweee.
Hao jamaa huwa by nature wana roho mbaya sanaHahaha
Majirani zenu bana
Ova
Sanaa aises. Tuwe tunatoka tupitepite kwa jamaa zetu. Wanapitia maisha magumu sana aiseeInauma sana
Ila wanajua lakini wanaziba macho na masikio huku wakijiona wao ndio wajanja
Si mchezo huko, nmeona sana watu wakienda fanya vibarua kenya wakirudi si complain hizo [emoji1]Hao jamaa huwa by nature wana roho mbaya sana
Ashukuriwe mkoloni kwa kututoa huko kwa wala dona. Hahaha wana roho mbaya sana.
Naona Ruto amepiga marufuku pia kuinfiza mazao. Si muda utasikia pia kilio cha unga.
Kuna mfereji mmoja upo hapo Mkuu wilaayani hapo. Wanauita mfongo mkubwa ama ivanda. Kipindi cha mvua huwa maji yanajaa. Hapapiti kwa enzi hizo. Maji yote ya mito ya huko hupeleka maji kenya. Yaani mpaka mifereji. Na ni mikubwa kweli. Kama mto. Sasa kipimdi hicho nimetoka dar kwenda kumsalimia bibi. Kuna vibarua wakawa wanaenda shambanj. NililaImisha hadi nikaenda nao. Saa ya kurudi wallah hata sijui mvua ilitoka wapi. Mpka barabara zimejaa maji. Fanya kama unaona na lile tope. Maji yanashuka mkuku kwenda kenya. Kufika kwenye hilo ivanda akavuka mdogo wake na binamu akasombwa, na mwingjne pia akasombwa. Na mimi nikawa navuka nikasombwa. Yaan mpk kesho ukiniuliza maji yana nguvu gani sijawahi jua wala kuewa yaan tungeingia tu kwenye hiyo chemba ya kuunganishia kwenye ivanda ndo basi tena
Tungeokotwa kenya kama yule mtawa alivhookotwa kenya kwa mto motrale. Na hayo mawe mtoni ni unagongwagongwaaa mpk ufe hayo maji hata hayafai.. hoping kenya wanayavuna haya maji maana yanakujaga na sadaka za damu za watu. Hahahahah
Ndiioo. Hata shule watoto wanasoma za kenya wengine. Sema siku hizi englishediums zimekua nyingi hapo tarakea na rombo kwa ujumla. Watoto huwa wanaenda shule asubuhi na wanarudi jioni. Kuna watu wamewin maisha aisee kwa kufanya hivho vibarua wakapata mtaji.Si mchezo huko, nmeona sana watu wakienda fanya vibarua kenya wakirudi si complain hizo [emoji1]
Ova
Unaongea kama ndarara ni karibu eti. Kwanza niilaumu idara ya maji ya kiliwasa sijui kama bado ipo hai. Wote waliokula hela za maji watazilipia mpaka wajukuu. Pili serikali kuu kwa miaka nenda rudi imewatelekeza wakazi wa tarafa ya Tarakea na vijiji na kata zake hasa kuhusu maji. Kila ikifika mwezi wa saba maji kupatikana mpaka kijito cha nyerere huko Kenya. Tena wenzetu mpaka mifumo ya kunyeshea ipo kabisa. Pale Tarakea day zamani maji yalikua chini, so kuna uwezekano water table ikawa juu kabisa. Serikali iache uvivu.Bas unavyosema wakaz wa tarakea wachota maji kenya utafikir wanasafir masaa ma 5 kwenda uko kenya wakat n mtaa mmoja tunatenganishwa na bikon tu inayoonyesha apa tz upande wa pil kenya wakaz wa tz wamejenga uko na kuoa na ao unaosema wakenya wanakuja kulewea pombe kwenye mabanda yetu
EeehNa umeme wanatoa wapi, au huko huko Kenya?
Marangu walikataa wale wazee mwenye akili zao ila hawa wapaka poda naona wanafungiwa mita , machame kibisho mpka masama maji yapo yakutosha.Yes. Kuna eneo huko chini Mzee wangu alinunua. Kutokana na shida ya maji yeye amedrill kbs. Huo ukanda walitesekaga sana. Japo kwazee wangu siyo chini kihivyo. Na shamba lake la mdizi ni kubwa kwahiyo mdizi hazipati maji ya kutosha. Alifunga safari ya mbali kbs Asia huko kununua material. Amedrill na anawagawia majirani zake maji bure kbs. Na migomba shamba zima linamwagiliwa. So naona tatizo na wahusika wenyewe.
Niliona kama miaka mitatu hivi kipande cha shimbi wamechimba mifereji na mabomba pembeni lakini sijajua kama wameshafunguliwa maji. Nilisikia kama Rombo chini hivi. Huku ukanda wetu wa juu huwa haunaga chanhamoto za kihivyo za maji. Watu wahimizwe wapande miti zaidi milimano huko. Ubaya wake ni moto unaolipuka mara kwa mara inaharibu sana vyanzo vya maji.
Marangu wenzetu waligomaga kulipia bill za maji. Waliwaambia idara ya maji hawalipi kwasababu maji wamepewa burw na Mungu hivyo hawalipii. Na ukiangalia Marangu na mitaa yote sijui machame, kibosho, etc etc wana vyanzo vingi sana vya maji. Mifereji imepitisha maji mpaka nje kwako. Wengine unakuta hapo nje ana chemchem inapita. Rombo ni Semi Desert. Ukamda wa chini majirani na kenya. Hivyo Serikali itimize wajibu wake tuu
Ni kweli kabisa aisee. Ila rombo wanategemea maji ya marangu. Sisi hakuna chemchem ka huko kwenu bana.Marangu walikataa wale wazee mwenye akili zao ila hawa wapaka poda naona wanafungiwa mita , machame kibisho mpka masama maji yapo yakutosha.