N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Nimetulia zangu kasehemu fulani uchochoroni hapa Bunju Beach, ameingia mwalimu mmoja hapa na bodaboda guest house, dada kapiga decent na Pete juu na bodaboda namfahamu, ila huyu boda hajaoa, kwa kweli nimesikitika sana.
Kwa kweli wake zetu tukiwa nao mbali sijui huwa wanafanya nini. Hivi hakuna sayansi ya kubaini kwamba katoka kuchepuka? Au inabidi kutupia kale ka GPS ka mchina kwenye mkoba wake kimyakimya kama unafanya car tracking.
Jamaangu Ulimboka nae huko kwenye kampuni yao anasema wadada ambao ni wake za watu wanatunguliwa sana na mabosi wakati wa lunch time. Picha: AI