TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Same to menMwanamke aliye wahi kuwa na wanaume wengi kabla hajaingia kwa ndoa hawezi acha hiyo tabia hata awe mke wa mtu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Same to menMwanamke aliye wahi kuwa na wanaume wengi kabla hajaingia kwa ndoa hawezi acha hiyo tabia hata awe mke wa mtu!
Vyote vyote wapigwe tu hakuna namna kama wanavipeleka wenyewe.Wapigwe nini mkuu, makofi!? Au !?
Kwenye hiyo picha hata kama ni AI ndio watu wajae hivyo guest mlango wa kuingilia? Halafu wamepigilia Tai kama madiwani 😆Nimetulia zangu kasehemu fulani uchochoroni hapa Bunju Beach, ameingia mwalimu mmoja hapa na bodaboda guest house, dada kapiga decent na Pete juu na bodaboda namfahamu, ila huyu boda hajaoa, kwa kweli nimesikitika sana.
Kwa kweli wake zetu tukiwa nao mbali sijui huwa wanafanya nini. Hivi hakuna sayansi ya kubaini kwamba katoka kuchepuka? Au inabidi kutupia kale ka GPS ka mchina kwenye mkoba wake kimyakimya kama unafanya car tracking.
Jamaangu Ulimboka nae huko kwenye kampuni yao anasema wadada ambao ni wake za watu wanatunguliwa sana na mabosi wakati wa lunch time. Picha: AIView attachment 3260034
Mwanamke akifanya kazi na Mwanaume ameisha huyo Haina mjadala haijalishi mke wa mtu hana Mme atalika tu, ukitaka usalama akae nyumbani hayo mengine atayatafta mwenyeweNimetulia zangu kasehemu fulani uchochoroni hapa Bunju Beach, ameingia mwalimu mmoja hapa na bodaboda guest house, dada kapiga decent na Pete juu na bodaboda namfahamu, ila huyu boda hajaoa, kwa kweli nimesikitika sana.
Kwa kweli wake zetu tukiwa nao mbali sijui huwa wanafanya nini. Hivi hakuna sayansi ya kubaini kwamba katoka kuchepuka? Au inabidi kutupia kale ka GPS ka mchina kwenye mkoba wake kimyakimya kama unafanya car tracking.
Jamaangu Ulimboka nae huko kwenye kampuni yao anasema wadada ambao ni wake za watu wanatunguliwa sana na mabosi wakati wa lunch time. Picha: AIView attachment 3260034
Ukisubir majibu Yao umeumia, Bali kama una mke anafanya kazi utakuja kutusimulia mwenyewe siku za kujua tu ndo bado, utakuja kuniambiaKwamba kuliwa ni constant?/given?! Hebu tuwaite wamama waje hapa watuambie eti MISS ANNE ya kweli haya!
Nadhani tuna mchango kama ifuatavyo:-Je wanaume tuna mchango wowote juu ya kuharibika Kwa wake zetu?
Unauma kweli na ndo ukweli, linganisha kuuma ukweli huu na kuuma ukisikia au ukamfuma na mtu huko kazini, siku ukimfuma ukimzingua mahakamani, tugawane Mali, elimu anayo wasaidizi anao, washauri anao, na wawezeshaji anao, kifupi Mwanamke mfanyakazi ni mwanaume mwenzako, kama hukubali subiri.Dah huu ukweli mbona unauma sana
Fanya kazi achana na maisha ya watu.Nimetulia zangu kasehemu fulani uchochoroni hapa Bunju Beach, ameingia mwalimu mmoja hapa na bodaboda guest house, dada kapiga decent na Pete juu na bodaboda namfahamu, ila huyu boda hajaoa, kwa kweli nimesikitika sana.
Kwa kweli wake zetu tukiwa nao mbali sijui huwa wanafanya nini. Hivi hakuna sayansi ya kubaini kwamba katoka kuchepuka? Au inabidi kutupia kale ka GPS ka mchina kwenye mkoba wake kimyakimya kama unafanya car tracking.
Jamaangu Ulimboka nae huko kwenye kampuni yao anasema wadada ambao ni wake za watu wanatunguliwa sana na mabosi wakati wa lunch time. Picha: AIView attachment 3260034
Shangaa hata wewe hapo kamuona huyo, nayeye alikuwa na mke wa mtu, akirudi nyumbani kachoka, naye mkewe anaenda kutafuta huko mchaka-mchaka😂😂😂Hao wanawake si wanachepuka na nyie wanaume au?? Hapo ni km wewe unavyomchepukia mwanamke mwingine ambaye nae mke wa mtu..!!
Wao kuchepuka na wake wa wenzao fureeshh ila wao aaahh..!! Wakae kwa kutulia 😹😹Shangaa hata wewe hapo kamuona huyo, nayeye alikuwa na mke wa mtu, akirudi nyumbani kachoka, naye mkewe anaenda kutafuta huko mchaka-mchaka😂😂😂
Upo sawa kabisa, wanaume wengi akinunua mchele, samaki, nyama, hapo anakuwa kamaliza hajui kama mke anamwitaji yeye kama yeye, matumishi shida, niliisikia baba mmoja anamwambia mwanaye kwanini unaoa mke asiye na kazi? Anataka aliye ajiliwa, sasa huyo kijana atamtunza mkewe Kwa usahihi? Acha wasaidiwe, hakuna namna.Nadhani tuna mchango kama ifuatavyo:-
Mosi; kwa kutotoa matumizi,
pili; kwa kutowapa haki ya ndoa ipasavyo (tunathamini sana kuiridhisha michepuko),
tatu; kwa kuendekeza mfumo dume;
nne; kwa kutokuwa romantiki, mambo ya sogeza tuweke! na
tano; kuoa wake za watu.
Na watulie kweli, utakuta anashangaa mke wa mtu kuchepuka, huku nayeye yupo na mke wa mtu pembeni, atulie hata wanawake ni binadamu 🤭Wao kuchepuka na wake wenzao fureeshh ila wao aaahh..!! Wakae kwa kutulia 😹😹
Ni kuchepukiana mpk Yesu arudi 😹😹Na watulie kweli, utakuta anashangaa mke wa mtu kuchepuka, huku nayeye yupo na mke wa mtu pembeni, atulie hata wanawake ni binadamu 🤭