MubengaJr
Senior Member
- Oct 14, 2022
- 151
- 336
Ndio maana wazee wa zamani waliwaajiri wazee. Kazi yao kubwa ilikuwa ni kuzaa na kulea watoto (wanawake weusi hawa).Nimetulia zangu kasehemu fulani uchochoroni hapa Bunju Beach, ameingia mwalimu mmoja hapa na bodaboda guest house, dada kapiga decent na Pete juu na bodaboda namfahamu, ila huyu boda hajaoa, kwa kweli nimesikitika sana. Kwa kweli wake zetu tukiwa nao mbali sijui huwa wanafanya nini. Hivi hakuna sayansi ya kubaini kwamba katoka kuchepuka? Au inabidi kutupia kale ka GPS ka mchina kwenye mkoba wake kimyakimya kama unafanya car tracking.
Waarabu na Wahindi ukimuona mwanamke anafanya kazi basi yupo kwenye biashara ya familia.