Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
📌📌📌Nakazia fumua kwelikweli ili hata akienda huko nje basi angalau utakuwa umekulakula mambo umeacha mashimo tu.Ukipata nafac ya kumfumua mkeo ,mfumue kweli kweli ,fumua mpk Malinda hata usiogope , ukimuogopa ndio wengine wanakomfumua mpk akili zinamkaa sawa
Kwamba kila anapotaka kutoka na wewe utakuwa home muda huo.Anaotoka nao siku hiyo
[emoji419][emoji419][emoji375]Kariri tu "mwanamke mwema halindwi bali hujilinda".
Akili kubwa zaid ya fuvj la kichwaNimetulia zangu kasehemu fulani uchochoroni hapa Bunju Beach, ameingia mwalimu mmoja hapa na bodaboda guest house, dada kapiga decent na Pete juu na bodaboda namfahamu, ila huyu boda hajaoa, kwa kweli nimesikitika sana. Kwa kweli wake zetu tukiwa nao mbali sijui huwa wanafanya nini. Hivi hakuna sayansi ya kubaini kwamba katoka kuchepuka? Au inabidi kutupia kale ka GPS ka mchina kwenye mkoba wake kimyakimya kama unafanya car tracking.
Jamaangu Ulimboka nae huko kwenye kampuni yao anasema wadada ambao ni wake za watu wanatunguliwa sana na mabosi wakati wa lunch time
Mwanamke aliye wahi kuwa na wanaume wengi kabla hajaingia kwa ndoa hawezi acha hiyo tabia hata awe mke wa mtu!Je wanaume runa mchango wowote juu ya kuharibika Kwa wake zetu?
AhahaMkuu umekula kabla ya kureply sledi pendwa?
haisaidiii haijawai saidia itakuletea matatizo ya moyo tuKwa usalama wa taasisi ya ndoa, GPS tracking itahitajika sana
Sayansi ipo, Wewe huko ulipo acha kuzini wake za wengine nawe wako ataachwaNimetulia zangu kasehemu fulani uchochoroni hapa Bunju Beach, ameingia mwalimu mmoja hapa na bodaboda guest house, dada kapiga decent na Pete juu na bodaboda namfahamu, ila huyu boda hajaoa, kwa kweli nimesikitika sana. Kwa kweli wake zetu tukiwa nao mbali sijui huwa wanafanya nini. Hivi hakuna sayansi ya kubaini kwamba katoka kuchepuka? Au inabidi kutupia kale ka GPS ka mchina kwenye mkoba wake kimyakimya kama unafanya car tracking.
Jamaangu Ulimboka nae huko kwenye kampuni yao anasema wadada ambao ni wake za watu wanatunguliwa sana na mabosi wakati wa lunch time