Wake za watu baadhi mchana wanagawa sana

Wake za watu baadhi mchana wanagawa sana

Mwanamke akifanya kazi na Mwanaume ameisha huyo Haina mjadala haijalishi mke wa mtu hana Mme atalika tu, ukitaka usalama akae nyumbani hayo mengine atayatafta mwenyewe
Hata nyumbani analika tuuu. Wee unamuacha home, ukitoka tu na yeye anatoka. ila anawahi kurudi
 
Hata nyumbani analika tuuu. Wee unamuacha home, ukitoka tu na yeye anatoka. ila anawahi kurudi
Ndo maana nikasema akiwa nyumbani,( hayo mengine atayatafta mwenyewe) na zaid akiwa nyumbani Kuna vigezo vinatakiwa viwekwe hata akitoka kujua inakuwa ni wepesi na rahisi zaid, ikiwa hugundui basi udhaifu uko kwako. Kinachoshinda wanaume wengi vigezo hivyo hubana pande zote mwanaume na Mwanamke hapo Mwanaume anashindwa kuviweka kwa sababu vitambana na yeye hapo milango inakuwa wazi.
 
Wakati mwingine hapana. Mjegeje anapata vizuri,matumizi anapata na mapenzi juu ila akitoka kazini au mchana wakati wa lunch anaenda kugawa. Nachoka
Binaadamu tumeumbwa na tamaa sema tunazidiana tu na discipline, hata umpe nini kama hana self discipline atadanganyika kiurahisi sana
 
Ukipata nafac ya kumfumua mkeo ,mfumue kweli kweli ,fumua mpk Malinda hata usiogope , ukimuogopa ndio wengine wanakomfumua mpk akili zinamkaa sawa
Nyie SI uwa mnaleta mchezo Mimi sinaga mchezo kabisa.
 
Back
Top Bottom