Wake za watu baadhi mchana wanagawa sana

Kwenye hiyo picha hata kama ni AI ndio watu wajae hivyo guest mlango wa kuingilia? Halafu wamepigilia Tai kama madiwani ๐Ÿ˜†
 
Kwenye hiyo picha hata kama ni AI ndio watu wajae hivyo guest mlango wa kuingilia? Halafu wamepigilia Tai kama madiwani ๐Ÿ˜†
Watu wa huku tunavaaga Tai tu si unajua mambo ya Moga ushuani. Mi ndo huyo mwenye koti la suti.
 
Mwanamke akifanya kazi na Mwanaume ameisha huyo Haina mjadala haijalishi mke wa mtu hana Mme atalika tu, ukitaka usalama akae nyumbani hayo mengine atayatafta mwenyewe
 
Kwamba kuliwa ni constant?/given?! Hebu tuwaite wamama waje hapa watuambie eti MISS ANNE ya kweli haya!

Ukisubir majibu Yao umeumia, Bali kama una mke anafanya kazi utakuja kutusimulia mwenyewe siku za kujua tu ndo bado, utakuja kuniambia
 
Mwanamke akifanya kazi na Mwanaume ameisha huyo Haina mjadala haijalishi mke wa mtu hana Mme atalika tu, ukitaka usalama akae nyumbani hayo mengine atayatafta mwenyewe
Dah huu ukweli mbona unauma sana
 
Je wanaume tuna mchango wowote juu ya kuharibika Kwa wake zetu?
Nadhani tuna mchango kama ifuatavyo:-
Mosi;
kwa kutotoa matumizi,
pili; kwa kutowapa haki ya ndoa ipasavyo (tunathamini sana kuiridhisha michepuko),
tatu; kwa kuendekeza mfumo dume;
nne; kwa kutokuwa romantiki, mambo ya sogeza tuweke! na
tano; kuoa wake za watu.
 
Dah huu ukweli mbona unauma sana
Unauma kweli na ndo ukweli, linganisha kuuma ukweli huu na kuuma ukisikia au ukamfuma na mtu huko kazini, siku ukimfuma ukimzingua mahakamani, tugawane Mali, elimu anayo wasaidizi anao, washauri anao, na wawezeshaji anao, kifupi Mwanamke mfanyakazi ni mwanaume mwenzako, kama hukubali subiri.
 
Hao wanawake si wanachepuka na nyie wanaume au?? Hapo ni km wewe unavyomchepukia mwanamke mwingine ambaye nae mke wa mtu..!!
 
Fanya kazi achana na maisha ya watu.
 
Kwani si anaenda kuchepuka na mwanaume! Ukiona mke wa mtu anachepuka ujue huko kwenye ndoa ni tia maji tia maji, wanaume wengi wanapenda michepuko huku akimterekeza mkewe acha wasaidiwe, unakuta mke wa mtu analiwa na mme wa mtu, na huyo mme wa mtu mkewe analiwa na bodaboda huko๐Ÿ˜„
 
Hao wanawake si wanachepuka na nyie wanaume au?? Hapo ni km wewe unavyomchepukia mwanamke mwingine ambaye nae mke wa mtu..!!
Shangaa hata wewe hapo kamuona huyo, nayeye alikuwa na mke wa mtu, akirudi nyumbani kachoka, naye mkewe anaenda kutafuta huko mchaka-mchaka๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Shangaa hata wewe hapo kamuona huyo, nayeye alikuwa na mke wa mtu, akirudi nyumbani kachoka, naye mkewe anaenda kutafuta huko mchaka-mchaka๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wao kuchepuka na wake wa wenzao fureeshh ila wao aaahh..!! Wakae kwa kutulia ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Upo sawa kabisa, wanaume wengi akinunua mchele, samaki, nyama, hapo anakuwa kamaliza hajui kama mke anamwitaji yeye kama yeye, matumishi shida, niliisikia baba mmoja anamwambia mwanaye kwanini unaoa mke asiye na kazi? Anataka aliye ajiliwa, sasa huyo kijana atamtunza mkewe Kwa usahihi? Acha wasaidiwe, hakuna namna.
 
Wao kuchepuka na wake wenzao fureeshh ila wao aaahh..!! Wakae kwa kutulia ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Na watulie kweli, utakuta anashangaa mke wa mtu kuchepuka, huku nayeye yupo na mke wa mtu pembeni, atulie hata wanawake ni binadamu ๐Ÿคญ
 
Na watulie kweli, utakuta anashangaa mke wa mtu kuchepuka, huku nayeye yupo na mke wa mtu pembeni, atulie hata wanawake ni binadamu ๐Ÿคญ
Ni kuchepukiana mpk Yesu arudi ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ