Wake zetu wakipata visafari humo njiani wanapitiwa sana; ni ukweli mchungu

Kwenye Uzi wa kula tunda kimasihara mule wanawake wengi wanagongwa siku hiyo hiyo:-
uhuru kwa mwanamke una madhara makubwa kuliko faida
Kule Saudi Arabia na Afghanistan mwanamke hatakiwi kusafiri mwenyewe bila kaka,wala mume,then munawaona wanakandamiza haki........tukubali tukatae uislam upo mbele ya muda Kwa mambo mengi sana ambayo wapumbavu tunayalalamikia kwa ujinga wetu
 
Ndoa ni mpango wa MUNGU,ukiona umeoa au kuolewa na bado unacheat
huo ni ujinga.
Excuse isiwe pesa au matunzo,ile ahadi mlipeana iheshimiwe.
Ndoa gani sasa mtu anacheat hovyo!??
Kama hujiskii kuoa au kuolewa bora uache.
 
UKITAKA KUJUA HILI, FUATILIA WALIMU WAKIENDA KUSIMAMIA MITIHANI. KUANZIA DARASA LA NNE, DARASA LA SABA, FORM TWO, FORM FOUR NA FORM SIX. HUWEZI AMINI YANAYOTOKEA HUKO. TUVUMILIANE TU NDIO MAISHA TULIYOCHAGUA HAYO.
Lakini mkuu na wewe umemcheat sana Tasha st. Patrick ....mpaka kusababisha familia kutokuelewanaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huu ni ukweli mchungu. Nakumbuka siku moja nipo zangu safarini kuelekea Tanga, kwenye kiti cha jirani alikaa bidada aliyeonekana kama mke wa mtu, cha ajabu tulipopiga stori mbili tatu akaniambia yupo single.

Mpaka tunafika Tanga, dada alishaingia kwenye anga zangu. Kwanza alienda home kwa wazazi wake, kesho yake akaniletea mbususu. Mchezo ulikuwa hivyo mpaka ninamaliza shughuli zangu Tanga.
Baada ya pake, mchezo uliendelea ila sasa mji mwingine maana yeye aliniambia anaishi mwanza. Nikawa nikifika Mwanza, nina uhakika wa mbususu, na akija Dar pia lazima aniletee mzigo.

Sema baadae nikaanza kujiuliza, kwanini mwanamke yule anipe mbususu kila nikitaka bila masharti na haonekani mwenye njaa? Ikabidi ni mbane, akaniambia ameolewa na mwarabu anaishi naye Mwanza.

Siku hiyo ilikuwa mwisho kuchakata ile ngozi. Japo alidai mume wake kila saa yupo bize na biashara kiasi cha kumsahau na hisia zake lakini nilikataa huo upuuzi. Nikampiga chini mazima.
 
Jisemee mwenyewe kwa mke wako mkuu, usiji mwambafy kuongelea wake wa watu ambao hata huwajui.
Asilimia kubwa wanaliwa sana usitake kukataa na ushahidi upo

Approximately 85% hao 15 ndo waliobaki maybe
 
Alikuwa mzuri?
 
Endeleeni kuoa wakuu leteni na Kadi za kuchangia harusi tutawachangia kwa moyo mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…