Wake zetu wakipata visafari humo njiani wanapitiwa sana; ni ukweli mchungu

Kwa Karne hii, mwanamke pesa yako. Wanawake wanajiuza kwa kigezo cha kuhudumiwa.
mwanamke yoyote analika chamsingi ufike tu Dau, au kwa msemo mwingine mwanamke ana Price Tag, ukifika Dau lake analika
Thubutu labda hao unaowajua ww sio kila mwanamke aheshimu mwili wake bna.
 
Hofu hii ni kwa wale waliooa wake wasio na hofu ya Mungu tu. Mke ambaye nafsi yake haijatakaswa kwa damu na Kweli ya Kristo sio wa kumwamini hata asipokuwa safarini.
 
Kwa Karne hii, mwanamke pesa yako. Wanawake wanajiuza kwa kigezo cha kuhudumiwa.
mwanamke yoyote analika chamsingi ufike tu Dau, au kwa msemo mwingine mwanamke ana Price Tag, ukifika Dau lake analika
Ndugu uliokutana nao ww nd wanalika na mtu yyt na sio kila mwanamke analika kirahis namna iyo kuna wanawake wanajua thaman zao unapozungumzia usiweke ujumla ww huwajui wanawake wa dunia nzima walivyo
 
Mwanamke na pesa aisee 🤣🤣🤣
Kuna Mwanamke fulani pisi ta haja hasaa nilichukua namba yake kwa ajili ya mambo ya mafunzo tu.

Kutokana na weledi na uelewa wangu wa mambo tukahamia kwenye mazungumzo ya kikubwa.

Huku na kule akanifungukia mambo mengi sana, na kwa uchunguzi wangu binafsi ameolewa kwenye familia yenye ukwasi na alikotoka nako kuna ukwasi wa kutosha. Maana usafiri wake sio haba hata muonekano wake tu ni wa thamani sana mpaka manukato na vito vyote ni vya thamani.

Khee kuna siku tunachati akaniambia yeye bila dola 2000 hatoi mzigo. Tukawa tunachati tu kuna siku akataka nimpe laki moja ili ani bless nikamwambia aisee wewe ni Mke wa mtu halafu hiyo laki hata kama ninayo ningekupa tu au ningewapa watoto wenye uhitaji.

Kaja akaniambia nitafute Hotel yenye hadhi nilipie ili akanibless.

Msimamo wangu umekuwa pale pale namuonea huruma Mwanaume mwenzangu na siwezi kufanya hilo jambo.

Kwa kweli kuna mmomonyoko na shida sana kwenye ndoa. Sijui hili janga wana ndoa watakabiliana nalo vipi. ?
 
🤣🤣🤣 Mbona kama huna akili mkuu umesema ametoka familia ya kitajiri na mmewe tajiri ghafla anakuomba 2000$ ameona ni juu kaamua kushusha hadi laki moja asee huyo dem hana hela yoyote ile wala hajatokea kwenye pesa we hujui wenye pesa kuendesha gari zuri isikuzuzue maana sio kigezo hicho
 
Sina interest ya kula Mke wa mtu, halafu ninachokiandika nina uhakika nacho. Sijui yule Mwanamke huwa anafikiriaga nini ?
 
Baltazar wapo wengi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tabia ni kama ngozi haibadiliki.

Juzi nilikuwa Tanga mjini, Kuna michezo ya mashirika ya serikali. Kuna raia wanatumia fursa hiyo kutoka na wake au waume za watu. Watu wengi wamefikia Hotel,Lodge mtu mwenye tabia ya kugawa anagawa na ambaye hana anatunza heshima yake
 
Kwa kifupi ni kwamba kama una akili timamu huwezi kuishi na mke mgawa uroda kwa mwingine, huo ni umalaya ni bora uachane naye haraka yasije yakatokea madhara waseme ni wivu wa kimapenzi. Fukuzilia mbali akafanye umalaya wake kwa uhuru huko kwao
Kwani unajua mkuu? Hayo mambo hawafanyi peupe [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umejiweka wazi mno mkuu
 
Tulikwambia huyo Demu sio wewe ukasema tusikuingilie mapenzi ni ya wawili.

Sasa mbona wewe unatuingilia huku JFs
 
Kwa kifupi ni kwamba kama una akili timamu huwezi kuishi na mke mgawa uroda kwa mwingine, huo ni umalaya ni bora uachane naye haraka yasije yakatokea madhara waseme ni wivu wa kimapenzi. Fukuzilia mbali akafanye umalaya wake kwa uhuru huko kwao
Unakuta mke ndiye anayelipa Ada za watoto na bills.......unakuwa mpole tu
 
Alikuwa anakudanganya huyo ni sex worker mara mke wa mwarabu mara yuko bize. Huyo hata mbeya ukimtaka atakufata ukisema uko kigoma pia utamkuta😅😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…