Wakenya hawajui Kiingereza; Watumishi wa afya 290 kati ya 300 wafeli mtihani wa Kiingereza ili kupata kazi Shirika la Afya la Uingereza

Wakenya hawajui Kiingereza; Watumishi wa afya 290 kati ya 300 wafeli mtihani wa Kiingereza ili kupata kazi Shirika la Afya la Uingereza

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Watumishi wa afya 290 kati ya 300 nchini Kenya wamefeli mtihani wa Kiingereza ambao ungewawezesha kupata kazi katika shirika la afya la Uingereza (NHS).

Julai 2021 Kenya iliingia makubaliano na Uingereza ambayo yatatoa fursa za ajira kwa wauguzi (wa Kenya) ambao hawana ajira.
 
Watumishi wa afya 290 kati ya 300 nchini Kenya wamefeli mtihani wa Kiingereza ambao ungewawezesha kupata kazi katika shirika la afya la Uingereza (NHS).

Julai 2021 Kenya iliingia makubaliano na Uingereza ambayo yatatoa fursa za ajira kwa wauguzi (wa Kenya) ambao hawana ajira.
Leta Source
 
Je! Kwa mfano, ukitokewa mtihani wa Afya hapa Tanzania ,ukawa wa Kiswahili watahiniwa wote watafaulu?

Watakao feli hawajui Kiswahili!!
Ni tofauti, Kenya hawaja feli mtihani wa afya ulio andikwa kwa Kiingereza, wamefeli mtihani wa Kiingereza as lugha.

Kati ya 300, wame faulu 10 tu. Hii imekuwa habari kubwa kutokana na Kenya mara nyingi kusema watanzania hawajui Kiingereza.
 
Leta Source
https://nairobinews.nation.co.ke › ke...
Kenyan nurses fail English test for UK jobs - Nairobi News

8 hours ago — The Kenyan nurses took a multiple-choice English proficiency test and a ... next month and work under the National Health Service (NHS)....


27 October 2021
Majority of health workers shortlisted to work in UK fail English proficiency test exams





The government has reported a mass failure in the English language by health workers seeking employment in the United Kingdom in a pact between the Kenyan and UK governments. Addressing the Kenya Clinical officers Association conference in Mombasa, Kagwe said only 10 out of 300 Healthcare professionals who sat the English examination passed the test.

Source : KBC Channel 1
 
Ninaelewa maana kuna English English, American English n.k

Inabidi waende kujiandikisha kozi maalum ya miezi mitatu waweze kuongeza ufahamu wao wa English English.

http://businessghana.com › politics
Kenya nurses fail English test for UK jobs - BusinessGhana

3 hours ago — The scheme is open to Kenyan health workers who are qualified but unemployed. Currently there are almost 900 Kenyans working in the NHS


https://www.monitor.co.ug › news
Kenyan nurses fail English test for UK jobs - Daily Monitor


10 hours ago — Jobless Kenyan nurses and other health workers recently got a chance to work in the UK as part of a new scheme requested by Kenya
Kenya's Health Cabinet Secretary Mutahi Kagwe has decried the failure of health workers to pass English language tests required for United Kingdom jobs.
Jobless Kenyan nurses and other health workers recently got a chance to work in the UK as part of a new scheme requested by Kenya this year.
The unemployed health workers were meant to serve in the UK’s National Health Service before returning to work in Kenya.
But CS Kagwe revealed on Wednesday that only a minority of those who applied qualified for the jobs.
"Out of 300 health workers sent for an English language test only 10 passed. We had negotiated for clinical workers for job exports but this turn of events is unfortunate," he said.
He then urged health workers to work hard to pass the employment standards set for jobs abroad.
Speaking during the Kenya Clinical Officers Association scientific conference in the coastal city of Mombasa, Mr Kagwe said that despite this, the government will continue to negotiate for Kenyan health workers to work in Europe and the Middle East.
He also refuted claims that the government has resorted to exporting its labour workforce abroad instead of employing them.
"This is a rumour. Geographical boundaries will not stop us from working. Countries we are exporting health workers to are not doing us a favour. We are helping them when they are in need," he said.
He added that Kenya will continue to help people get jobs in Europe and the Middle East.
 
CS Kagwe: Only 10 out of 300 health workers passed an English test required for UK jobs



CS Kagwe - Our failure rate particularly in English is extremely high ... we sent 300, only 10 passed so let set the standards high here in Kenya for us to take those opportunities anywhere in the world..
Source : Kenya CitizenTV
 
😂😂😂😂😂 unatafuta upenyo ili uchomoke lol!!! Only 10 who pass the exam out of 300 people!? That’s a huge disaster.

Nipo, sijui labda ilikua TOEFL.
 
Nipo, sijui labda ilikua TOEFL.

Ile inglish yetu ya m-bus ndiyo bus inabidi tuiache pale JKIA tukienda nchi za watu maana english test huko nchi za ngambo ni daraja (standard) nyingine.

Dawa ni kuwapa crash programme ya miezi mitatu kabla hawajapanda ndege ili waweze kutimiza ndoto za serikali na wananchi kupata kazi hizo .
 
Back
Top Bottom