Bro huwenda ulienda Kenya ila ukakaa sehemu moja ukaganda.Unaijua tz vizuri au unaijua baadhi ya mikoa tu yenye nafuu?
Kenya inawazawa wenye uchumi mzuri tofauti na Tz iliyo tawaliwa na jamii za watu wa Asia.Jidanganye nasema kaka jidanganye.
Kama Kenya masikini sio wengi watu wasingeandamana kisa uhaba wa unga wa ugali.
😂😂😂😂😂😂Hiyo picha ya captain jack sparrow wa pirate of carrebean.Kwa taarifa yako mimi nimefanyakazi huko zaidi ya miaka 5 kwenye project za wafugaji na wakulima hivyo naweza kusema naijua Kenya na Wakenya kwa kiasi fulani. Pole nilifikiri ni dada niliangalia vibaya picha kwenye status yako.
Nimefanyakazi kwenye projects zinazowashirikisha wananchi wakawaida sana hapa TZ na Kenya kwenye mikoa mbalimbali.Unaijua tz vizuri au unaijua baadhi ya mikoa tu yenye nafuu?
Bado hujajua endelea kufanya research zaidiKenya inawazawa wenye uchumi mzuri tofauti na Tz iliyo tawaliwa na jamii za watu wa Asia.
Mzazi wangu mmoja ana asili ya kikuyu , kwa Tz ni jamii gani hata kwa ukaribu tu inaweza wapata wakikuyu kwa uchumi?Bro huwenda ulienda Kenya ila ukaa sehemu moja ukaganda.
Ungetembea uone.
Kenya ni miongoni mwa nchi yenye makazi duni duniani ya kutisha ulimwenguni.
Kafuatilie Kibera slums kaka na ujue ina wakazi wangapi wanaolala katika nyumba za mabati chakavu yenye kutu.
Bro ingekua ina wazawa wengi matajiri isingekuwa ina idadi kubwa ya makazi duni ya mabati chakavu.Kenya inawazawa wenye uchumi mzuri tofauti na Tz iliyo tawaliwa na jamii za watu wa Asia.
😂😂😂😂😂😂😂Aisee hao Wakikuyu si nawapa wahaya tu inatosha!?Mzazi wangu mmoja ana asili ya kikuyu , kwa Tz ni jamii gani hata kwa ukaribu tu inaweza wapata wakikuyu kwa uchumi?
Unachekesha wewe😂😂😂😂😂😂😂Aisee hao Wakikuyu si nawapa wahaya tu inatosha!?
Hao Wakikuyu wenyewe ni wanasiasa kama familia ya kina Kenyatta ndio matajiri.Taja jamii moja tu inayoweza wakaribia wakikuyu kwa uchumi tz
Aya mkuu tetea kwa kina bimkubwa.Unachekesha wewe
Unajua kuwa jamii za wachaga wamejifunza biashara kwa Wakikuyu?Hao Wakikuyu wenyewe ni wanasiasa kama familia ya kina Kenyatta ndio matajiri.
Mkuu ifuatilie Kenya vizuri.
Hata China ilijifunza kuunda ubora wa bidhaa kutoka Germany.Unajua kuwa jamii za wachaga wamejifunza biashara kwa Wakikuyu?
Mwamba ngozi huvutia kwake ,mimi mwenyewe ni mtanzania ila ukikaa tu dr utaona Nchi nzima ni matajiri.Aya mkuu tetea kwa kina bimkubwa.
Ila Kenya ni nchi ya masikini wengi sana.Tena ule ukanda wa Turkana unanuka njaa mpaka watu huchemsha mabuyu kama chakula.
Uzuri mmoja pia mimi ni mchaga ila mchaga ukimweka na mkikuyu ni kumtukana mkikuyu .Hata China ilijifunza kuunda ubora wa bidhaa kutoka Germany.
Ila sasa hivi nani anamzidi China kibiashara na uundaji wa vitu!?
Mkuu Mie nimekutana na Wakenya wengi waliokuja kusaka maisha huku.Mwamba ngozi huvutia kwake ,mimi mwenyewe ni mtanzania ila ukikaa tu dr utaona Nchi nzima ni matajiri.
Mkikuyu yupi!?Uzuri mmoja pia mimi ni mchaga ila mchaga ukimweka na mkikuyu ni kumtukana mkikuyu .
Hivi mzee unasema tanzania wakenya wanatuzidi umasikini wewe unaishi tanzania Gani hiyo unayoisifia embu acha maigizo mzeeAya mkuu tetea kwa kina bimkubwa.
Ila Kenya ni nchi ya masikini wengi sana.Tena ule ukanda wa Turkana unanuka njaa mpaka watu huchemsha mabuyu kama chakula.