Wakenya wameogopa kuhusu Modern Security ya JPM katika ufunguzi wa Namanga - From *********

Kiukweli Kenya mlikosea sana mlivyohandle west gate...eti vifaru kwa ajili ya watu watatu...mi nilidhani kuna watu wangewajibishwa hasa wale wanaodili na operation. Tanzania ujinga kama ule usingewezekana abadani asilani
Unaletewa special force, wewe umeanza kuhepa topic[emoji23][emoji23] sindano inaingia vilivyo
 
Nina wasiwasi na weledi wenu wa kimedani mbali na kujigamba kwenu na hizi gear humu
 
Kiukweli Kenya mlikosea sana mlivyohandle west gate...eti vifaru kwa ajili ya watu watatu...mi nilidhani kuna watu wangewajibishwa hasa wale wanaodili na operation. Tanzania ujinga kama ule usingewezekana abadani asilani
Walitaka kuteka nchi yao wenyewe😂😂😂😂
 
Hua naona jeshi ya kanchi fulani ikifanya mazoezi kwenye viwanja afu nasikia wakisema hiyo ndio jeshi bora Afrika..... lakini hapa Kenya huo ujinga unafanywa na National youth service [emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
 
Wataalam wa security hapa wapo wengi ila panyaroad wachache tu walitutoa jasho.
 
kuna watu wamepinda na wana utayari wa muda wowote kuipambania nchi yao,iangalie kwa umakini hii video halafu unipe jibu km huko kwenu kama hao wezi wa biscuit wenu wanaweza kujitoa kama hivi we mkibera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…