Wakenya wengi wanaoongea mitandaoni kuiponda Tanzania body language yao ni kama Wanamapepo

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
9,514
Reaction score
23,523
Nimeangalia clip ZAO mara mbili. Mara ya kwanza nawasikiliza mara ya pili naangalia facial expressions na body languages ZAO huku nimemute sauti. Haya ndio nimegundua.

1: Wanaongea kama watu wenye mapepo/majini au akili zilizoruka.

2: Hawana uwezo wa kupangilia hoja. Ni kama watu wanafanya fujo.

3:Bado wanaakili za kijima kudhani kujua kiingereza ndio Elimu. Hii akili walikuwa nayo watanzania wa Mwanza miaka ya tisini enzi hizi wakipeleka watoto Uganda ili wapate Elimu (Wajue kiingereza).

4: Wanauhuru usio na adabu. Uhuru walioutafuta ni KWA ajili ya kutukania sio kujengea hoja. Hakuna nchi iliyokuwa na visheni ya watu wake kuropoka na kutukana hovyo. Hata US wako huru ila wakidai au kupinga mambo wanapinga KWA hoja.

5: Watanzania wengi siasa tumeiacha KWA muda tunadili na mambo ya kawaida ya maisha baada ya kuona siasa zinademand uhai ambao tunaweza KUUTUMIA kwenye mambo mengine ya maana KWA Sasa.

Ila kikundi cha watanzania wanaojihusisha na Siasa Wana IQ kubwa mara milioni ya wakenya wanaojihusisha na Siasa. Ukiangalia wapinzani wanavyojenga hoja, walivyomajasiri akili zilivyotulia na kuwalinganisha na wakenya utaona ni MAJI na mafuta.

Haya ni machache niliyoyaona baada ya kukutana na klips mitandaoni za wakenya wakishambulia Tanzania na kiongozi wa nchi.

Ni hayo tu
Mtumishi Matunduizi
 
Mama na watu wake usituingize wengine. Sisi watu wa kawaida ndiyo watekwaji
 
Acha usenge jamaa
 
Wengi ni hustlers/masikini ambao hawajawahi vuka nje ya Kenya, wanaamini Kenya ni superior kwa nchi za EA, hawajui kuwa kuna Wakenya wako TZ hawataki kurudi kwao.
 
Back
Top Bottom